Kanzastone
JF-Expert Member
- Jan 14, 2021
- 244
- 357
Hapana sio kwamba wanaonewa. Huo ndio ukweli wenyewe kwamba ma-professor na ma-doctor(PhD) wetu wamekosa committment kabisa.Umeonea vyuo vyetu vikuu na vingine vingi vya hata mataifa makubwa. Kazi ya vyuo vikuu ni kuchochea fikirishi ya kitafiti. Vipo vyuo ambayo chokozo hizo zimetoa matokeo, lakini utafiti mkubwa unahitaji muda, na fedha nyingi sana!!!! Uwekezaji ndio tatizo la msingi na wanaoweza kufanya hivi ni wale wanaotarajia faida baada ya matokeo sahihi ya tafiti zao. Vyuo hivi havina pesa kiasi hicho!!!
Umeshajiuliza kwanini makapuni ya madawa ndio yanayofanya tafiti sio vyuo vikuu??? Utafiti sio jambo la lelemama. Hasira zako ziko misplaced!!
Hawajakuwa serious at all. Kama hawajakuwa committed kwenye masuala ya tafiti zinazoweza kuleta positive impact mwenye jamii taasisi gani itawapati fedha kwaajili ya kuendesha hizo tafiti??....ma-professor na ma-doctor wetu hawana focus wameamua kujali matumbo yao na familia zao which has nothing to do with maendeleo ya taifa.
As said earlier, Mwl. Nyerere ali-invest sana kwenye the then the village for science and technology lakini ma-professor wetu wakaamua kupenda zaidi siasa na kuitelekeza ile taasisi ambayo ingeweza kuwa ni engine kwa maendeleo ya Taifa letu.
Sasa hivi ma-professor na ma-doctors wetu wameacha ku-dwell na fafiti na ufundishaji wamekaa wakisubilia teuzi za kisiasa serikali.......shame on them!!!!!😓😓😓😓