SAGAI GALGANO
JF-Expert Member
- Nov 13, 2009
- 47,706
- 69,281
Hivi huu ushamba wa yule dhalim bado unaendekezwa tu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dogo soma shule, sisi wenzio tunakula nchi, ni uzalendo unatufanya tuwatetee nyie wanyonge wapumbavuBasi tufanye hivi....
Tununue mitungi tuijaze mpaka zahanati....halafu uone sehemu nyingine zitakavyoathirika....sina maana kuwa tusizijali hospitali zetu....
Kwa taarifa yako ni kuwa si kila kitu cha afya kunalazwa wagonjwa wa UVIKO....wagonjwa wengine mahututi.....
Amka Meku🤣🤣
Yaani ninyi wapinzani mtutetee sisi ?!!🤣Dogo soma shule, sisi wenzio tunakula nchi, ni uzalendo unatufanya tuwatetee nyie wanyonge wapumbavu
Wacha wee... Nakuona hapo mke wa mwenyekiti kindaki ndaki huyoo.. umewahi kumtetea mumeoYa kuzungusha maiti ilifana sio?
Sijaelewa hivi unawambia sisiemu au wananchi?Ndiyo ununuzi wa ndege kinaonekana ni kitu kidogo kwa nchi lakini kina maana kubwa sana miaka ya hivi karibuni hasa baada ya miaka takribani 20 ya kufa kwa kila kitu kilichotambulisha nchi yetu kitaifa na kimataifa.
Viwanda vyote vilivyotengeneza Made in Tanzania waliviua.
Usafiri wa treni uliosafirisha bidhaa za kilimo kwa gharama nafuu toka pande zote za Tanzania mliziua.
Usafiri wa ndege kupitia ATCL nazo mkaziua.
Hadi shule zetu kongwe kidogo mziue.
Ni baada ya JPM kuingia na kuanza takribani kuamsha roho ya utaifa na kuanza kufufua karibu kila kitu.
Kwa muktadha huu kusheherekea hakuepukiki.
THuyu dikteta mpya anacopy na ku paste mambo ya dikteta wa aliyeenda zake
Kweli kabisa. Chama kina umri wa zaidi ya robo karne, na kilikuwa kinapokea mabilioni ya pesa za ruzuku kila mwezi lakini hakina hata kiwanja tu cha kujenga kiofisi cha makao makuu! Hiyo kama siyo laana basi ni kurogwa!Siyo aibu ni laana
Aliyekuita Dudumizi aliona mbsliHata mimi niliwashangaa CHADEMA kuandaa sherehe ya kumpokea Lisu uwanja wa ndege siku ile. Matokeo yake sherehe ilibuma.
Yeyote anayehoji ni CHADEMA?Inaonekana ukiwa CCM kuwa na fikra ni dhambi.Hakuna aibu pale inapokelewa na ndio sherehe yenyewe ndege si jaba la maji kwamba unaweza nunua ukaingia nalo geto kimyakimya
CHADEMA funguweni vichwa vyenu
Ndege alizonunua nyerere zilienda wapi?Wewe ndio unasema kitu kidogo, unajua serikali ilikaa miaka mingapi pasipo hizo ndege unazozibeza?hata hivo tunamshukuru Magufuri ingawa amekufa, maana tulikuwa tunaambiwa serikali yetu ilikuwa aina uwezo wa kununua ndege,toka kwa Mwinyi hadi Kikwete akuna aliyethubutu hata kununua angalau inayobeba watu hata watatu au ile inayonyunyuziaga sumu wakati wadudu wabaya wameamia nchi,awamu ya 5 ilioyosha kila kitu kinawekana,acha washerekee.
Kinacho onekana kuwa aibu kwako ni mfano mzuri sana wa mchezo wa siasa. Sherehe ya kupokea ndege inapendeza sana kama habari kwa umma na ni njia ya kuonyesha kwamba kazi inafanyikaTangu awamu ya tano tumekuwa na kasumba ya kuandaa sherehe kupokea ndege au kupokea miradi lakini kwa mtizamo wangu mimi mtu wa chini ninaona kama fedheha fulani.
Nilitegemea serikali kuona kitu kama ununuzi wa ndege ni kitu kidogo ambacho hakihitaji kuandaliwa sherehe ya kuhudhuriwa na mkuu wa nchi.
Tunayo safari ndefu na hapa tulipo tutatakiwa kujivunia mambo gani? Miaka ya 60 labda ndiyo miaka ya mkuu wa nchi kupokea ndege kwa sherehe.
Nikitazama nchi yetu naona tunayo miaka mamia kabla ya kupiga hatua za uhakika kwa sababu tunaweka magoli yetu kwenye mambo mambo madogo na kuyashangilia hayo.
Mfano Leo hii nikipita nchi nzima kumejaa wakandarasi wa kichina wakijenga miradi mbalimbali na ukingiia kwenye miradi hii unakuta kazi zote wanafanya wachina wenyewe. wameajiriwa vijawa wachache kutoka vyuo vyetu vya ufundi na hawa hawafanyi kazi za ujenzi wa miradi bali ni kutafuta vibali, kwenda tanroad kufanya tests za materials, kuandaaa orodha za wafanya kazi n.k
Ujenzi huu wa kichina umekuwepo nchini kwa miaka na bado hatujafanikiwa kujifunza chochote lakini kila mwaka viongozi huandaa sherehe za kupokea miradi. utaendelea kuwepo kwa miaka kadhaa ijayo maana hatuna plan ya watu wetu kujifunza na kuanza kufanya.
Binafsi ningependa kuona zama hizi tunatoka kwenye kasumba au fikra za viongozi wetu wa miaka ya 60 na tunajikita katika kutafuta watanzania leo hii wafanye nini ili kuwa washindani katika dunia na haya ndiyo tuandae sherehe kubwa kusherehekea.
Walioviua hivyo vitu huwajui,maana unazunguka zunguka tu wakati majizi na mafisadi ya nchi hii toka uhuru yanajulikana.Ata wewe ni mfuasi wa huo upande kwahiyo acha kujisahaulisha makusudi.Na nikukwambie tu kua kama hivyo vitu vilishakuwepo miaka hiyo ya nyuma tukavifuja leo hatupaswi kufanya sherehe yakuvipokea vipya vilivyotengenezwa na mabeberu bali ilipaswa tuzindue tulivyotengeneza wenyewe.Ila bado tuko na akili zile zile.Ndiyo ununuzi wa ndege kinaonekana ni kitu kidogo kwa nchi lakini kina maana kubwa sana miaka ya hivi karibuni hasa baada ya miaka takribani 20 ya kufa kwa kila kitu kilichotambulisha nchi yetu kitaifa na kimataifa.
Viwanda vyote vilivyotengeneza Made in Tanzania waliviua.
Usafiri wa treni uliosafirisha bidhaa za kilimo kwa gharama nafuu toka pande zote za Tanzania mliziua.
Usafiri wa ndege kupitia ATCL nazo mkaziua.
Hadi shule zetu kongwe kidogo mziue.
Ni baada ya JPM kuingia na kuanza takribani kuamsha roho ya utaifa na kuanza kufufua karibu kila kitu.
Kwa muktadha huu kusheherekea hakuepukiki.
Nyerere akununua ndege,alitaifisha zilizokuwa za africa Mashariki,baada ya kuvunjika jumuia,ndege zenyewe zilikuwa za mkoloni, hivo ilikuwa garama kuziudumia ilikuwa garama kubwa.sasahiviSerikali imenunua mpya kuziudumia ni kazi laisi.Ndege alizonunua nyerere zilienda wapi?
Hawa viongozi wetu hawana jipya wanaloweza kuwapa wananchi,kila kitu ni hovyo limekufa,sasa Ili waonekane kama Kuna kitu wanafanya,wanajiweka bize kuzindua vitu vya kawaida,kwenye kupokea Ndege,wanaofaidi ni waliotuuzia,ndio maana hata Balozi wa Canada alikuwepo,na huu ununuzi,inawezekana tunalazimishwa,Ili kuokoa viwanda vya wakubwa huko ulaya na Amerika,hii ishawahi kutokea kipindi Cha Mkapa,Kuna kiwanda huko UK,ilibaki kidogo kifungwe kwa kukosa pesa,tukalazimishwa kununua Rada kwa bei kubwa kuokoa ajira za wazungu,Yaani wakati mwingine huwa najiuliza,kwa mtindo wetu huu maridadi,wa kwenda kupokea ndege kila zinaponunuliwa, kwa nchi kama SA, Kenya, Ethiopia,Eghypt nk.
Nafikiri marais wao na wananchi wao kila leo wangekuwa busy kwenda kwenye airport zao kupokea ndege mpya....btw kupanga ni kuchagua na kazi iendelee.
Jomba una haraka sana na maisha...ndio maana mwishowe mnaangukia pua bila kujua tatizo..unasahau Kwamba juzi tu tumetoka kwenye kundi la nchi masikini tumehamia uchumi wa Kati. ..maendeleo ni mchakato. .hayaji kama upepo. .ni lazima kila maendeleo tunayoyafanya tuweze kuya tambua au recognize tunaweka alama na tunasonga mbele. ..we vipi. .huwezi kupiga ukimya kwenye maendeleo ya Taifa kama hayo...na ukumbuke hizo ni kodi za wananchi ni lazima urudishe mrejesho kwa wananchi Kwamba zile kodi zao ulizokusanya umefanyia hili na lile. ..hii inawapa moyo zaidi wa kuendelea kulipa kodi...unadhani kukusanya kodi ni kitu rahis we Jomba. ...usilete mchezo kwenye mambo serious ya nchi..weweTangu awamu ya tano tumekuwa na kasumba ya kuandaa sherehe kupokea ndege au kupokea miradi lakini kwa mtizamo wangu mimi mtu wa chini ninaona kama fedheha fulani.
Nilitegemea serikali kuona kitu kama ununuzi wa ndege ni kitu kidogo ambacho hakihitaji kuandaliwa sherehe ya kuhudhuriwa na mkuu wa nchi.
Tunayo safari ndefu na hapa tulipo tutatakiwa kujivunia mambo gani? Miaka ya 60 labda ndiyo miaka ya mkuu wa nchi kupokea ndege kwa sherehe.
Nikitazama nchi yetu naona tunayo miaka mamia kabla ya kupiga hatua za uhakika kwa sababu tunaweka magoli yetu kwenye mambo mambo madogo na kuyashangilia hayo.
Mfano Leo hii nikipita nchi nzima kumejaa wakandarasi wa kichina wakijenga miradi mbalimbali na ukingiia kwenye miradi hii unakuta kazi zote wanafanya wachina wenyewe. wameajiriwa vijawa wachache kutoka vyuo vyetu vya ufundi na hawa hawafanyi kazi za ujenzi wa miradi bali ni kutafuta vibali, kwenda tanroad kufanya tests za materials, kuandaaa orodha za wafanya kazi n.k
Ujenzi huu wa kichina umekuwepo nchini kwa miaka na bado hatujafanikiwa kujifunza chochote lakini kila mwaka viongozi huandaa sherehe za kupokea miradi. utaendelea kuwepo kwa miaka kadhaa ijayo maana hatuna plan ya watu wetu kujifunza na kuanza kufanya.
Binafsi ningependa kuona zama hizi tunatoka kwenye kasumba au fikra za viongozi wetu wa miaka ya 60 na tunajikita katika kutafuta watanzania leo hii wafanye nini ili kuwa washindani katika dunia na haya ndiyo tuandae sherehe kubwa kusherehekea.
Mkuu hivi huwa unawaona viongozi wa CCM na wafuasi wao wana akili Timamu kweli?Tangu awamu ya tano tumekuwa na kasumba ya kuandaa sherehe kupokea ndege au kupokea miradi lakini kwa mtizamo wangu mimi mtu wa chini ninaona kama fedheha fulani.