cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 96,456
- 156,324
Uko sahihi sana.Waambie waigeuza hyo GPA kuwa pesa...wakishindwa wajionee huruma wenyewe...na wawe mfano kwa watoto wao..
Vyuoni ni sehemu nzuri ya connection....sio mashindano
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uko sahihi sana.Waambie waigeuza hyo GPA kuwa pesa...wakishindwa wajionee huruma wenyewe...na wawe mfano kwa watoto wao..
Vyuoni ni sehemu nzuri ya connection....sio mashindano
Hayo ndiyo matatizo ya akili tuliyorithishwa na wakoloni. Kwamba mtu anayeonekana ana akili nyingi hatima yake ni kuajiriwa!! Niachane na hilo, kama kuna mtu anakubalika kuwa ana akili nyingi, akili nyingi hizo azidhihirishe kwenye usaili wa PSRS!! Mara nyingi sana nafasi za wafadhili hutangazwa na PSRS zikiwemo nafasi za Tutorial Assistants!! Aende huko kwenye usaili aoneshe ubingwa wake!! Asikwepeshwe mkando tukuka wa PSRS kwa kigezo cha GPA!! Nani asiyejua kuwa kuna GPA nyingi tu za kuchonga bongo hii? Kama GPA yake ya 4.9 ni ya halali akaidhihirishe kwenye mkando wa PSRS na atapewa hiyo nafasi!!Imagine mtu ana gpa ya 4.5 hadi 4.9 sijawai ona 5.0) , anamaliza chuo anarudi kitaa na kwao hawapo njema kiuchumi hawezi pata mtaji kirahisi, umaarufu wa kupata gpa nzuri unageuka kumuaibisha.
Na mara nyingi aina hii ya watu ni wale tuliokuwa tunawaita kina john kisomo, Sehemu wanayoiwezea zaidi ni masomo na taaluma walizosomea vyuoni, nje ya hapo mambo mengi ni mapya, ni heri wawe wanabakizwa vyuoni wawe hata tutorial assistants, pia huwa wanakuwa wachache unakuta kozi nzima yupo moja ama wawili na si ajabu baadhi ya miaka hawapo kabisa.
Watu hawa wana stress sana, oili waliyochoma chuoni inakuwa imeenda bure,
Huo utafiti umeufanya wapi mujuaji?Imagine mtu ana gpa ya 4.5 hadi 4.9 sijawai ona 5.0) , anamaliza chuo anarudi kitaa na kwao hawapo njema kiuchumi hawezi pata mtaji kirahisi, umaarufu wa kupata gpa nzuri unageuka kumuaibisha.
Na mara nyingi aina hii ya watu ni wale tuliokuwa tunawaita kina john kisomo, Sehemu wanayoiwezea zaidi ni masomo na taaluma walizosomea vyuoni, nje ya hapo mambo mengi ni mapya, ni heri wawe wanabakizwa vyuoni wawe hata tutorial assistants, pia huwa wanakuwa wachache unakuta kozi nzima yupo moja ama wawili na si ajabu baadhi ya miaka hawapo kabisa.
Watu hawa wana stress sana, oili waliyochoma chuoni inakuwa imeenda bure,
Tatizo kubwa katika ajira zetu ni unamjua nani na si unajua nini.Imagine mtu ana gpa ya 4.5 hadi 4.9 sijawai ona 5.0) , anamaliza chuo anarudi kitaa na kwao hawapo njema kiuchumi hawezi pata mtaji kirahisi, umaarufu wa kupata gpa nzuri unageuka kumuaibisha.