Ni aibu kubwa, vijana wa kiume kuishi kwa kukata viuno kwenye mabaa ili kupata riziki. Kwa nini wasilime?

Wote wakienda kulima atakayetoa burudani ya kukata mauno atakuwa nani, hii ni moja ya mgawanyo wa majukumu....wasanii nao lazima wawepo ili jamii iweze kukamilika.
 
Inashangaza sana eti kunakuwa na mashindano ya vijana wa kiume kukata mauno kwenye mabaa na kujiita wacheza dance.

Wanashindwa kulima bustani za mbogamboga?

Mbaya zaidi wanakata mauno kuliko hata Wanawake
Ukiona hivyo ujue kuna wateja wa viuno vyao.
 
Inashangaza sana eti kunakuwa na mashindano ya vijana wa kiume kukata mauno kwenye mabaa na kujiita wacheza dance.

Wanashindwa kulima bustani za mbogamboga?

Mbaya zaidi wanakata mauno kuliko hata Wanawake
nawe jiunge nao
 
Ndo malezi yao waliyoyapitia

Mlee.mwwnao asikate mauno kwenye bar mkuu
 
Kuna siku nilipita pale Liquid pub iliyoko hapo kurasin opposite na TIA nilishangaa Sana !!!wanaume kama mabint
 
Inashangaza sana eti kunakuwa na mashindano ya vijana wa kiume kukata mauno kwenye mabaa na kujiita wacheza dance.

Wanashindwa kulima bustani za mbogamboga?

Mbaya zaidi wanakata mauno kuliko hata Wanawake
Bora useme
 
Aibu kubwa sana ipo kwako mleta mada yaani vijana wote wakata viuno walime mchicha.bongo nzima itakuwa shamba huo mchicha watamuuzia nani.?bongo ni kama sufuria kubwa yenye mseto wa kutosha Cha muhimu ni kupakua unachoweza

Baada ya mihangaiko ya siku nzima kubuma ukaona ukaangalie vijana wakata mauno kusogeza muda ili ukaegeshe fuvu.Ila kilichokuuma ni kuona wakata mauno wanaingiza peaa kirahisi angali wewe mishe zako za mboga zimebuma..pole sana mkuu ndio maisha
Upumbavu tu umeandika
 
Inashangaza sana eti kunakuwa na mashindano ya vijana wa kiume kukata mauno kwenye mabaa na kujiita wacheza dance.

Wanashindwa kulima bustani za mbogamboga?

Mbaya zaidi wanakata mauno kuliko hata Wanawake
Kila mtu ana njia yake yamafanikio
 
Kuna siku nilipita pale Liquid pub iliyoko hapo kurasin opposite na TIA nilishangaa Sana !!!wanaume kama mabint
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom