Ni aibu kwa taifa letu kumuona Prof Abdulrazak Gurnah kama shujaa wa taifa letu, wakati huko nyuma hajawahi kutambuliwa kwa kazi alizofanya

Halafu usisahahu kuwa alikwenda uingereza kama "mkimbizi" siyo mhamiaji au mzamiaji!!
Sio kweli kwamba alienda kama mkimbizi. Huyu aliondoka Zanzibar 1960 - kwa mujibu wa DW. Wakati huo hakukuwa na sababu ya ukimbizi.
 
Ni kweli huyu Prof ni mtu mwenye asili ya Tanzania visiwani na amekuwa akifundisha University of Kent tangu mwaka 1982. Amendika vitabu vingi tu lakini sijawahi kusikia serikali yetu ya Tanzania ikijisifu kuwa kuna mtanzania anafanya kazi nzuri za fasihi huko Uingereza. Sijawahi kusikia hata hapa nyumbani jina lake likitajwa.

Leo hii baada ya kushinda tuzo ya Nobel upande wa fasihi naona kila kiongozi wa serikali anataka kutuaminisha kuwa Prof Gurnah ni shujaa wa Tanzania.

Kama ni shujaa wa taifa letu mbona huko nyuma hamkumtambua? Mbona hamjawahi kuthamini kazi zake?
Prof Yupo kwenye ILANI ya CCM 2020/2025
 
Samahani, Mkuu!

Naomba kama kuna kitabu chake chochote alichoandika kwa KISWAHILI unitajie.
Memory of Departure (1987), grapple with betrayals and broken promises on the part of the state or those in power, and focus on people who leave home in search of better lives.

[emoji115][emoji115][emoji115] Hiko siyo kizaramo.
 
Ni kweli huyu Prof ni mtu mwenye asili ya Tanzania visiwani na amekuwa akifundisha University of Kent tangu mwaka 1982. Amendika vitabu vingi tu lakini sijawahi kusikia serikali yetu ya Tanzania ikijisifu kuwa kuna mtanzania anafanya kazi nzuri za fasihi huko Uingereza. Sijawahi kusikia hata hapa nyumbani jina lake likitajwa.

Leo hii baada ya kushinda tuzo ya Nobel upande wa fasihi naona kila kiongozi wa serikali anataka kutuaminisha kuwa Prof Gurnah ni shujaa wa Tanzania.

Kama ni shujaa wa taifa letu mbona huko nyuma hamkumtambua? Mbona hamjawahi kuthamini kazi zake?
Tatizo nchi inaongozwa na wajinga.Watu walikuwa na akili kidogo darasani ila walibebwa kwa kujipendekeza,uchawi na woga.Waliandamana wakisema Zanzibar si nchi ya machotara,Leo hii wanajitapa kwamba chotara Ni shujaa wao.Huu si ni ujinga huu
 
Sio kweli kwamba alienda kama mkimbizi. Huyu aliondoka Zanzibar 1960 - kwa mujibu wa DW. Wakati huo hakukuwa na sababu ya ukimbizi.
Gurnah grew up on one of the islands of Zanzibar before fleeing persecution and arriving in England as a student in the 1960s.

Soma na hapa[emoji116][emoji116][emoji116]

Gurnah was born in 1948, growing up in Zanzibar. When Zanzibar went through a revolution in 1964, citizens of Arab origin were persecuted, and Gurnah was forced to flee the country when he was 18. He began to write as a 21-year-old refugee in England, choosing to write in English, although Swahili is his first language.
 
Samahani, Mkuu!

Naomba kama kuna kitabu chake chochote alichoandika kwa KISWAHILI unitajie.
Hakuna kitabu alichoandika kwa Kiswahili, japo lugha yake 'mama' ni Kiswahili.

[emoji116][emoji116][emoji116]

He began to write as a 21-year-old refugee in England, choosing to write in English, although Swahili is his first language.
 
Ni kweli huyu Prof ni mtu mwenye asili ya Tanzania visiwani na amekuwa akifundisha University of Kent tangu mwaka 1982. Amendika vitabu vingi tu lakini sijawahi kusikia serikali yetu ya Tanzania ikijisifu kuwa kuna mtanzania anafanya kazi nzuri za fasihi huko Uingereza. Sijawahi kusikia hata hapa nyumbani jina lake likitajwa.

Leo hii baada ya kushinda tuzo ya Nobel upande wa fasihi naona kila kiongozi wa serikali anataka kutuaminisha kuwa Prof Gurnah ni shujaa wa Tanzania.

Kama ni shujaa wa taifa letu mbona huko nyuma hamkumtambua? Mbona hamjawahi kuthamini kazi zake?
Mjomba akitoboa lazma umshobokee
hata kama ulikua hufaham ni ndugu yako
 
Denis Kibu ni raia wa nchi gani?

Kwanza hata nilikua sumfaham ndio nimemsikia kwako na kujua sakata la uraia wake limehitimishwa 30 September 2021.

Unataka kusemaje kuhusu uraia wa Prof. Gurnay?

Mbona unataka kuchanganya mambo? Yule sio mtanzania.
 
Kwahiyo Kibu ni mtanzania?
 
Ni kweli huyu Prof ni mtu mwenye asili ya Tanzania visiwani na amekuwa akifundisha University of Kent tangu mwaka 1982. Amendika vitabu vingi tu lakini sijawahi kusikia serikali yetu ya Tanzania ikijisifu kuwa kuna mtanzania anafanya kazi nzuri za fasihi huko Uingereza. Sijawahi kusikia hata hapa nyumbani jina lake likitajwa.

Leo hii baada ya kushinda tuzo ya Nobel upande wa fasihi naona kila kiongozi wa serikali anataka kutuaminisha kuwa Prof Gurnah ni shujaa wa Tanzania.

Kama ni shujaa wa taifa letu mbona huko nyuma hamkumtambua? Mbona hamjawahi kuthamini kazi zake?
Wewe ulikuwa unamfahamu kabla ya tuzo ama nawe ni kama serikali umemjua baada?
 
Ni kweli huyu Prof ni mtu mwenye asili ya Tanzania visiwani na amekuwa akifundisha University of Kent tangu mwaka 1982. Amendika vitabu vingi tu lakini sijawahi kusikia serikali yetu ya Tanzania ikijisifu kuwa kuna mtanzania anafanya kazi nzuri za fasihi huko Uingereza. Sijawahi kusikia hata hapa nyumbani jina lake likitajwa.

Leo hii baada ya kushinda tuzo ya Nobel upande wa fasihi naona kila kiongozi wa serikali anataka kutuaminisha kuwa Prof Gurnah ni shujaa wa Tanzania.

Kama ni shujaa wa taifa letu mbona huko nyuma hamkumtambua? Mbona hamjawahi kuthamini kazi zake?
Taifa halina utaratibu wa kutengeneza mashujaa wake. Mashujaa wa Tanzania wanajitengeneza wenyewe kisha Taifa linawashangilia. Ndio Mambo yetu hayo. Ujue!
 
Nakubaliana na wewe
 
Back
Top Bottom