Nangu Nyau
JF-Expert Member
- Jul 1, 2022
- 5,015
- 14,139
Kuna watu hapo juu wanajaribu kutafuta nanna ya kutetea hili jambo lakini ukweli utabaki ukweli, haikubariki kwa nchi masikini kama Tanzania kuruhusu vijana kuwa wajinga.
Taifa masikini kama Tanzania, kwa sasa linahitaji kizazi shupavu, makini na wachapa kazi kusongesha uchumi mbele, na huko mbele tunakuwa na Taifa strong na la watu jeuri wenye miguvu kiafya, kiakili na kiuchumi. Kuruhusu vijana kukatakata viuno ni kuachia nguvu kazi ipokee..