Ni aibu gani uliipata kwenye Interview yako ya Kwanza? Mimi yangu hii

Chai pia zipo..sio mbaya lakini as long as kijiwe kinanoga
 
Story za AliNacha . Hapana mze eti ulipata kazi ukaacha umeona aibu umeshindwa kuspell. Mtaonibishia kasomeni Uzi wa story ya AliNacha uone mawazo ya huyu ni robati ni fantasy zake tu. Anapoteza mda
 
unamwanga ngeliii alafu unakutaa YAANI imetokeza kwenye english yako
 
Mkuu ,ilikuwaje uandike wakati ni oral kwamba kwenye written unaweza kuoro vilevile
 
Mbona hamna aibu yyte uloipata hapo...
Nakumbuka mm nilijikuta in-between interview naongea kiswahili baada ya kiingereza kugomaa[emoji23][emoji23]
Daah nilipotoka wala hata sikuangaika kufatilia majibuu
Interview yangu ya kwanza niliingia kichwa kichwa sana.

Kwanza ilikuwa ya level ya chini ukifananisha na elimu niliyosomea, so nilijiandaa na maswali ya hiyo fun, yaani sikuhangaika na YouTube wala nini, sikujua maswali ya Interview huwa yanaanzaje.

Swali la kwanza "Tell us about yourself"...

Nilichojibu anajua Cathe na Joel waliokuwa wana ni interview 🀣🀣🀣.

By the way Cathe alinielekeza pale pale baada ya kumaliza maswali mengine. kwamba swali la kwanza nilitakiwa nijibu vipi. (japo hawakunichagua ila walinisaidia sana).

Nikajiona bumunda kweli kweli 🀣🀣🀣.

From that point nilikuwa bora sana kwenye interview zilizofuata.
 
Haikuwa aibu sasa.
Hapa tunaangalia mambo yaliyosononesha.
 
Ulipata?
 
Panel ya kiwaki sana 🀣🀣
 
Interview za benki ya Posta, nikaulizwa "unataka tukilipe kiasi gani"
Hapo hata chuo sijamaliza, nimebakiza kuchomoa sup. Nikawazaa, sijui viwango vya mshahara. Nikataja tuu laki nne.
Hata sikuitwa tena
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…