Ni aibu kubwa, vijana wa kiume kuishi kwa kukata viuno kwenye mabaa ili kupata riziki. Kwa nini wasilime?

Ni aibu kubwa, vijana wa kiume kuishi kwa kukata viuno kwenye mabaa ili kupata riziki. Kwa nini wasilime?

Inashangaza saba eti kunakuwa na mashindano ya vijana wa kiume kukata mauno kwenye mabaa na kujiita wacheza dance.

Wanashindwa kulima bustani za mbogamboga?

Mbaya zaidi wanakata mauno kuliko hata wanawake
Tatizo liko wapi hapo, na hayo ndio maisha waliochagua, wakata viuno lazima wawepo ili watuburudishe sisi wakulima. Kila mtu afanye kile anakipenda asivunje sheria za nchi tu.
 
Aibu kubwa sana ipo kwako mleta mada yaani vijana wote wakata viuno walime mchicha.bongo nzima itakuwa shamba huo mchicha watamuuzia nani.?bongo ni kama sufuria kubwa yenye mseto wa kutosha Cha muhimu ni kupakua unachoweza

Baada ya mihangaiko ya siku nzima kubuma ukaona ukaangalie vijana wakata mauno kusogeza muda ili ukaegeshe fuvu.Ila kilichokuuma ni kuona wakata mauno wanaingiza peaa kirahisi angali wewe mishe zako za mboga zimebuma..pole sana mkuu ndio maisha
 
Inashangaza saba eti kunakuwa na mashindano ya vijana wa kiume kukata mauno kwenye mabaa na kujiita wacheza dance.

Wanashindwa kulima bustani za mbogamboga?

Mbaya zaidi wanakata mauno kuliko hata wanawake
Cc .Diamond Platnamz,rais wa wakata viuno Tanzania
 
Kila mtu ashinde mechi zake; pengine ungewauliza kujua nini kimewasibu, na namna gani unaweza kuwasaidia na sio kuwachagulia kazi.
 
Back
Top Bottom