Ni aibu kubwa Kwa timu kama Simba na yanga kukosa kumiliki uwanja..Kwa Nini Azam Wameweza

Ni aibu kubwa Kwa timu kama Simba na yanga kukosa kumiliki uwanja..Kwa Nini Azam Wameweza

Mpanda nyangobe

JF-Expert Member
Joined
Apr 30, 2015
Posts
762
Reaction score
1,688
Ni ajabu sana timu zinazoongoza kuwa na mashabiki kila upande wa nchi..kukosa viwanja vyao...kila mechi Kwa mkapa..Kwenu hapo??..Jengeni viwanja vyenu bana..Azam wapo mbali sana nchi hii
 
Ni ajabu sana timu zinazoongoza kuwa na mashabiki kila upande wa nchi..kukosa viwanja vyao...kila mechi Kwa mkapa..Kwenu hapo??..Jengeni viwanja vyenu bana..Azam wapo mbali sana nchi hii
Timu za yanga na simba haziendeshwi kiproffesional unategemaje zitakua na uwanja wake.

Midomo ndio inaendesha timu,kugombana kila siku,mara wazee wa timu hawamtaki meneja 🤣🤣,timu zinaendeshwa kimajungu.

Yanga na simba ndio zinaua mpira wa Tz
 
Viongozi wa hizi timu mbili hawana tofauti na CCM! Wanaongoza kisiasa sana. Nguvu kubwa wamewekeza kwenye kusajili wachezaji kwa mbwembwe, na kuchukua makombe!

Imagine timu zote mbili zimeanzishwa miaka ya 1930's! Lakini mpaka leo ni porojo tu. Binafsi namsubiria rais wa Yanga Herci Said aliyeahidi kujenga uwanja wa timu ndani ya miaka 3 ya uongozi wake.

Yaani wanapitwa mpaka na Ihefu, Mtibwa, Geita Gold, Gwambina, na hao Azam!!!
 
Nataka nione uwekezaji wa wakamaria kwenye hizi timu kama utawavusha kujenga hata msingi tu
 
Usitegeme kupata wachangiaji kwenye uzi Kama huu sisi tunachojua nikutupiana maneno ya hovyo humu.

Hata viwanja vya mazoezi hawana Mo kaja kuokoa jahazi juzi tu,hizi timu zinatia aibu sana.
 
Wakijenga viwanja vyao TFF na CCM wamiliki wa viwanja watakufa njaa
 
Ni ajabu sana timu zinazoongoza kuwa na mashabiki kila upande wa nchi..kukosa viwanja vyao...kila mechi Kwa mkapa..Kwenu hapo??..Jengeni viwanja vyenu bana..Azam wapo mbali sana nchi hii
Muogope sana mtu anayeuza vitu vya mia, mia mbili, mia tano.
 
Ccm wanawachora tu unavyotaka kuwaharibia biashara yao
 
Back
Top Bottom