Kashaija72
JF-Expert Member
- May 18, 2020
- 2,225
- 5,258
Ilikua kwa kiswahili??Interview za benki ya Posta, nikaulizwa "unataka tukilipe kiasi gani"
Hapo hata chuo sijamaliza, nimebakiza kuchomoa sup. Nikawazaa, sijui viwango vya mshahara. Nikataja tuu laki nne.
Hata sikuitwa tena
Ilikuwaje mkuu[emoji23]Ulikua 2019 niliitwa kwenye usaili wa ualimu. Tulipiga written fresh, ikaja practical nikaingia kupiga pindi. Ile shule ni private na wanafunzi wanaumri mkubwa kidogo na wanavaa sare nyeusi chini juu nyeupe.
Miongoni mwa waliokuwepo darasani kumbe alikuwemo mkuu wa shule sikujua maana umri wake Kama wanafunzi tu. Sasa wakati napigisha pindi na msaili anasimamia nikampoint mkuu ajibu swali.
Wanafunzi wakawa wanashangaa,jamaa akajibu swali wakampigia makofi nikahitimisha pindi. Yaliyojiri sinahaja ya kusimulia wote mnajua.
Ilikuwa English tupuIlikua kwa kiswahili??
Jibu lilikwa rahisi sana, nimekuja hapa kwa oral na sio written interview.Hata wenye lugha yao na degree zao kuna maneno mengi tu wakiulizwa spelling wanachemka. Ni mambo ya kawaida.
😂😂😂😂😂Nilipewa swali la kusolve la kawaida sana nikachemka, kiingereza pia kinasaliti sana
😂😂😂😂Walikuonea huruma haoMm nilienda interview ya taasisi ya kanisa nilivyoingia sikuona kiti cha kukaa maana kilikuwa nyuma ya mlango sasa kulikuwa na kiti karibu na askofu nikawasalimia nikapitiliza kukaa pale panel nzima walicheka kishenzi mmoja ndo akaniambia kiti chako kile kule
Nilipagawa mpaka kiingereza nilishindwa kuongea [emoji23][emoji23][emoji23]
Wakaanza kunipa ushauri tuu ila kazi walinipa [emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Dah utakua uliwakata stimu kweli..... Ulipata kweliNilijamba ushuzi unaharufu mbaya si unajua lile tumbo la uoga linauma kwa mbali na kaushuzi
Nikaambiwa toka nje kwanza maana hall lilikuwa na madirisha madogo halafu hakuna ac
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Si tutajuae kwani tulikuwepo... Malizia mzee.Ulikua 2019 niliitwa kwenye usaili wa ualimu. Tulipiga written fresh, ikaja practical nikaingia kupiga pindi. Ile shule ni private na wanafunzi wanaumri mkubwa kidogo na wanavaa sare nyeusi chini juu nyeupe.
Miongoni mwa waliokuwepo darasani kumbe alikuwemo mkuu wa shule sikujua maana umri wake Kama wanafunzi tu. Sasa wakati napigisha pindi na msaili anasimamia nikampoint mkuu ajibu swali.
Wanafunzi wakawa wanashangaa,jamaa akajibu swali wakampigia makofi nikahitimisha pindi. Yaliyojiri sinahaja ya kusimulia wote mnajua.
Hahahaha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nilipanic nikasahau miaka yangu na education background
Hongera sana mkuu, umeanza mwaka vizuri.Mimi nilijiandaa usiku mzima kesho yake saa 9 mchana interview video call huwezi amini interviwer walikua watatu na walipita mle mle nilianza mm na nikapata kazi amen 2024.