Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi sexless una matatizo gani na utawala huu au nchi hii.Kazi kubwa za vyuo vikuu ni tatu:
Kati ya kazi hizo tatu research ndiyo huleta maana kubwa sana kwa uwepo wa chuo kikuu chochote mahala popote. Ni sawa na benki, kwa mfano, ina kazi nyingi sana lkn utoaji wa mikopo ndiyo huleta tija na faida zaidi kwa jamii na benki yenyewe..
- Kuelimisha/kifundisha (teaching)
- Kuandika vitabu (publication)
- Kufanya tafiti (Research).
Nimestushwa na mfululizo wa matamko ya tahadhari dhidi ya korona yanayotolewa na vyuo vikuu hapa nchini kwa jumuiya zao.
Nilitegemea vyuo vikuu hivi viwe vimeshafanya tafiti na kuja na chanjo ya korona badala ya kutupigia kelele bila suluhisho.
Najiuliza maswali mengi kuhusu hivi vuuo vikuu. Hivi kuna wasomi kweli? Ama kuna mkusanyiko wa wahuni wenye vyeti tu? Tija yao nn kwa taifa? Vyuo viku hivi vimeshindwa kushirikiana vikatuletea hata dawa za kufubaza virusi hivi?
Malaria, ukimwi, athma, mafua ni magonjwa ambayo yapo kwa miaka lukuki lkn hivi vuuo vikuu havijagundua hata kidonge!
Sasa navitaka vyuo vikuu hivi kukaa kimya, endeleeni kunywa pombe, kufanya ngono, na kurushiana video za umbea. Mqmbo ya corona waachieni Oxford, Harvard na Berlin universities waizungumzie.
Rubbish!!!

Maprof walikaa kimya wakati kilaza jiwe anasema hakuna korona. Kosa la kwanza kwa maprof hili. Kwann hawakutumia taalima zao kupinga kauli ya kilaza jiwe?Wakati JIWE anasema hakuna corona ulimwandikia hili bandiko lako au baaada ya kusikia watu wanakufa kama kuku ndo unawageukia maprofesa?
Yaani akili za waimba mapambio ya kusifu na kuabudu awamu ya tano Ni za ajabu sana Zina operate anticlockwise , akili za Lumumba kijani kibichi yaani hata akili za mbuzi kuvukia barabara hawana , hata akili za kujua ng'ombe anatikisa mkia na sio mkia unatikisa ng'ombe hawana , Paul Freire aliona mbali sana empty head a .k .a tabulalasa .Kazi kubwa za vyuo vikuu ni tatu:
Kati ya kazi hizo tatu research ndiyo huleta maana kubwa sana kwa uwepo wa chuo kikuu chochote mahala popote. Ni sawa na benki, kwa mfano, ina kazi nyingi sana lkn utoaji wa mikopo ndiyo huleta tija na faida zaidi kwa jamii na benki yenyewe..
- Kuelimisha/kifundisha (teaching)
- Kuandika vitabu (publication)
- Kufanya tafiti (Research).
Nimestushwa na mfululizo wa matamko ya tahadhari dhidi ya korona yanayotolewa na vyuo vikuu hapa nchini kwa jumuiya zao.
Nilitegemea vyuo vikuu hivi viwe vimeshafanya tafiti na kuja na chanjo ya korona badala ya kutupigia kelele bila suluhisho.
Najiuliza maswali mengi kuhusu hivi vuuo vikuu. Hivi kuna wasomi kweli? Ama kuna mkusanyiko wa wahuni wenye vyeti tu? Tija yao nn kwa taifa? Vyuo viku hivi vimeshindwa kushirikiana vikatuletea hata dawa za kufubaza virusi hivi?
Malaria, ukimwi, athma, mafua ni magonjwa ambayo yapo kwa miaka lukuki lkn hivi vuuo vikuu havijagundua hata kidonge!
Sasa navitaka vyuo vikuu hivi kukaa kimya, endeleeni kunywa pombe, kufanya ngono, na kurushiana video za umbea. Mqmbo ya corona waachieni Oxford, Harvard na Berlin universities waizungumzie.
Rubbish!!!
Unafikiri kwann mashirika makubwa hayaweki billions of money kwenye vyuo vikuu vya bongo? Ujuzi kiduchu na janjajqnja kibao. Mtu anajulikana kwa makaratasi tu kuwa ni profesa. Nje ya hapo hana tofauti na Joseph Msukuma Kusheku.Hata huko unakosikia chanjo zinatafutwa serikali na mashirika makubwa yameweka billions of money
Ghana wamegundua gari lao. South Afrika wana Mambo kibao tu ikiwemo program ya kompyuta iitwayo Ubuntu. Hapa bongo maprof wamekaa kifutuhi futuhi tu. Wengi ni wanaccm wakizengea uteuziHivi sexless una matatizo gani na utawala huu au nchi hii.
Maana kuna vyuo vikubwa zaidi ya vyetu lakini nao hawajatoa hiyo dawa
Mageius wa bongo hawana kitu mkuu. Hawa ni wazuri wa kumeza na kuhifadhi yaliyogunduliwa na kuhifadhiwa lkn hawana uwezo wa kugundua.Niliweka post mpya nikiuliza
Wale magenius wa TZ wanaopata 1st Upper class wapo wapi?: Serikali iweke mfumo wa kuwatambua na kuwatumia ili waweze kugundua hayo madawa, chanjo nk
Uongozi wa JF ukafuta post yangu???
Sasa mbona wanatoa matamko ya tahadhari??Watagunduaje chanjo ya ugonjwa ambao officially haupo Tz?
Niliweka post mpya nikiuliza
Wale magenius wa TZ wanaopata 1st Upper class wapo wapi?: Serikali iweke mfumo wa kuwatambua na kuwatumia ili waweze kugundua hayo madawa, chanjo nk
Uongozi wa JF ukafuta post yangu???
BBC walionyesha jinsi chanjo inavyotengenezwa wakati COVID inaanza laboratory nzima imejaa mayai.Loo, mkuu hiyo habari umeipata wapi??🤣
Hivi sexless una matatizo gani na utawala huu au nchi hii.Kazi kubwa za vyuo vikuu ni tatu:
Kati ya kazi hizo tatu research ndiyo huleta maana kubwa sana kwa uwepo wa chuo kikuu chochote mahala popote. Ni sawa na benki, kwa mfano, ina kazi nyingi sana lkn utoaji wa mikopo ndiyo huleta tija na faida zaidi kwa jamii na benki yenyewe..
- Kuelimisha/kifundisha (teaching)
- Kuandika vitabu (publication)
- Kufanya tafiti (Research).
Nimestushwa na mfululizo wa matamko ya tahadhari dhidi ya korona yanayotolewa na vyuo vikuu hapa nchini kwa jumuiya zao.
Nilitegemea vyuo vikuu hivi viwe vimeshafanya tafiti na kuja na chanjo ya korona badala ya kutupigia kelele bila suluhisho.
Najiuliza maswali mengi kuhusu hivi vuuo vikuu. Hivi kuna wasomi kweli? Ama kuna mkusanyiko wa wahuni wenye vyeti tu? Tija yao nn kwa taifa? Vyuo viku hivi vimeshindwa kushirikiana vikatuletea hata dawa za kufubaza virusi hivi?
Malaria, ukimwi, athma, mafua ni magonjwa ambayo yapo kwa miaka lukuki lkn hivi vuuo vikuu havijagundua hata kidonge!
Sasa navitaka vyuo vikuu hivi kukaa kimya, endeleeni kunywa pombe, kufanya ngono, na kurushiana video za umbea. Mqmbo ya corona waachieni Oxford, Harvard na Berlin universities waizungumzie.
Rubbish!!!
kama gari ni kigezo au vitu kama hivyo sisi tuna nyumbu kama unaijua bongo vizuri kweli, na NIMRI haikuanzishwa kimakosa, na tuna other institutions kama ifakara medical research , kuna research ya mambo ya matende, alipokuwa Dr Mwele kabla ya kuwa Mkurugenzi NIMRI etc .Ghana wamegundua gari lao. South Afrika wana Mambo kibao tu ikiwemo program ya kompyuta iitwayo Ubuntu. Hapa bongo maprof wamekaa kifutuhi futuhi tu. Wengi ni wanaccm wakizengea uteuzi
Mkuu ingia Google. Jina nimelisahau kidogoHilo gari la Ghana linaitwaje.
Kantanka AutomobileMkuu ingia Google. Jina nimelisahau kidogo
Asante sana mkuuKantanka Automobile
Kantanka Automobile, a Ghana based automotive assembler and manufacturer, was established in 1994 by Kwadwo Safo Kantanka and incorporated as a limited liability company in 2004 to research into the manufacturing of automotive components and their combination with other parts outsourced from component suppliers to form .
View attachment 1699999tuico.or.tz › pages › tatc-nyumbu
Web results
TATC-NYUMBU | Ministry of Defence and National Service
TATC was established with a purpose to have a Centre of Excellence to advance Automotive Technology innovations in Tanzania
Huna shughuli ya kufanya?Mnaenda mbali kote huko, chanjo ya covid 19? Hiyo dawa ya mabusha na matende tu zimewashinda sembuse huko?!!watu bwana, bongo kuna wasomi bwana?!!kama usomi wenywewe ndio huo eti alipata alama" A"Zote UDSM!!kwa mawazo hayo kwa taifa zima bora nibaki na ELIMU YANGU YA WATU WAZIMA LANGU
Ndio umemaliza?!!hapo!!!Huna shughuli ya kufanya?