Muuza Kangala
JF-Expert Member
- Jul 21, 2021
- 1,242
- 4,813
Kukata kiuno ni rahisi zaidi sio?Kilimo ndiyo umeona rahisi?
Kilimo kinahitaji mtaji,ujuzi,uvumilivu nk.si rahisi Kama unavyofikiria.
Saa tisa usiku uko Bar?Inashangaza saba eti kunakuwa na mashindano ya vijana wa kiume kukata mauno kwenye mabaa na kujiita wacheza dance.
Wanashindwa kulima bustani za mbogamboga?
Mbaya zaidi wanakata mauno kuliko hata wanawake
Tatizo liko wapi hapo, na hayo ndio maisha waliochagua, wakata viuno lazima wawepo ili watuburudishe sisi wakulima. Kila mtu afanye kile anakipenda asivunje sheria za nchi tu.Inashangaza saba eti kunakuwa na mashindano ya vijana wa kiume kukata mauno kwenye mabaa na kujiita wacheza dance.
Wanashindwa kulima bustani za mbogamboga?
Mbaya zaidi wanakata mauno kuliko hata wanawake
Cc .Diamond Platnamz,rais wa wakata viuno TanzaniaInashangaza saba eti kunakuwa na mashindano ya vijana wa kiume kukata mauno kwenye mabaa na kujiita wacheza dance.
Wanashindwa kulima bustani za mbogamboga?
Mbaya zaidi wanakata mauno kuliko hata wanawake