sky soldier
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 5,407
- 19,264
"Life is not fair" alisema nani hii kauli?Imagine mtu ana gpa ya 4.5 hadi 4.9 huko, anamaliza chuo anarudi kitaa na kwao hawapo njema kiuchumi hawezi pata mtaji kirahisi, inakuwa ni aibu sana, umaarufu wa kupata gpa nzuri unageuka kumuaibisha.
Watu hawa wana stress sana, oili waliyochoma chuoni inakuwa imeenda bure,
Sifa ya mtu mwenye digrii ya kwanza kuajiriwa kufundisha chuo lazima awe na kuanzia 3.8GPA.Imagine mtu ana gpa ya 4.5 hadi 4.9 sijawai ona 5.0) , anamaliza chuo anarudi kitaa na kwao hawapo njema kiuchumi hawezi pata mtaji kirahisi, umaarufu wa kupata gpa nzuri unageuka kumuaibisha.
Na mara nyingi aina hii ya watu ni wale tuliokuwa tunawaita kina john kisomo, Sehemu wanayoiwezea zaidi ni masomo na taaluma walizosomea vyuoni, nje ya hapo mambo mengi ni mapya, ni heri wawe wanabakizwa vyuoni wawe hata tutorial assistants.
Watu hawa wana stress sana, oili waliyochoma chuoni inakuwa imeenda bure,
Kila mwaka wabakishwe vyuoni si chuo kitakua na wakufunzi wengi kuliko wanafunzi,halafu watalipwa na nani!?Imagine mtu ana gpa ya 4.5 hadi 4.9 sijawai ona 5.0) , anamaliza chuo anarudi kitaa na kwao hawapo njema kiuchumi hawezi pata mtaji kirahisi, umaarufu wa kupata gpa nzuri unageuka kumuaibisha.
Na mara nyingi aina hii ya watu ni wale tuliokuwa tunawaita kina john kisomo, Sehemu wanayoiwezea zaidi ni masomo na taaluma walizosomea vyuoni, nje ya hapo mambo mengi ni mapya, ni heri wawe wanabakizwa vyuoni wawe hata tutorial assistants.
Watu hawa wana stress sana, oili waliyochoma chuoni inakuwa imeenda bure,
Ni kama anawafokea hivi...Sijui unamwambia nani
Imagine mtu ana gpa ya 4.5 hadi 4.9 sijawai ona 5.0) , anamaliza chuo anarudi kitaa na kwao hawapo njema kiuchumi hawezi pata mtaji kirahisi, umaarufu wa kupata gpa nzuri unageuka kumuaibisha.
Na mara nyingi aina hii ya watu ni wale tuliokuwa tunawaita kina john kisomo, Sehemu wanayoiwezea zaidi ni masomo na taaluma walizosomea vyuoni, nje ya hapo mambo mengi ni mapya, ni heri wawe wanabakizwa vyuoni wawe hata tutorial assistants.
Watu hawa wana stress sana, oili waliyochoma chuoni inakuwa imeenda bure,
zamani elimu ilikuwa chini sana na ngumu, sikuhizi elimu imerahisishwa waweza download kitabu sio kama zamani, kuna online discussions, past papers rahisi sana kuzipata, mejenereta yanawashwa umeme ukikatika, n.k. lakini bado first clasa kuipata ni mziki sio shughuli nyepesiHizi GPA za kupata hadi 4.9 siku hizi zinatoka wapi? Ina maana hata chuo kikuu alichosoma huyo mwanafunzi wameshindwa kumuajiri?
Nina mashaka makubwa na Grade Point Averages (GPA) za miaka hii kwa kweli! Maana yake hapo kwa miaka yote aliyosoma mwanachuo iwe mitano, minne au mitatu alikuwa akipata almost A kila somo kwa kila mwaka. Basi mitaala ya miaka hii ni ya ubabaishaji kabisa!
Zamani ilikuwa kazi mnoo kupata GPA ya aina hiyo, na ikitokea hivyo mwanachuo alikuwa anagombaniwa kama mpira wa kona na idara alizosoma ili abaki pale kuwa tutorial assistant!
Hao wenye hizo GPA ukimwajiri utashangaa vioja sehemu ya kazi!
Anyway, maisha si lazima ajira, kama amekosa ajira aingie kwenye plan B ya maisha! Tatizo la ajira ni dunia nzima, ukisubiri kuajiriwa basi jiandae siku moja kupiga mkasi hicho cheti.
Ni ushauri tu!
zamani elimu ilikuwa chini sana na ngumu, sikuhizi elimu imerahisishwa waweza download kitabu sio kama zamani, kuna online discussions, past papers rahisi sana kuzipata, mejenereta yanawashwa umeme ukikatika, n.k.
Elimu ya zamani kitabu kimoja cha library unamsubiria mwenzako amalize ili usome utalinganisha na sasa kila mwanafunzi ana kitabu kwenye simu ??Sawa, mitihani inayotungwa ipoje standard yake? Na siyo kweli kuwa zamani elimu ilikuwa chini dhidi ya sasa kwa taarifa yako !
Your so naive! Reading bible is source of knowledgeImagine mtu ana gpa ya 4.5 hadi 4.9 sijawai ona 5.0) , anamaliza chuo anarudi kitaa na kwao hawapo njema kiuchumi hawezi pata mtaji kirahisi, umaarufu wa kupata gpa nzuri unageuka kumuaibisha.
Na mara nyingi aina hii ya watu ni wale tuliokuwa tunawaita kina john kisomo, Sehemu wanayoiwezea zaidi ni masomo na taaluma walizosomea vyuoni, nje ya hapo mambo mengi ni mapya, ni heri wawe wanabakizwa vyuoni wawe hata tutorial assistants, pia huwa wanakuwa wachache unakuta kozi nzima yupo moja ama wawili na si ajabu baadhi ya miaka hawapo kabisa.
Watu hawa wana stress sana, oili waliyochoma chuoni inakuwa imeenda bure,