Nangu Nyau
JF-Expert Member
- Jul 1, 2022
- 5,015
- 14,139
Tanzania asilimia kubwa ya wakulima ni maskini.Nani aliyekwambia kuwa kilimo wanafanya watu masikini?
Kilimo ndiyo umeona rahisi?
Kilimo kinahitaji mtaji,ujuzi,uvumilivu nk.si rahisi Kama unavyofikiria.
Kama njaa zinawapeleka huko ndio maana idadi ya masokositi inaongezekaInashangaza saba eti kunakuwa na mashindano ya vijana wa kiume kukata mauno kwenye mabaa na kujiita wacheza dance.
Wanashindwa kulima bustani za mbogamboga?
Mbaya zaidi wanakata mauno kuliko hata wanawake
Hoja sio kilimo weka na we wazo lako kutokana na mada ya kukata viunoKilimo ndiyo umeona rahisi?
Kilimo kinahitaji mtaji,ujuzi,uvumilivu nk.si rahisi Kama unavyofikiria.
wewe tu mkuu na muono wakoUkitaka kuwa maskini nchi hii kuwa mkulima.
Hivi atakuwa bado yule kweli we unavyoona??!!Kuna wengine wanajiita eti machawa, mtu kama Mwijaku asipo angalia ataingiliwa kinyume na maumbile ili kupata pesa.
Si vyema kuwapangia watu maisha mkuu.Inashangaza saba eti kunakuwa na mashindano ya vijana wa kiume kukata mauno kwenye mabaa na kujiita wacheza dance.
Wanashindwa kulima bustani za mbogamboga?
Mbaya zaidi wanakata mauno kuliko hata wanawake
Tatizo la Mkulima limbukeni,anatamani watu wote walime Kama yeye,utazani yeye kulima kalazimishwa!!!Aibu kubwa sana ipo kwako mleta mada yaani vijana wote wakata viuno walime mchicha.bongo nzima itakuwa shamba huo mchicha watamuuzia nani.?bongo ni kama sufuria kubwa yenye mseto wa kutosha Cha muhimu ni kupakua unachoweza
Baada ya mihangaiko ya siku nzima kubuma ukaona ukaangalie vijana wakata mauno kusogeza muda ili ukaegeshe fuvu.Ila kilichokuuma ni kuona wakata mauno wanaingiza peaa kirahisi angali wewe mishe zako za mboga zimebuma..pole sana mkuu ndio maisha
Kwa hiyo tukitaka burudani ya vijana wacheza singeri ni lazima tu kodishe kutoka nje!!? Maana wetu wote watakua ni Wakulima!!!Kuna watu hapo juu wanajaribu kutafuta nanna ya kutetea hili jambo lakini ukweli utabaki ukweli, haikubariki kwa nchi masikini kama Tanzania kuruhusu vijana kuwa wajinga.
Taifa masikini kama Tanzania, kwa sasa linahitaji kizazi shupavu, makini na wachapa kazi kusongesha uchumi mbele, na huko mbele tunakuwa na Taifa strong na la watu jeuri wenye miguvu kiafya, kiakili na kiuchumi. Kuruhusu vijana kukatakata viuno ni kuachia nguvu kazi ipokee..
Sahv tuko kwenye kizazi cha wakata mauno kila mtoto anataka awe kama msani fulaniInashangaza saba eti kunakuwa na mashindano ya vijana wa kiume kukata mauno kwenye mabaa na kujiita wacheza dance.
Wanashindwa kulima bustani za mbogamboga?
Mbaya zaidi wanakata mauno kuliko hata wanawake
Mwambie aendee kwenye mahafali ya Wanafunzi kuanzia chekechea hadi chuo kikuu ni mwendo wa mauno tu,si wa kike wala wa kiume! Tena wanakatika mbele ya walimu na wazazi wao! Alafu Mzazi mmoja anakuja humu anajifanya analaumu vijana wa kiume kukata maunoo! Hajui Sasa hivi kila Mtoto anataka kua daimondiiii!!!???Sahv tuko kwenye kizazi cha wakata mauno kila mtoto anataka awe kama msani fulani
Mwendo wa mauno tu
Ova
Na kipimo cha maana cha mtu kukata kiuno ni kitandani tu.Siwatetei ila hata ngoma zetu nyingi wakoloni wailkuwa na haki ya kuziita za kishenzi ,yaani mibaba inakata viuno huku imejifunga kibwaya mfano sindimba
Hao hawako kama mnavyowafikiriaKuna wengine wanajiita eti machawa, mtu kama Mwijaku asipo angalia ataingiliwa kinyume na maumbile ili kupata pesa.