Ni aibu kuandaa sherehe za kupokea ndege

Dogo soma shule, sisi wenzio tunakula nchi, ni uzalendo unatufanya tuwatetee nyie wanyonge wapumbavu
 
Dogo soma shule, sisi wenzio tunakula nchi, ni uzalendo unatufanya tuwatetee nyie wanyonge wapumbavu
Yaani ninyi wapinzani mtutetee sisi ?!!🤣

Yaani mwenyekiti wenu Mh.Mbowe atutetee sisi ?!!!🤣

Shule nilishamaliza mkuu...elimu haikuwa tatizo kwangu....ninalijenga taifa kwa KUVUJA JASHO LA HALALI....

#BinadamuHujikomboaMwenyewe
#NchiKwanza
#KaziIendelee
 
Hakuna serikali inayoweza kutumia hela za walipa kodi kwenye mradi wowote isiyoweza kufurahia kukamilika kwa mradi huo. Serikali ya namna hiyo itakuwa ya wehu!
 
Sijaelewa hivi unawambia sisiemu au wananchi?
 
Siyo aibu ni laana
Kweli kabisa. Chama kina umri wa zaidi ya robo karne, na kilikuwa kinapokea mabilioni ya pesa za ruzuku kila mwezi lakini hakina hata kiwanja tu cha kujenga kiofisi cha makao makuu! Hiyo kama siyo laana basi ni kurogwa!
 
Mimi siwezi kwenda nawashangaa sana wananchi waliologwa nakukosa kazi
 
Hakuna aibu pale inapokelewa na ndio sherehe yenyewe ndege si jaba la maji kwamba unaweza nunua ukaingia nalo geto kimyakimya
CHADEMA funguweni vichwa vyenu
Yeyote anayehoji ni CHADEMA?Inaonekana ukiwa CCM kuwa na fikra ni dhambi.
 
Ndege alizonunua nyerere zilienda wapi?
 
Uwezo wetu wakufikiri ni mdogo.Kwa akili hizi unadhani kuna kiongozi gani anayesumbua kichwa kuwaza mambo makubwa makubwa.Kwasababu hatuna uwezo huo wakufikiria makubwa ndo maana inakua rahisi kufanya ulimbukeni kwenye vitu vya kawaida tena ambavyo havilingani na umri wa taifa hili.
 
Kinacho onekana kuwa aibu kwako ni mfano mzuri sana wa mchezo wa siasa. Sherehe ya kupokea ndege inapendeza sana kama habari kwa umma na ni njia ya kuonyesha kwamba kazi inafanyika
 
Walioviua hivyo vitu huwajui,maana unazunguka zunguka tu wakati majizi na mafisadi ya nchi hii toka uhuru yanajulikana.Ata wewe ni mfuasi wa huo upande kwahiyo acha kujisahaulisha makusudi.Na nikukwambie tu kua kama hivyo vitu vilishakuwepo miaka hiyo ya nyuma tukavifuja leo hatupaswi kufanya sherehe yakuvipokea vipya vilivyotengenezwa na mabeberu bali ilipaswa tuzindue tulivyotengeneza wenyewe.Ila bado tuko na akili zile zile.
 
Ndege alizonunua nyerere zilienda wapi?
Nyerere akununua ndege,alitaifisha zilizokuwa za africa Mashariki,baada ya kuvunjika jumuia,ndege zenyewe zilikuwa za mkoloni, hivo ilikuwa garama kuziudumia ilikuwa garama kubwa.sasahiviSerikali imenunua mpya kuziudumia ni kazi laisi.
 
Hawa viongozi wetu hawana jipya wanaloweza kuwapa wananchi,kila kitu ni hovyo limekufa,sasa Ili waonekane kama Kuna kitu wanafanya,wanajiweka bize kuzindua vitu vya kawaida,kwenye kupokea Ndege,wanaofaidi ni waliotuuzia,ndio maana hata Balozi wa Canada alikuwepo,na huu ununuzi,inawezekana tunalazimishwa,Ili kuokoa viwanda vya wakubwa huko ulaya na Amerika,hii ishawahi kutokea kipindi Cha Mkapa,Kuna kiwanda huko UK,ilibaki kidogo kifungwe kwa kukosa pesa,tukalazimishwa kununua Rada kwa bei kubwa kuokoa ajira za wazungu,
Huyu mama hana jipya,ajiamini,Uraisi ameupata kwa ndondokela,ka mserereko,kila wakati lazima asisitize yeye ndie amiri jeshi mkuu,hakuna kitu hapa,hana ajenda,ana gusa gusa kila sehemu Ili aonekane anafanya kazi,
 
Jomba una haraka sana na maisha...ndio maana mwishowe mnaangukia pua bila kujua tatizo..unasahau Kwamba juzi tu tumetoka kwenye kundi la nchi masikini tumehamia uchumi wa Kati. ..maendeleo ni mchakato. .hayaji kama upepo. .ni lazima kila maendeleo tunayoyafanya tuweze kuya tambua au recognize tunaweka alama na tunasonga mbele. ..we vipi. .huwezi kupiga ukimya kwenye maendeleo ya Taifa kama hayo...na ukumbuke hizo ni kodi za wananchi ni lazima urudishe mrejesho kwa wananchi Kwamba zile kodi zao ulizokusanya umefanyia hili na lile. ..hii inawapa moyo zaidi wa kuendelea kulipa kodi...unadhani kukusanya kodi ni kitu rahis we Jomba. ...usilete mchezo kwenye mambo serious ya nchi..wewe
 
Mkuu hivi huwa unawaona viongozi wa CCM na wafuasi wao wana akili Timamu kweli?
Hayo ni mazombi ndugu.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…