Alafu na wewe Utakua eti msomi kutoka COET..daaphysics na umeme ni mambo tofauti.
how ever umeme umetokea kwenye physics.
kwa ninavyojua hakuna profesa anapiga kishoka.
ukishafika hizo level labda uweuke mwenyewe. lakin sio kupiga kishoka. degree labda.. masters labda.. sio prof ni kitu kingine
Fedha, reliable supplier, impact ya soko la mayai, willingness to gamble (maana unaweza tumia hela zote na usipate chanjo au ukachukua muda zaidi) + research facilities (vitu kama ivyo vinafanyika ndani ya controlled environment not just any lab will do).Unamaanisha serikali haiwezi kughalamia mchakato huu kwasababu haina fedha?
Dawa ziligunduliwa na wataalamu watanzania zipo nyingi sana labda kama hufuatiliiKazi kubwa za vyuo vikuu ni tatu:
-kuelimisha/kifundisha (teaching)
-kuandika vitabu (publication)
-kufanya tafiti (Research).
Kati ya kazi hizo tatu research ndiyo huleta maana kubwa sana kwa uwepo wa chuo kikuu chochote mahala popote. Ni sawa na benki, kwa mfano, ina kazi nyingi sana lkn utoaji wa mikopo ndiyo huleta tija na faida zaidi kwa jamii na benki yenyewe..
Nimestushwa na mfululizo wa matamko ya tahadhari dhidi ya korona yanayotolewa na vyuo vikuu hapa nchini kwa jumuiya zao.
Nilitegemea vyuo vikuu hivi viwe vimeshafanya tafiti na kuja na chanjo ya korona badala ya kutupigia kelele bila suluhisho.
Najiuliza maswali mengi kuhusu hivi vuuo vikuu. Hivi kuna wasomi kweli? Ama kuna mkusanyiko wa wahuni wenye vyeti tu? Tija yao nn kwa taifa? Vyuo viku hivi vimeshindwa kushirikiana vikatuletea hata dawa za kufubaza virusi hivi?
Malaria, ukimwi, athma, mafua ni magonjwa ambayo yapo kwa miaka lukuki lkn hivi vuuo vikuu havijagundua hata kidonge!
Sasa navitaka vyuo vikuu hivi kukaa kimya, endeleeni kunywa pombe, kufanya ngono, na kurushiana video za umbea. Mqmbo ya corona waachieni Oxford, Harvard na Berlin universities waizungumzie.
Rubbish!!!
Huyo mleta uzi amepagawa na maisha sasa hivi anarusha mateke na matusi kwa kila mtu kisa ugumu wa maisha.Nitajie vyuo vikuu viwili tu unavyovilenga katika bandiko lako...halafu nitakupa sababu za kwa nn haya uliyoyaandika hayafanyiwi kazi..
Ajira zenyewe wanapewa watoto wa vigogo tu,wewe kajamba nani mwanao ataishia kuendesha bora boda tuWe unataka kusema tuna wasomi wa vyeti na mizigo.
Wakimaliza chuo miaka 3 anakuja mtaan kuwa bodaboda
Kapagawa na maishaKweli una hasira nao
Ugonjwa huo unaitwa NJAA IKIZIDIHivi ni ugonjwa gani unaowakumba wanaoizungumzia Tanzania kw kutoa mifano ya USA au UK!!? Is it fair!?
Hapa hakuna coronacorona gani tena jamani
Tumekubaliana ni homa kali ya mapafu
Hana lolote lile ujuwalo bali ni kuweweseka kwani kapigikaphysics na umeme ni mambo tofauti.
how ever umeme umetokea kwenye physics.
kwa ninavyojua hakuna profesa anapiga kishoka.
ukishafika hizo level labda uweuke mwenyewe. lakin sio kupiga kishoka. degree labda.. masters labda.. sio prof ni kitu kingine
Si kweli mkuu. Kwenye suala la korona nimeamua kuisimamia kweli. Kwahiyo sitakuwa upande wa kundi/taasisi/mtu yeyote anayeendekeza porojo juu ya suala hili.Huyo mleta uzi amepagawa na maisha sasa hivi anarusha mateke na matusi kwa kila mtu kisa ugumu wa maisha.
Nimekuuliza kuona kama kweli unaufahamu wa kutosha kuhusu vyuo vikuu vyetu hapa nchini namna vinavyojiendesha, mkono wa serikali, namna funds za research mbalimbali zinavyopatikana, coordination yake na inachukua muda gani kwa potential drug ama vaccine kwa cycle nzima ya development yake ilivyo yaani phases zote., Kutokana na jibu lako hili nimeona hauko tayari kufaham kiundani nn kinaendelea linapokuja swala lihusulo afya ya jamii.Vyuo vikuu vyote vikongwe hapa nchini
Lakini kuna ka ukweli fulani ktk bandiko lako!Kazi kubwa za vyuo vikuu ni tatu:
-kuelimisha/kifundisha (teaching)
-kuandika vitabu (publication)
-kufanya tafiti (Research).
Kati ya kazi hizo tatu research ndiyo huleta maana kubwa sana kwa uwepo wa chuo kikuu chochote mahala popote. Ni sawa na benki, kwa mfano, ina kazi nyingi sana lkn utoaji wa mikopo ndiyo huleta tija na faida zaidi kwa jamii na benki yenyewe..
Nimestushwa na mfululizo wa matamko ya tahadhari dhidi ya korona yanayotolewa na vyuo vikuu hapa nchini kwa jumuiya zao.
Nilitegemea vyuo vikuu hivi viwe vimeshafanya tafiti na kuja na chanjo ya korona badala ya kutupigia kelele bila suluhisho.
Najiuliza maswali mengi kuhusu hivi vuuo vikuu. Hivi kuna wasomi kweli? Ama kuna mkusanyiko wa wahuni wenye vyeti tu? Tija yao nn kwa taifa? Vyuo viku hivi vimeshindwa kushirikiana vikatuletea hata dawa za kufubaza virusi hivi?
Malaria, ukimwi, athma, mafua ni magonjwa ambayo yapo kwa miaka lukuki lkn hivi vuuo vikuu havijagundua hata kidonge!
Sasa navitaka vyuo vikuu hivi kukaa kimya, endeleeni kunywa pombe, kufanya ngono, na kurushiana video za umbea. Mqmbo ya corona waachieni Oxford, Harvard na Berlin universities waizungumzie.
Rubbish!!!
Tuna medical research institute kwanini huisemi hiyo? Ni kwamba serikali haijawekeza katika kujenga maabara za kisasa level 3 na 4 ambazo ndizo zinarihusiwa kucheza na virusi hatari level ya Ebola, corona ,HIV nkKazi kubwa za vyuo vikuu ni tatu:
-kuelimisha/kifundisha (teaching)
-kuandika vitabu (publication)
-kufanya tafiti (Research).
Kati ya kazi hizo tatu research ndiyo huleta maana kubwa sana kwa uwepo wa chuo kikuu chochote mahala popote. Ni sawa na benki, kwa mfano, ina kazi nyingi sana lkn utoaji wa mikopo ndiyo huleta tija na faida zaidi kwa jamii na benki yenyewe..
Nimestushwa na mfululizo wa matamko ya tahadhari dhidi ya korona yanayotolewa na vyuo vikuu hapa nchini kwa jumuiya zao.
Nilitegemea vyuo vikuu hivi viwe vimeshafanya tafiti na kuja na chanjo ya korona badala ya kutupigia kelele bila suluhisho.
Najiuliza maswali mengi kuhusu hivi vuuo vikuu. Hivi kuna wasomi kweli? Ama kuna mkusanyiko wa wahuni wenye vyeti tu? Tija yao nn kwa taifa? Vyuo viku hivi vimeshindwa kushirikiana vikatuletea hata dawa za kufubaza virusi hivi?
Malaria, ukimwi, athma, mafua ni magonjwa ambayo yapo kwa miaka lukuki lkn hivi vuuo vikuu havijagundua hata kidonge!
Sasa navitaka vyuo vikuu hivi kukaa kimya, endeleeni kunywa pombe, kufanya ngono, na kurushiana video za umbea. Mqmbo ya corona waachieni Oxford, Harvard na Berlin universities waizungumzie.
Rubbish!!!
Sasa ukitoa milioni mbili za utafiti utagundua nini?Kazi kubwa za vyuo vikuu ni tatu:

Mkuu utafiti wa molecular level unagharimu mapesa mengi, tusiwaonee hawa watu...Madokta wenyewe waliwahi kuwa wanawakimbia wagonjwa wanaohisiwa kuwa na corona😀😀