Ni aibu jitu zima kuwa masikini halafu mtoto kama mimi nina pesa

Jf moderators mnaruhusuje thread kama hii. Haina cha kujenga w
Tafuta hela masikini wewe
Sawa tajiri bomu🙄
 
Ugonjwa wa maradhi ya afya ya akili umekuwa ni tatizo kubwa sana kwa vijana wengi. Hali hii huwafanya wengi wao kuishi maisha "fake" na kutaka kulisha watu matango poli.

Kitu hiki kimepelekea matajiri waliopo nyuma ya "keyboard" kuwa ni wengi mno kuliko uhalisia wenyewe. Ebu tupe "net worth" yako ili tuweze kupima utajiri wako.
 
Mungu hampi pesa mwenye fikra finyu. Labda aibe.
 
Wewe unavyojiona ni mzima wa akili?
 
Wewe unavyojiona ni mzima wa akili?
Hivi unaujua utajili wewe! Maudhui ya kile ulichokiandika tu kinathibitisha unahitaji kumuona daktari upesi iwezekanavyo.

Nami nakusihi, chonde! chonde! nenda haraka sana, kabla mambo hayajaharibika kabisa.
..
Wewe unavyojiona ni mzima wa akili?
Ukubali tu ukapuku wako. Kuwa maskini ama kuzaliwa katika familia fukara kama yako si kosa lako wala dhambi mbele ya Mungu.
 
Tafuta hela masikini wewe
 
Si kila mwanaume anaweza kukubali kupakatwa ili atoboe kimaisha kama wewe mkuu.

Wengine tunakufa kishujaa...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…