Ni mtanzania? Jibu ni hapana, siyo mtanzania ila ana asili ya Tanzania. Media nyingi zimeandika ni mtanzania kwa nini? Media nyingi zilizoripoti hii habari ni amedia za nchi zilizostaarabik. Nchi zilizostaarabika zinajua kuwa uraia wa mtu hauwezi kufutika kwa yule mtu kupata uraia wa nchi nyingine.
Umepata wapi hiyo?! Umetoa kichwani, au?
Na waandaaji wa Nobel na wenyewe ni media hata washindwe kusema ni Mwingereza?
Kent University ambako amefanya kazi kwa miaka kadhaa na wenyewe ni media hata kwenye biography yake washindwe kusema ni Mwingereza?
Anyway, tuyaache hayo na tuchukue mifano ya wazi...
As a young, Kenyan-Mexican actress living and working in America, Nyong’o said she had made a habit of suppressing her accent, a natural composite of the places she’s lived.
hao ni
The New York Times wakimzungumzia Lupita... kwanini wasiandike "Kenyan" Actress na badala yake wamemtambua kutokana na uraia wake pacha?
Kisha hapa:-
The Kenyan-Mexican actress is the third woman of African descent to win the award in its 25-year history.
Hapo juu ni
Washington Post wakimzungumzia Lupita... na wenyewe wamemtaja kama uraia wake unavyosema!
People Magazine, na wenyewe hawa hapa....
With the help of celebrity haistylist Vernon François, Lupita Nyong’o regularly turns heads on the red carpet with a variety of fabulous ‘dos, but the Mexican-Kenyan actress recently reflected on a time when her hair wasn’t so popular while living in Mexico.
Wait... usije kusema Lupita amezaliwa Mexico, kwahiyo lazima wataje uraia wa kule alikozaliwa na wa asili, lakini
Eurosport hawa hapa:-
Vieira has signed a three-year contract with the club and takes up his role on 1 January 2016 in advance of pre-season for its second MLS campaign. The 39-year-old Frenchman, who was capped 107 times for France and notched up 279 appearances for Arsenal, finally makes the move after being linked with the move for a number of weeks.
Viera kaitwa Frenchman wakati kazaliwa Senegal
The Guardian UK nao hawa hapa...
Patrick Vieira has been appointed as manager of the Ligue 1 side Nice. The former
Arsenal captain has left his role as head coach role of New York City FC to replace Lucien Favre at the Allianz Riviera.
The Frenchman had been linked with replacing Arsène Wenger at Arsenal following his countryman’s departure, but he now returns to his homeland to take charge of a
Nice side that finished eighth last season.
Nao wanamuita Viera "a Frenchman"!!
Tafuta mifano mingine yoyote unayoifahamu wewe, unless kama sijakuelewaulikuwa unajaribu kusema nini hasa. Na labda hapa niseme jambo moja... inawezekana ni kweli Abdulrazak akawa ni British Citizen lakini narudia tena, sijaona source yoyote (maybe ipo) inayosema he's British!! And trust me, am good at researching!!!
Nina hofu kwamba unachanganya kati ya uraia na ukaazi wa kudumu (Permanent Residency). Inawezekana Abdulrazak akawa na UK Permanent Residency Status lakini hiyo hamfanyi kuwa British Citizen!!
US too, hata ukipata status ya permanent residency au ukipata green card through diversity program, bado utaendelea kutambulika kama raia wa nchi ulikotoka. Ukiwa naturalized, ndo utaanza kutambulika kama US Citizen na kuanzia hapo utakuwa regarded as a US Citizen and any other citizenship lakini utaapa allegiance to the US!
Ndiyo maana hata mtanzania anapopata uraia wa hizi nchi, kwenye database yao wanaweka ni raia wa ile nchi na pia ni raia wa Tanzania. Je, Tanzania inaamini hivyo? Hapana! Tanzania wanasema ukipata uraia wa nchi nyingine huwezi tena kuwa mtanzania. Cha kushangaza: Mbona wanang'ang'ania ni mtanzania?
Kama wanaona ni Mtanzania, wanafanya kosa lipi wakimchukulia kwamba ni Mtanzania? Kuna yeyote aliyeonesha ushahidi kwamba the old man sio Mtanzania?! Hata wewe una reference yoyote reliable ambayo inasema ni British Citizen?
Tulikuwa na akina Abdulrahman Babu ambao nao ni Wazanzibar na walienda uhamishoni UK lakini bado walibaki na uraia wao wa TZ!! Similar to Babu, we also had people like Kambona!