Ni aibu kwa taifa letu kumuona Prof Abdulrazak Gurnah kama shujaa wa taifa letu, wakati huko nyuma hajawahi kutambuliwa kwa kazi alizofanya

Author Abdulrazak Gurnah, who won the Nobel Literature Prize on Thursday, urged Europe to see African refugees as assets. Gurnah, who has lived in exile in England he left Tanzania, said: ‘They (the refugees) don't come empty-handed.
"Many of these people who come, come out of need, and also because quite frankly they have something to give. They don't come empty-handed. A lot of talented, energetic people who have something to give," he told the Nobel Foundation in an interview.
Based in England, Tanzanian-born Gurnah is the first black writer to win the Nobel Literature Prize, the finest literary award, since 1993, reported AFP.
According to the Nobel Prize committee, the author who published around 10 books since 1987 including "Paradise" – one of his best works, has been awarded the prize or his "uncompromising and compassionate penetration of the effects of colonialism and the fate of the refugee in the gulf between cultures and continents."
Gurnah, who was born in Zanzibar, Tanzania, in 1948, and left in 1968 as a teenager, "recoils from stereotypical descriptions and open our gaze to a culturally diversified East Africa unfamiliar to many in other parts of the world," noted the Nobel committee. Last year, the award went to US poet Louise Gluck for her "unmistakable poetic voice that with austere beauty makes individual existence universal."

* Prof Gurnah lives in 'exile' and does this means he is still {a refugee} Tanzanian?
 
Umepata wapi hiyo?! Umetoa kichwani, au?

Na waandaaji wa Nobel na wenyewe ni media hata washindwe kusema ni Mwingereza?

Kent University ambako amefanya kazi kwa miaka kadhaa na wenyewe ni media hata kwenye biography yake washindwe kusema ni Mwingereza?

Anyway, tuyaache hayo na tuchukue mifano ya wazi...

hao ni The New York Times wakimzungumzia Lupita... kwanini wasiandike "Kenyan" Actress na badala yake wamemtambua kutokana na uraia wake pacha?

Kisha hapa:-

Hapo juu ni Washington Post wakimzungumzia Lupita... na wenyewe wamemtaja kama uraia wake unavyosema!

People Magazine, na wenyewe hawa hapa....

Wait... usije kusema Lupita amezaliwa Mexico, kwahiyo lazima wataje uraia wa kule alikozaliwa na wa asili, lakini Eurosport hawa hapa:-

Viera kaitwa Frenchman wakati kazaliwa Senegal

The Guardian UK nao hawa hapa...

Nao wanamuita Viera "a Frenchman"!!

Tafuta mifano mingine yoyote unayoifahamu wewe, unless kama sijakuelewaulikuwa unajaribu kusema nini hasa. Na labda hapa niseme jambo moja... inawezekana ni kweli Abdulrazak akawa ni British Citizen lakini narudia tena, sijaona source yoyote (maybe ipo) inayosema he's British!! And trust me, am good at researching!!!

Nina hofu kwamba unachanganya kati ya uraia na ukaazi wa kudumu (Permanent Residency). Inawezekana Abdulrazak akawa na UK Permanent Residency Status lakini hiyo hamfanyi kuwa British Citizen!!

US too, hata ukipata status ya permanent residency au ukipata green card through diversity program, bado utaendelea kutambulika kama raia wa nchi ulikotoka. Ukiwa naturalized, ndo utaanza kutambulika kama US Citizen na kuanzia hapo utakuwa regarded as a US Citizen and any other citizenship lakini utaapa allegiance to the US!

Kama wanaona ni Mtanzania, wanafanya kosa lipi wakimchukulia kwamba ni Mtanzania? Kuna yeyote aliyeonesha ushahidi kwamba the old man sio Mtanzania?! Hata wewe una reference yoyote reliable ambayo inasema ni British Citizen?

Tulikuwa na akina Abdulrahman Babu ambao nao ni Wazanzibar na walienda uhamishoni UK lakini bado walibaki na uraia wao wa TZ!! Similar to Babu, we also had people like Kambona!
Aisee. Hivi unapata wapi muda wa ku-quote mambo yote haya wakati hayana uhusiano na hili tunalojadili.? Maelezo mareeeefu wakati hoja ni moja tu: Kulingana na sheria za Tanzania, huyu pr. ni mtanzania? Hili ndilo unatakiwa kulitolea ufafanuzi na siyo kuongelea mambo mengine kabisa!
 
Ni kweli huyu Prof ni mtu mwenye asili ya Tanzania visiwani na amekuwa akifundisha University of Kent tangu mwaka 1982. Amendika vitabu vingi tu lakini sijawahi kusikia serikali yetu ya Tanzania ikijisifu kuwa kuna mtanzania anafanya kazi nzuri za fasihi huko Uingereza. Sijawahi kusikia hata hapa nyumbani jina lake likitajwa.

Leo hii baada ya kushinda tuzo ya Nobel upande wa fasihi naona kila kiongozi wa serikali anataka kutuaminisha kuwa Prof Gurnah ni shujaa wa Tanzania.

Kama ni shujaa wa taifa letu mbona huko nyuma hamkumtambua? Mbona hamjawahi kuthamini kazi zake?
Kwanza huyo Gurnah ame inspire watanzania wangapi kwenye upande huo, au amejishughulisha kwa namna gani kwenye maendeleo ya taaluma ya fasihi kwa Tanzania hadi atambuliwe na nchi kama shujaa, bongolala kwa vituko mbona utachoka mwenyewe.....
 
Hata Hamza alikua mtanzania na kada wa CCM japo hawamtaki
 
Ni kweli huyu Prof ni mtu mwenye asili ya Tanzania visiwani na amekuwa akifundisha University of Kent tangu mwaka 1982. Amendika vitabu vingi tu lakini sijawahi kusikia serikali yetu ya Tanzania ikijisifu kuwa kuna mtanzania anafanya kazi nzuri za fasihi huko Uingereza. Sijawahi kusikia hata hapa nyumbani jina lake likitajwa.

Leo hii baada ya kushinda tuzo ya Nobel upande wa fasihi naona kila kiongozi wa serikali anataka kutuaminisha kuwa Prof Gurnah ni shujaa wa Tanzania.

Kama ni shujaa wa taifa letu mbona huko nyuma hamkumtambua? Mbona hamjawahi kuthamini kazi zake?

Tatizo letu ni siasa. Wanasiasa wetu wanataka wenyewe tu ndiyo waonekane muhimu kwenye jamii. Mfano barabara zote vyuo vyote ni majina ya wanasiasa! Kwanini vyuo hata sekondari wasitoe majina kwa wasomi walioleta sifa. Kuna msomi wa zamani huko Lushoto wa sayansi sijui kama hata kuna chuo kina jina lake. Hadi viwanja vya mpira vya msaada tunaweka majina ya wanasiasa wakati tuna wanamichezo kama Tino, Bai …. ambao wengine walileta rekodi
 
Kwani yeye ndio wakwanza kuandika vitabu mkuu. Vitabu kila Professor anaviandika duniani. Professor Mhongo mwenyewe anavitabu, sir unga mwenyewe anavitabu. Nobel Prize na vitabu ni vitu viwili tofauti.

Sisi kama serikali tukisema tuanze kusifia hadi waandishi wa vitabu hiyo kazi mbona itakua ni ngumu sana. Waandishi wa vitabu husifiwa na vyuo vyao au kwenye journals.
Hata Prof palamagamba ameandika vingi eti eti
 
Aisee. Hivi unapata wapi muda wa ku-quote mambo yote haya wakati hayana uhusiano na hili tunalojadili.? Maelezo mareeeefu wakati hoja ni moja tu: Kulingana na sheria za Tanzania, huyu pr. ni mtanzania? Hili ndilo unatakiwa kulitolea ufafanuzi na siyo kuongelea mambo mengine kabisa!
Kwahiyo ulitaka niongee vitu kwa kutoa kichwani kama ulivyofanya wewe na wenzako?! Man, I'm not that kind of a person!! Na hiyo ndo tofauti yangu na yenu! Nyie mnaongea mambo kwa hisia wakati mimi naongea mambo kwa ushahidi!

Na kama nilivyosema, inawezekana ni kweli akawa na uraia wa UK lakini sjaona media iliyomtaja kama UK Citizen bali Mtanzania!

Btw, how come unasema quotes zangu hazina uhusiano wakati ulidai
Media nyingi zimeandika ni mtanzania kwa nini? Media nyingi zilizoripoti hii habari ni media za nchi zilizostaarabika. Nchi zilizostaarabika zinajua kuwa uraia wa mtu hauwezi kufutika kwa yule mtu kupata uraia wa nchi nyingine.
Si ni wewe ndo umesema kwamba media za "nchi zilizostaaribika" zimemtaja Mzee Abdulrazak kwamba ni Mtanzania kwa sababu wanafahamu uraia wa asili wa mtu haufutiki kwa sababu ya kupata uraia wa nchi nyingine?!

Hapo ndo nakuwekea ushahidi wa media hizo hizo zinawatambuaje watu wengine walio na uraia wa pili halafu unadai haihusiani? Are you serious?
hoja ni moja tu: Kulingana na sheria za Tanzania, huyu pr. ni mtanzania? Hili ndilo unatakiwa kulitolea ufafanuzi na siyo kuongelea mambo mengine kabisa!
Nijibu mara ngapi wakati nimeshasema?

Kuna ushahidi wowote kwamba alichukua uraia wa Uingereza?

Kama unao huo ushahidi, weka hapa!!

Kama huna, unakataa vipi kwamba sio Mtanzania? Unatumia vigezo gani?! Ni sources zipi zilizomtaja kama Mwingereza?

Kuna wengine hapa walidai hawezi kuwa Mtanzania kwa sababu aliondoka kabla ya Muungano lakini niliwawekea hapa mahojiano yake na The Guradian (UK) akisema aliondoka ZNZ at the end of 1960's!
 
Tutajie kitabu ambacho mwandishi nguli wa Nigeria, Chinua Achebe, aliandika kwa lugha yoyote ya Nigeriia isipokuwa Kiingereza.
Si vema ukauliza swali ikiwa haujalijibu swali lililotangulia.

Kwani Nigeria wao wanawakilishwa Kimataifa kwa Lugha ipi!?!!
 
Ni Mtanzania huyo!?!!
Si mtanzania, kwa sababu ameondoka/ametimuliwa/amekimbia zanzibar wakati wa mapinduzi ya zanzibar. Kwa wakati huo hapakuwepo tanzania wala utanzania. Ameondoka visiwani kwa passport ya zanzibar na alipokelewa na familia yake uingereza kama mkimbizi kutoka nchi ya zanzibar na baadae akapewa uraia wa uingereza.
 
Ni kweli huyu Prof ni mtu mwenye asili ya Tanzania visiwani na amekuwa akifundisha University of Kent tangu mwaka 1982. Amendika vitabu vingi tu lakini sijawahi kusikia serikali yetu ya Tanzania ikijisifu kuwa kuna mtanzania anafanya kazi nzuri za fasihi huko Uingereza. Sijawahi kusikia hata hapa nyumbani jina lake likitajwa.

Leo hii baada ya kushinda tuzo ya Nobel upande wa fasihi naona kila kiongozi wa serikali anataka kutuaminisha kuwa Prof Gurnah ni shujaa wa Tanzania.

Kama ni shujaa wa taifa letu mbona huko nyuma hamkumtambua? Mbona hamjawahi kuthamini kazi zake?
Huyu Prof ni mzawa wa visiwani zanzibar, hilo halikataliki. Lakini si mtanzania kwa sababu kwanza hakuwahi kuchukua uraia wa Tanzania au kuwa na passport ya tanzania. Amekimbilia uingereza pamoja na familia yake wakati wa mapinduzi ya zanzibar na kabla ya muungano wa tanganyika na zanzibar. Kwa maana hiyo hata alipopewa uraia wa uingereza ni uraia wa zanzibar ndio alioukan kwa sababu hakuwahi kuwa mtanzania.

Ajabu ya viongozi wetu ni kuwa laiti kama huyu prof angelifanya alofanya Hamza, basi serikali na viongozi wote kwa ujumla wangelikuwa mbele kumkataa na kusema kuwa si raia wa Tanzania. Lakini leo kapata tuzo na heshima ya juu duniani viongozi wote wanataka kumkumbatia na hawaoni haya kumuita mtanzania, ilhali tanzania hairuhusu uraia pacha na hivyo huyu hawezi kamwe kuwa mtanzania.
 
Kwani yeye ndio wakwanza kuandika vitabu mkuu. Vitabu kila Professor anaviandika duniani. Professor Mhongo mwenyewe anavitabu, sir unga mwenyewe anavitabu. Nobel Prize na vitabu ni vitu viwili tofauti.

Sisi kama serikali tukisema tuanze kusifia hadi waandishi wa vitabu hiyo kazi mbona itakua ni ngumu sana. Waandishi wa vitabu husifiwa na vyuo vyao au kwenye journals.
Lack of education.
 
Kwahiyo ulitaka niongee vitu kwa kutoa kichwani kama ulivyofanya wewe na wenzako?! Man, I'm not that kind of a person!! Na hiyo ndo tofauti yangu na yenu! Nyie mnaongea mambo kwa hisia wakati mimi naongea mambo kwa ushahidi!

Na kama nilivyosema, inawezekana ni kweli akawa na uraia wa UK lakini sjaona media iliyomtaja kama UK Citizen bali Mtanzania!

Btw, how come unasema quotes zangu hazina uhusiano wakati ulidai

Si ni wewe ndo umesema kwamba media za "nchi zilizostaaribika" zimemtaja Mzee Abdulrazak kwamba ni Mtanzania kwa sababu wanafahamu uraia wa asili wa mtu haufutiki kwa sababu ya kupata uraia wa nchi nyingine?!

Hapo ndo nakuwekea ushahidi wa media hizo hizo zinawatambuaje watu wengine walio na uraia wa pili halafu unadai haihusiani? Are you serious?

Nijibu mara ngapi wakati nimeshasema?

Kuna ushahidi wowote kwamba alichukua uraia wa Uingereza?

Kama unao huo ushahidi, weka hapa!!

Kama huna, unakataa vipi kwamba sio Mtanzania? Unatumia vigezo gani?! Ni sources zipi zilizomtaja kama Mwingereza?

Kuna wengine hapa walidai hawezi kuwa Mtanzania kwa sababu aliondoka kabla ya Muungano lakini niliwawekea hapa mahojiano yake na The Guradian (UK) akisema aliondoka ZNZ at the end of 1960's!

Halafu usisahahu kuwa alikwenda uingereza kama "mkimbizi" siyo mhamiaji au mzamiaji!!
Hukukamilisha maneno yako. alikwenda uingereza kama mkimbizi siyo mhamiaji au mzamiaji, pia alikwenda kama mkimbizi kutoka nchi ya zanzibar sio tanzania kwani kwa wakati huo tanzania haikuwepo kabisa!!!!!
 
Kwahiyo ulitaka niongee vitu kwa kutoa kichwani kama ulivyofanya wewe na wenzako?! Man, I'm not that kind of a person!! Na hiyo ndo tofauti yangu na yenu! Nyie mnaongea mambo kwa hisia wakati mimi naongea mambo kwa ushahidi!

Na kama nilivyosema, inawezekana ni kweli akawa na uraia wa UK lakini sjaona media iliyomtaja kama UK Citizen bali Mtanzania!

Btw, how come unasema quotes zangu hazina uhusiano wakati ulidai

Si ni wewe ndo umesema kwamba media za "nchi zilizostaaribika" zimemtaja Mzee Abdulrazak kwamba ni Mtanzania kwa sababu wanafahamu uraia wa asili wa mtu haufutiki kwa sababu ya kupata uraia wa nchi nyingine?!

Hapo ndo nakuwekea ushahidi wa media hizo hizo zinawatambuaje watu wengine walio na uraia wa pili halafu unadai haihusiani? Are you serious?

Nijibu mara ngapi wakati nimeshasema?

Kuna ushahidi wowote kwamba alichukua uraia wa Uingereza?

Kama unao huo ushahidi, weka hapa!!

Kama huna, unakataa vipi kwamba sio Mtanzania? Unatumia vigezo gani?! Ni sources zipi zilizomtaja kama Mwingereza?

Kuna wengine hapa walidai hawezi kuwa Mtanzania kwa sababu aliondoka kabla ya Muungano lakini niliwawekea hapa mahojiano yake na The Guradian (UK) akisema aliondoka ZNZ at the end of 1960's!
Ndugu yangu sina lengo la kuingilia mjadala wako na huyu ndugu mwengine, ila tu nataka kukuhakikishia kuwa huyu prof pamoja na wazanzibari wote walioondoka na Jemshid au waliondoka baada ya mapinduzi na kukimbilia uingereza kwa hifadhi ya ukimbizi wote kwa wakati mmoja au mwengine walipatiwa uraia wa uingereza.

Siwezi kukupa ushahidi wa passport yake, ila nitakwambia ninachokijua. Huyu Prof simjui in person zaidi ya kumuona mara kama mbili tu katika ghafla za wazanzibari hapa UK, hata hivyo ninawajua wengi wa walioondoka zanzibar wakati kama wa prof na ambao hadi leo wapo hapa UK. Yaani hata mmoja alikuwa ndio mwenyeji wangu nilipofika UK late 1980s. Nilichokuja kugundua ni kuwa ubalozi wa tanzania uingereza kwa kufuata amri ya nyerere ulikuwa unakataa kabisa kuwapa au ku renew pasport za wale wote ambao walikuja huku kama wakimbizi wa kisiasa katika miaka sitini.

Kwa hivyo ili kuweza kusafiri nje ya UK hawa jamaa wengi hawakuwa na jengine ila kuchukua uraia wa uingereza. Sasa kama utasoma historia ya huyu Prof utaona kuwa amesafiri nchi mbali mbali na kufanya kazi katika nchi mbali mbali, kuweza kufanya hilo ni lazima atumie passport, sasa hapo ndipo ujiulize mwenyewe ni passport gani alotumia ilhali passport za Zanzibar zilikuwa hazitumiki tena baaya ya muungano na wakati huo huo nyerere akiwawekea ngumu kuwapa passport za Tanzania?
 
Tanzania ni nchi ya ajabu sana duniani. Maamuzi yanayofanywa yote yanalenga kunufaisha kigurupu kidogo cha wanasiasa wabinafsi. Inashangaza sana kuona hadi leo nchi hii haina utaratibu wa kuwapa fursa watu wake walio nje ya nchi.

Sababu zinazotolewa hazina mashiko, basi ni siasa za maji maji. Hadi leo wabongo wote walioko nje inabidi kumiliki hata kijiwanja wafanya purukushani na mwishowe wanatiwa mjini. Wakati serekali ilikuwa ina uwezo wa kutoa uraia pacha au perment resident na haki zote kama za ardhi nk.
 
Bangi ikukutwa shambani kwako ni ya kwako, Almasi ikukutwa shambani kwako ni ya serikali.
Ni kweli huyu Prof ni mtu mwenye asili ya Tanzania visiwani na amekuwa akifundisha University of Kent tangu mwaka 1982. Amendika vitabu vingi tu lakini sijawahi kusikia serikali yetu ya Tanzania ikijisifu kuwa kuna mtanzania anafanya kazi nzuri za fasihi huko Uingereza. Sijawahi kusikia hata hapa nyumbani jina lake likitajwa.

Leo hii baada ya kushinda tuzo ya Nobel upande wa fasihi naona kila kiongozi wa serikali anataka kutuaminisha kuwa Prof Gurnah ni shujaa wa Tanzania.

Kama ni shujaa wa taifa letu mbona huko nyuma hamkumtambua? Mbona hamjawahi kuthamini kazi zake?
 
Wewe ni serikali?

Back
Top Bottom