Nyankurungu2020
JF-Expert Member
- Oct 2, 2020
- 4,170
- 6,757
Halafu usisahahu kuwa alikwenda uingereza kama "mkimbizi" siyo mhamiaji au mzamiaji!!Ni kweli huyu Prof ni mtu mwenye asili ya Tanzania visiwani na amekuwa akifundisha University of Kent tangu mwaka 1982. Amendika vitabu vingi tu lakini sijawahi kusikia serikali yetu ya Tanzania ikijisifu kuwa kuna mtanzania anafanya kazi nzuri za fasihi huko Uingereza. Sijawahi kusikia hata hapa nyumbani jina lake likitajwa.
Leo hii baada ya kushinda tuzo ya Nobel upande wa fasihi naona kila kiongozi wa serikali anataka kutuaminisha kuwa Prof Gurnah ni shujaa wa Tanzania.
Kama ni shujaa wa taifa letu mbona huko nyuma hamkumtambua? Mbona hamjawahi kuthamini kazi zake?
Siku hizi tuna uraia pacha?Halafu usisahahu kuwa alikwenda uingereza kama "mkimbizi" siyo mhamiaji au mzamiaji!!
Samahani, Mkuu!Ni kweli huyu Prof ni mtu mwenye asili ya Tanzania visiwani na amekuwa akifundisha University of Kent tangu mwaka 1982...
Wanafiki tu....It is hypocrite, Yaani leo ndiyo mnamuona anafaa. Nchi gani isiyojali watu wenye asili yake? Yaani wanafikiri kuwanyang'anya mali zao kisa tu watanzania wamebadilisha uraia ili wapate maisha mazuri na wawasaidie nyumbani huku.Ni kweli huyu Prof ni mtu mwenye asili ya Tanzania visiwani na amekuwa akifundisha University of Kent tangu mwaka 1982amkumtambua? Mbona hamjawahi kuthamini kazi zake?
Tunaendesha nchi kiuswahiliswahili, njaa yako ni yako shibe yangu ni yetu.Ni kweli huyu Prof ni mtu mwenye asili ya Tanzania visiwani na amekuwa akifundisha University of Kent tangu mwaka 1982....
Hayo yote ni madhara ya kuendelea kuwa na katiba iliyopitwa na wakati.Ni kweli huyu Prof ni mtu mwenye asili ya Tanzania visiwani na amekuwa akifundisha University of Kent tangu mwaka 1982...
Nikutotumia muda angalau kujitafakali kabla ya kutoa matamko ya kuunga mkono jambo.Wao wanahisi kila Jambo ni siasa....sijui ni namna ya kutafuta political milestone au ni ujuaji tu Kama taifa stars.
Serikale kuingilia kichwakichwa kwenye mambo ya msingi kama haya ni aibu sana.Kwani Ni jukumu la Nani kum aknowlegde mchango wake...hata wewe ungeweza kum aknowlegde inaruhusiwa
Tatizo hapa ni jinsi watawala walivyo amua kuuteka huu mjadala wa hiyo tuzo ya Nobeli.Kwani yeye ndio wakwanza kuandika vitabu mkuu. Vitabu kila Professor anaviandika duniani. Professor Mhongo mwenyewe anavitabu, sir unga mwenyewe anavitabu. Nobel Prize na vitabu ni vitu viwili tofauti.
Sisi kama serikali tukisema tuanze kusifia hadi waandishi wa vitabu hiyo kazi mbona itakua ni ngumu sana. Waandishi wa vitabu husifiwa na vyuo vyao au kwenye journals.
Nadhani watawala wanaficha aibu kuona mkimbizi anatunukiwa hiyo tuzo.Halafu usisahahu kuwa alikwenda uingereza kama "mkimbizi" siyo mhamiaji au mzamiaji!!
Kama alivyo Kibu DenisNi Mtanzania huyo!?!!
Kwani Kibu wa simba ana uraia wa nchi ngapi?Siku hizi tuna uraia pacha?
Ana uraia wa wapi huyo?
Denis Kibu ni raia wa nchi gani?Jambo la kwanza, rekebisha maelezo, kwa mujibu wa katiba yetu huyo sio mtanzania ila ana asili ya Tanzania.
Well saidNi kweli huyu Prof ni mtu mwenye asili ya Tanzania visiwani na amekuwa akifundisha University of Kent tangu mwaka 1982. Amendika vitabu vingi tu lakini sijawahi kusikia serikali yetu ya Tanzania ikijisifu kuwa kuna mtanzania anafanya kazi nzuri za fasihi huko Uingereza. Sijawahi kusikia hata hapa nyumbani jina lake likitajwa.
Leo hii baada ya kushinda tuzo ya Nobel upande wa fasihi naona kila kiongozi wa serikali anataka kutuaminisha kuwa Prof Gurnah ni shujaa wa Tanzania.
Kama ni shujaa wa taifa letu mbona huko nyuma hamkumtambua? Mbona hamjawahi kuthamini kazi zake?