Ni aibu kubwa mwanafunzi awe na first class GPA chuoni abaki mtaani, hawa watu wabakizwe vyuoni, mtaani bila mitaji wanateseka sana

Mwanzo na nafkir mpk sahivi watu baadhi wanafanya HEAD HUNTING vyuoni.

Ingawa huu utaratibu ni mzuri ila kwa maoni yangu si utaratibu mzuri. Wengi wenye GPA kubwa na baadhi nimesoma nao unaona kabisa huyu kafaulu kwa ngekewa tu. Kuna mmoja hata kutumia computer atume assignment hawezi na ni wa Kike huyu.. baadae nikagundua kitu.

Sasa kampuni ikisema ichukue tu ilimradi ana GPA kubwa kuna kubebelea mizigo tu.

Head HUNTING isiwe vyuoni iwe ktk sehemu za kazi...kama alivyofanya Mkurugenzi wa CRDB kipindi kile... alichomoa vichwa vyake akaenda navyo CRDB
 
Imagine mtu ana gpa ya 4.5 hadi 4.9 sijawai ona 5.0) , anamaliza chuo anarudi kitaa na kwao hawapo njema kiuchumi hawezi pata mtaji kirahisi, umaarufu wa kupata gpa nzuri unageuka kumuaibisha.

Na mara nyingi aina hii ya watu ni wale tuliokuwa tunawaita kina john kisomo, Sehemu wanayoiwezea zaidi ni masomo na taaluma walizosomea vyuoni, nje ya hapo mambo mengi ni mapya, ni heri wawe wanabakizwa vyuoni wawe hata tutorial assistants, pia huwa wanakuwa wachache unakuta kozi nzima yupo moja ama wawili na si ajabu baadhi ya miaka hawapo kabisa.

Watu hawa wana stress sana, oili waliyochoma chuoni inakuwa imeenda bure,
Hayo ndiyo matatizo ya akili tuliyorithishwa na wakoloni. Kwamba mtu anayeonekana ana akili nyingi hatima yake ni kuajiriwa!! Niachane na hilo, kama kuna mtu anakubalika kuwa ana akili nyingi, akili nyingi hizo azidhihirishe kwenye usaili wa PSRS!! Mara nyingi sana nafasi za wafadhili hutangazwa na PSRS zikiwemo nafasi za Tutorial Assistants!! Aende huko kwenye usaili aoneshe ubingwa wake!! Asikwepeshwe mkando tukuka wa PSRS kwa kigezo cha GPA!! Nani asiyejua kuwa kuna GPA nyingi tu za kuchonga bongo hii? Kama GPA yake ya 4.9 ni ya halali akaidhihirishe kwenye mkando wa PSRS na atapewa hiyo nafasi!!
 
Kuna ujumbe wao hapa

IMG_20231129_233113.jpg
 
Enzi zetu upatikanaji wa first class ulikuwa kama kaka kuona!! Haipatikani kila mwaka!! Na ikitokea kuna mtu kapata first class hap[o UDSM kulikuwa na utaratibu wa MAPROFESA kusimama na kumpigia makofi!! Siku hizi hata maprofesa hawapigi makofi maana zipo nyingi kila mwaka na thaani yake imeshuka halafu kuna GPA za kuchonga pia siku hizi!!
 
Imagine mtu ana gpa ya 4.5 hadi 4.9 sijawai ona 5.0) , anamaliza chuo anarudi kitaa na kwao hawapo njema kiuchumi hawezi pata mtaji kirahisi, umaarufu wa kupata gpa nzuri unageuka kumuaibisha.

Na mara nyingi aina hii ya watu ni wale tuliokuwa tunawaita kina john kisomo, Sehemu wanayoiwezea zaidi ni masomo na taaluma walizosomea vyuoni, nje ya hapo mambo mengi ni mapya, ni heri wawe wanabakizwa vyuoni wawe hata tutorial assistants, pia huwa wanakuwa wachache unakuta kozi nzima yupo moja ama wawili na si ajabu baadhi ya miaka hawapo kabisa.

Watu hawa wana stress sana, oili waliyochoma chuoni inakuwa imeenda bure,
Huo utafiti umeufanya wapi mujuaji?
Embu twekee hzo data basi na wewe au uache uupumbafu.
 
Imagine mtu ana gpa ya 4.5 hadi 4.9 sijawai ona 5.0) , anamaliza chuo anarudi kitaa na kwao hawapo njema kiuchumi hawezi pata mtaji kirahisi, umaarufu wa kupata gpa nzuri unageuka kumuaibisha.

Na mara nyingi aina hii ya watu ni wale tuliokuwa tunawaita kina john kisomo, Sehemu wanayoiwezea zaidi ni masomo na taaluma walizosomea vyuoni, nje ya hapo mambo mengi ni mapya, ni heri wawe wanabakizwa vyuoni wawe hata tutorial assistants, pia huwa wanakuwa wachache unakuta kozi nzima yupo moja ama wawili na si ajabu baadhi ya miaka hawapo kabisa.

Watu hawa wana stress sana, oili waliyochoma chuoni inakuwa imeenda bure,
Tatizo kubwa katika ajira zetu ni unamjua nani na si unajua nini.
Sababu kubwa ni kulindana kimaslahi unakuta mnawekana kwenye shirika, kitengo au ofisi watu mnaojuana ili kulindiana maslahi, hivyo ndiyo maana wale vichwa wasiyo na wa kuwashika mkono wapo mitaani na wale wa hovyo ambao wana watu wao wanapata ajira. Haya sasa ndiyo tunayoyaona yakiendelea nchini, umeme shida, miundo mbinu shida, bidhaa na huduma zinazidi kupanda bei kutokana na watu wanaopewa amana za nyadhifa si wenye taaluma nazo.
 
Back
Top Bottom