Ni aibu kwa taifa letu kumuona Prof Abdulrazak Gurnah kama shujaa wa taifa letu, wakati huko nyuma hajawahi kutambuliwa kwa kazi alizofanya

Sio aibu. Hii nchi ina watu wengi sana ndani na nje. Hatuwezi kuwatambua wote kwa pamoja. Linapotokea jambo la kufanya mtu ajulikane kiasi hicho ni vyema kumpongeza
 
Mufilisi wa agenda ndio hudandia kila linalo kuja mbele yao ili kujipatiia sifa rahisi rahisi.
 
Macho_Mdiliko.

Unafikiri uzalendo ni nini?
Unaweza kuwa mzalendo kama huithamini lugha yako ya Taifa?

Unaweza kuwa mzalendo kama huiwakilishi lugha yako ya Taifa vema kimataifa?

Kiswahili si alama ya Taifa?
Hebu nitajie alama za Taifa.

Mmeulizwa Bw. Gurnnah ana uraia wa nchi gani? Badala mjibu mnaruka.

Abdulrazack Gurnnah ni raia wa nchi ipi?
Tanzania ina uraia pacha?

Matusi hayajengi, Karibu tujifunze pamoja.
 
Kwani walishazisoma hizo kazi zake?
Si wanapenda sifa tu?
Ila wale wanaokamatwa huko uchina na A kusini hatuwajui!
 
Bangi ikikutwa shamban kwako hiyo n yako lakini Madin hayo....
 

Viongozi wa Tanzania/CCM hawataki “vichwa”, wanataka “wazalendo”.

Aidha, wana hulka ya kuwaona Watanzania walio nje kama wapinzani fulani hivi; kama supporters wa CHADEMA vile. Hawako tayari hata kuruhusu watanzania hao wapige kura kwa uratibu wa balozi za Tz huko nje.

Kuna nchi haziruhusu uraia pacha lakini zinathamini na kutumia sana vipaji vya watu wenye asili ya nchi yao. Zinawapa vitambulisho maalum waweze kuingia na kufanya shughuli nchini kirahisi zaidi. Mfano ni Ethiopia.
 
Ukiona hata demu yoyote Bar anajipendekeza kwa mtu mwenye bia nyingi mezani basi hesabu hasara .

Wameona amepata heshima wanampapatikia , lakini huko unguja mwenye rangi kama yake huitwa CHOTARA (HIZBU)
 
Sisi tunamtambua mondi,kiba,konde,zch etsetera

Ova
 
Kwani alikuwa anaiandikia Serekali au alikuwa anaandika kwa faida yake? Hata sasa Serekali imepongeza kwakuwa jina Tanzania limetajwa na hiyo ndio sifa kwetu ila hela zake faida yake
 
Kwani alikuwa anaiandikia Serekali au alikuwa anaandika kwa faida yake? Hata sasa Serekali imepongeza kwakuwa jina Tanzania limetajwa na hiyo ndio sifa kwetu ila hela zake faida yake
Huna akili we bwege.
 
Umepata wapi hiyo?! Umetoa kichwani, au?

Na waandaaji wa Nobel na wenyewe ni media hata washindwe kusema ni Mwingereza?

Kent University ambako amefanya kazi kwa miaka kadhaa na wenyewe ni media hata kwenye biography yake washindwe kusema ni Mwingereza?

Anyway, tuyaache hayo na tuchukue mifano ya wazi...
As a young, Kenyan-Mexican actress living and working in America, Nyong’o said she had made a habit of suppressing her accent, a natural composite of the places she’s lived.
hao ni The New York Times wakimzungumzia Lupita... kwanini wasiandike "Kenyan" Actress na badala yake wamemtambua kutokana na uraia wake pacha?

Kisha hapa:-
The Kenyan-Mexican actress is the third woman of African descent to win the award in its 25-year history.
Hapo juu ni Washington Post wakimzungumzia Lupita... na wenyewe wamemtaja kama uraia wake unavyosema!

People Magazine, na wenyewe hawa hapa....
Wait... usije kusema Lupita amezaliwa Mexico, kwahiyo lazima wataje uraia wa kule alikozaliwa na wa asili, lakini Eurosport hawa hapa:-
Viera kaitwa Frenchman wakati kazaliwa Senegal

The Guardian UK nao hawa hapa...
Nao wanamuita Viera "a Frenchman"!!

Tafuta mifano mingine yoyote unayoifahamu wewe, unless kama sijakuelewaulikuwa unajaribu kusema nini hasa. Na labda hapa niseme jambo moja... inawezekana ni kweli Abdulrazak akawa ni British Citizen lakini narudia tena, sijaona source yoyote (maybe ipo) inayosema he's British!! And trust me, am good at researching!!!

Nina hofu kwamba unachanganya kati ya uraia na ukaazi wa kudumu (Permanent Residency). Inawezekana Abdulrazak akawa na UK Permanent Residency Status lakini hiyo hamfanyi kuwa British Citizen!!

US too, hata ukipata status ya permanent residency au ukipata green card through diversity program, bado utaendelea kutambulika kama raia wa nchi ulikotoka. Ukiwa naturalized, ndo utaanza kutambulika kama US Citizen na kuanzia hapo utakuwa regarded as a US Citizen and any other citizenship lakini utaapa allegiance to the US!
Kama wanaona ni Mtanzania, wanafanya kosa lipi wakimchukulia kwamba ni Mtanzania? Kuna yeyote aliyeonesha ushahidi kwamba the old man sio Mtanzania?! Hata wewe una reference yoyote reliable ambayo inasema ni British Citizen?

Tulikuwa na akina Abdulrahman Babu ambao nao ni Wazanzibar na walienda uhamishoni UK lakini bado walibaki na uraia wao wa TZ!! Similar to Babu, we also had people like Kambona!
 
Vipi dadangu, mbona unaleta matusi bila sababu za msingi? Ni ulumbukeni wa mitandao auujanja wa kuiga? Au ndo heat period zako zinakujiaga kwa staili hiyo? Acha use'nge dadangu, manake kama unajiona wewe fyatu basi kuna mafyatu zaidi yako kahaba mkubwa wewe....

Halafu ona ulivyo mpumbavu?! Yaani ulitaka ufahamu uwepo wake kwa sababu alikuwa anafundisha Kent University? Hivi una akili timamu kweli wewe?! Au una akili ya kuvua chupi tu tayari kwa kuingiliwa?
 
Tayari nimeshakumwaga mavi
 
Tayari nimeshakumwaga mavi
Naona umeguswa taco kidogo tu, unaanza kukatika kwa juhudi ukidhani ndo ushapata bwana! We Kima kweli... my dick despises empty headed pussies!! So, consider yourself ignored!!
 
Anashughulika na vitabu vya lugha gani?

Nitajie kitabu chake hata angalau kimoja kilichoandikwa kwa Lugha ya Kiswahili.
Tutajie kitabu ambacho mwandishi nguli wa Nigeria, Chinua Achebe, aliandika kwa lugha yoyote ya Nigeriia isipokuwa Kiingereza.
 
by the way serekali ya Tanzania haijawahi kuhoji urahia wake kweli?. .........................nikilri wazi kuwa sisi bado hatujastaarabika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…