Ni aibu gani uliipata kwenye Interview yako ya Kwanza? Mimi yangu hii

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
 
Hapo sawa mkuu nimekupata Vyema, Na vipi kuhusu Lugha unachagua au wanakuchagulia? Na Je ni Lugha ipi inafaa kutumia kati ya kiswahili au Kiingereza? Maana tunajua Kiswahili Huwa kina Maneno magumu sana
English ila utajibu tu automatically
 
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ Mimi binafsi ilikua kutetemeka ingawa ingawa nilijibu maswali vizuri tu.

Sasa Kuna Mwanangu mmoja ilikua ni interview hihii niliyoifanya ya Taasisi Moja hivi kubwa tu ya serikali ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚... Akaulizwa taja majukumu ya hii taasisi basi mwamba akawa ana taja katikati ya kutaja Kuna jukumu Moja baada ya kulitaja na kuona panel Iko kimya aka waambia " si ndio?? " daaah๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ panel nzima ni kucheka na kumwambia mwamba na wewe una tuuliza??? Mwamba nae ikabidi acheke tu๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚.... Mwamba aliwaambia " si ndio?? " Akitegemea panel ingemjibu " enhee na nyingine endelea" kumbe tafsiri ya panel ikawa tofauti kabisa๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Aisee nimekumbuka mbali sana
Usaili frani ivi wa jeshi nikaingia na pensi mzee [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Unaonekana huja soma wewe!! na kutufanya sie hatuja hudhuria inter view!! kosa dooog km hilo si kosa!!! kazi unapata!!!>.sema labda ulikuwa bonge la kilaza tu!! kwa style nyingine lkn usitudanganye ivo!!
 
nakumbuka interview ya ya kwanza nilifanya vizuri sana japo sikubahatika kupata kazi,,sasa interview ya pili nikaitwa na kampuni hio hio tena nilikuta wazungu wa3 na mbongo 1 huyo mbongo ni hr na alikua ananifahamu vizuri tulikua tunawasiliana sababu ya interview ya kwanza aliniona nauwezo akamiita tena kwenye usaili siku hio nilipigwa maswali ya kufa mtu maana waliamini najua vizuri ndo maana wakaniita tena nilipigwa maswali nikachemka sana hadi yule hr akaanza kucheka,,niliaibika sanaa siku hio na hio kazi nikawasiitaki kabisa,,mwisho wa siku napigiwa simu nimefaulu usaili sikuamini na sikutaka hata kumuuliza yule hr mambo yanaendaje huko maana nilikua naona aibu kuonana nae
 
Ulikwenda kuifanya?!
 
Bright Future ๐Ÿ˜€ hiyo ni shule nzuri sana i used to be there mwaka mmoja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ