Artifact Collector
JF-Expert Member
- Mar 7, 2019
- 6,617
- 10,205
Sio ujinga je ana uraia wa TanzaniaKweli ujinga ni mzigo.
Jiongeze.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sio ujinga je ana uraia wa TanzaniaKweli ujinga ni mzigo.
Jiongeze.
Sawa. Mkuu kwa sheria yetu ya uraia bado ni Mtanzania ikiwa hajaukana Utanzania.Soma historia yake vizuri, ni kati ya waliokimbia wakati wa mapinduzi. Alikuwa upande sultani.
Mkuu bado Gurnah ni Mtanzania ikiwa hajaukana Utanzania.Ishu iliopo hapo ni Raia wa Tanzania au hana asili ya Tanzania visiwani .
Then katiba yetu hairuusu uraia pacha
Uko sahivi 💯Taifa halina utaratibu wa kutengeneza mashujaa wake. Mashujaa wa Tanzania wanajitengeneza wenyewe kisha Taifa linawashangilia. Ndio Mambo yetu hayo. Ujue!
Ana asili ya Zanzibar, na kama Tanzania hatuna Dual citizenship automatically huyu novelist siyo Mtanzania.Sio ujinga je ana uraia wa Tanzania
Samahani, Mkuu!
Naomba kama kuna kitabu chake chochote alichoandika kwa KISWAHILI unitajie.
Umesema vema, mkuu!Jambo la kwanza, rekebisha maelezo, kwa mujibu wa katiba yetu huyo sio mtanzania ila ana asili ya Tanzania.
Anashughulika na vitabu vya lugha gani?Hapa wanazungumza juu ya “ENGLISH LITERATURE AU LITERATURE IN ENGLISH” na siyo Kiswahili/Swahili Literature!!!!!! wabongo vipi?!!
Hapo nimekupata vema kabisa.Ana asili ya Zanzibar, na kama Tanzania hatuna Dual citizenship automatically huyu novelist siyo Mtanzania.
Mkuu ukipata nafasi ya kufundisha UD na nje huko ulaya bora fanya kazi huko huko hapa hutatambulika utamalizwa na siasa tu.Ni kweli huyu Prof ni mtu mwenye asili ya Tanzania visiwani na amekuwa akifundisha University of Kent tangu mwaka 1982. Amendika vitabu vingi tu lakini sijawahi kusikia serikali yetu ya Tanzania ikijisifu kuwa kuna mtanzania anafanya kazi nzuri za fasihi huko Uingereza. Sijawahi kusikia hata hapa nyumbani jina lake likitajwa.
Leo hii baada ya kushinda tuzo ya Nobel upande wa fasihi naona kila kiongozi wa serikali anataka kutuaminisha kuwa Prof Gurnah ni shujaa wa Tanzania.
Kama ni shujaa wa taifa letu mbona huko nyuma hamkumtambua? Mbona hamjawahi kuthamini kazi zake?
KNi kweli huyu Prof ni mtu mwenye asili ya Tanzania visiwani na amekuwa akifundisha University of Kent tangu mwaka 1982. Amendika vitabu vingi tu lakini sijawahi kusikia serikali yetu ya Tanzania ikijisifu kuwa kuna mtanzania anafanya kazi nzuri za fasihi huko Uingereza. Sijawahi kusikia hata hapa nyumbani jina lake likitajwa.
Leo hii baada ya kushinda tuzo ya Nobel upande wa fasihi naona kila kiongozi wa serikali anataka kutuaminisha kuwa Prof Gurnah ni shujaa wa Tanzania.
Kama ni shujaa wa taifa letu mbona huko nyuma hamkumtambua? Mbona hamjawahi kuthamini kazi zake?
Kamuulize yeye ndio kaandika particular zake kaziweka kwenye kamati ya NOBEL.Kuwa yeye ni mtanzania. Kosa la serikali ni lipi?Lowassa(2015).Elimu!ElimuWewe ndiyo unatakiwa usieleweke. Nikuulize: huyu pro. ni mtanzania kwa mujibu ya sheria za Tanzania?
Kosa la serikali ni kusema ni mtanzania wakati siyo mtanzania bali ana asili ya Tanzania. Je, mtu yoyote anaweza kuwa mtanzania kwa sababu tu yeye mwenyewe ameandika kuwa ni mtanzania? Kati yangu na wewe ni yupi ameonyesha upeo mdogo wa elimu? Yaani wewe unatetea ni mtanzania kwa sababu tu ni yeye kaandika hivyo! Ukisikia undezi ni huu sasa. Halafu unajiona una elimu!Nashindwa kuwaelewa watanzania kwa sasa.Wengi hamueleweki kabisa mnachoongea .Sasa nashindwa kuelewa ,kuwa hizi Nazi ni siasa au nikuilamu tu serikali?Huyo jamaa ,kaandika particular s zake mwenyewe kuwa ni mtanzania.Kawapa hao jamaa wa NOBEL .Ameshinda tuzo.Jamaa hao wa NOBEL wamtangaza wao wenyewe kupitia BBC ,Aljazeera kuwa mtanzania kashinda NOBEL ya literature. Je, tatizo la serikali lipo wapi ?Kama MTU kajileta mwenyewe na kusema ni mtanzania ,serikali imkatae ?Nendeni mmulaumu huyo Prof ,kwann anawapa serikali ujiko ,kuwa ni mtanzania.
K
Kamuulize yeye ndio kaandika particular zake kaziweka kwenye kamati ya NOBEL.Kuwa yeye ni mtanzania. Kosa la serikali ni lipi?Lowassa(2015).Elimu!Elimu
Ni raia wa uingereza kwa vile haturuhusu urai pacha.. Anatambua kuwa alizaliwa Zanzibar na ana ndugu Zanzibar lakini yeye sasa ni raia wa Uingereza na anasafiri kwa passport ya UingerezaSawa. Mkuu kwa sheria yetu ya uraia bado ni Mtanzania ikiwa hajaukana Utanzania.
Aibu kubwa kabisa!Wao wanahisi kila Jambo ni siasa....sijui ni namna ya kutafuta political milestone au ni ujuaji tu Kama taifa stars.
Huu ubaguzi wa rangi unaofanywa na CCM umeanza lini tena!?Huko nyuma CCM-Zanzibar waliwahi kuandamana kumfukuza huyu mtu huko zanzibar kutokana na rangi yake.
Ubaguzi wa rangi ulimuondoa Zanzibar.Ubaguzi wa rangi kutoka CCM ulimfanya huyu mtu kuikimbia Tanzania na kwenda kuomba uraia uengreza.
View attachment 1969109View attachment 1969110
Mkuu ikiwa anasafiri kwa paspoti ya Uingereza nakubaliana naweNi raia wa uingereza kwa vile haturuhusu urai pacha.. Anatambua kuwa alizaliwa Zanzibar na ana ndugu Zanzibar lakini yeye sasa ni raia wa Uingereza na anasafiri kwa passport ya Uingereza
Zamani kidogoHuu ubaguzi wa rangi unaofanywa na CCM umeanza lini tena!?