The real Daniel
JF-Expert Member
- Jan 5, 2017
- 2,117
- 7,899
Uzima herbal drop umeipata kutoka udsm?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hawa wakwetu wako kwenye siasa. research hata za madawa hawafanyi.Prof ni utafiti hawa wetu wametafit nini? Acha tupige nyungu
kuna mahali nimeandika educational background yangu?Alafu na wewe Utakua eti msomi kutoka COET..daa
Kazi kubwa za vyuo vikuu ni tatu:
- Kuelimisha/kifundisha (teaching)
- Kuandika vitabu (publication)
- Kufanya tafiti (Research).
Kati ya kazi hizo tatu research ndiyo huleta maana kubwa sana kwa uwepo wa chuo kikuu chochote mahala popote. Ni sawa na benki, kwa mfano, ina kazi nyingi sana lkn utoaji wa mikopo ndiyo huleta tija na faida zaidi kwa jamii na benki yenyewe..
Nimestushwa na mfululizo wa matamko ya tahadhari dhidi ya korona yanayotolewa na vyuo vikuu hapa nchini kwa jumuiya zao.
Nilitegemea vyuo vikuu hivi viwe vimeshafanya tafiti na kuja na chanjo ya korona badala ya kutupigia kelele bila suluhisho.
Najiuliza maswali mengi kuhusu hivi vuuo vikuu. Hivi kuna wasomi kweli? Ama kuna mkusanyiko wa wahuni wenye vyeti tu? Tija yao nn kwa taifa? Vyuo viku hivi vimeshindwa kushirikiana vikatuletea hata dawa za kufubaza virusi hivi?
Malaria, ukimwi, athma, mafua ni magonjwa ambayo yapo kwa miaka lukuki lkn hivi vuuo vikuu havijagundua hata kidonge!
Sasa navitaka vyuo vikuu hivi kukaa kimya, endeleeni kunywa pombe, kufanya ngono, na kurushiana video za umbea. Mqmbo ya corona waachieni Oxford, Harvard na Berlin universities waizungumzie.
Rubbish!!!
Tafiti zinahitaji hela. Fikirieni na hilo pia.Siwapendi hawa watu wenye vikaratasi tu vinavyowatambulisha kama wasomi lkn kichwani hamna kitu
Kama taifa tunashida kubwa zaidi yavkushindwa kwa vyuo vikuu kuwa na mchango unaoonekana kwa taifa,fikiria kama uwekezaji ungefanyika wa kiwango cha hivi karibuni katika taifa,kwenye kilimo,afya ikiwa ni pamoja na tafiti,na sayansi na tekinologia.Baada ya muda tungekuwa na jeuri ya Kumbeza beberu tunayejidai kumchukia ilhali tunamtegemea kiasi cha kumkabidhi hata uangalizi wa afya zetu.Kazi kubwa za vyuo vikuu ni tatu:
- Kuelimisha/kifundisha (teaching)
- Kuandika vitabu (publication)
- Kufanya tafiti (Research).
Kati ya kazi hizo tatu research ndiyo huleta maana kubwa sana kwa uwepo wa chuo kikuu chochote mahala popote. Ni sawa na benki, kwa mfano, ina kazi nyingi sana lkn utoaji wa mikopo ndiyo huleta tija na faida zaidi kwa jamii na benki yenyewe..
Nimestushwa na mfululizo wa matamko ya tahadhari dhidi ya korona yanayotolewa na vyuo vikuu hapa nchini kwa jumuiya zao.
Nilitegemea vyuo vikuu hivi viwe vimeshafanya tafiti na kuja na chanjo ya korona badala ya kutupigia kelele bila suluhisho.
Najiuliza maswali mengi kuhusu hivi vuuo vikuu. Hivi kuna wasomi kweli? Ama kuna mkusanyiko wa wahuni wenye vyeti tu? Tija yao nn kwa taifa? Vyuo viku hivi vimeshindwa kushirikiana vikatuletea hata dawa za kufubaza virusi hivi?
Malaria, ukimwi, athma, mafua ni magonjwa ambayo yapo kwa miaka lukuki lkn hivi vuuo vikuu havijagundua hata kidonge!
Sasa navitaka vyuo vikuu hivi kukaa kimya, endeleeni kunywa pombe, kufanya ngono, na kurushiana video za umbea. Mqmbo ya corona waachieni Oxford, Harvard na Berlin universities waizungumzie.
Rubbish!!!
Katika Afrika maendeleo hakuna kwa sababu ya siasa za hovyo,badala ya siasakuwaLkn mkuu vyuo vikuu vipo miaka mingi sana kabla ya awamu hii
Usikimbilie kulaumu tu sio kweli kwamba vyuo vimekaa kimya tu , Mfano hata sasa ukipita chuo kikuu cha Dar es Salaam kwa wale ambao wako Dar kuna foleni kubwa pale wanauza dawa ambayo ni ya kujifukiza inataoa matokeo makubwa sana hasa kwa waleambao walikua na hali mbaya, tumesikia pia UDOM wamekuja na ya kwao, MUHAS kila siku Dr.Otieno anaelimisha juu ya tiba za asili na mimea kibongobongo hawajalala nakuhakikishia hata wewe mleta uzi katumie hayo matone ya UDSM hutojuta hata kama huna nyiumonia utakaa sawa , haya mambo yanaendana na funds na wakati mwingine political will, kwahiyo kuwatupia mawe wasomi kuwa hawako mstari wa mbele sio sawa kabisa , mnyonge mnyongeni ila haki yake mpeni
[/QUOT
Tunachotaka sii tiba zenye msukumo ya kisiasa, ila zenye tafiti na kupata viwango vya ufanisi wa kisayansi.
Unamaanisha hata kile chuo cha chama kivukoni nacho wameshindwa kugundua chanjoKazi kubwa za vyuo vikuu ni tatu:
- Kuelimisha/kifundisha (teaching)
- Kuandika vitabu (publication)
- Kufanya tafiti (Research).
Kati ya kazi hizo tatu research ndiyo huleta maana kubwa sana kwa uwepo wa chuo kikuu chochote mahala popote. Ni sawa na benki, kwa mfano, ina kazi nyingi sana lkn utoaji wa mikopo ndiyo huleta tija na faida zaidi kwa jamii na benki yenyewe..
Nimestushwa na mfululizo wa matamko ya tahadhari dhidi ya korona yanayotolewa na vyuo vikuu hapa nchini kwa jumuiya zao.
Nilitegemea vyuo vikuu hivi viwe vimeshafanya tafiti na kuja na chanjo ya korona badala ya kutupigia kelele bila suluhisho.
Najiuliza maswali mengi kuhusu hivi vuuo vikuu. Hivi kuna wasomi kweli? Ama kuna mkusanyiko wa wahuni wenye vyeti tu? Tija yao nn kwa taifa? Vyuo viku hivi vimeshindwa kushirikiana vikatuletea hata dawa za kufubaza virusi hivi?
Malaria, ukimwi, athma, mafua ni magonjwa ambayo yapo kwa miaka lukuki lkn hivi vuuo vikuu havijagundua hata kidonge!
Sasa navitaka vyuo vikuu hivi kukaa kimya, endeleeni kunywa pombe, kufanya ngono, na kurushiana video za umbea. Mqmbo ya corona waachieni Oxford, Harvard na Berlin universities waizungumzie.
Rubbish!!!
Hiyo pesa ndogo sana kama pesa za sherehe ya uhuru inayofanyika siku moja zinapatikana leo hii hiyo pesa isipatikane?Chanjo ya corona inatengenezwa na egg white, umeshaona hayo ma tray ya mayai kwa siku yanayochezewa kwenye research.
Tray ya mayai bongo bei yake ni sh elfu 6-7 kwa siku watu wanaweza chezea tray 2000 kama million 14 za kitanzania now imagine research labda inachukua miezi sita.
Piga hesabu ya cost 14 m x 180 days.
Yupo huyo supplier reliable wa mayai.
Hathari zake kwa soko la mayai maana Tanzania adverse kidogo tu sokoni ya supply and demand bei hizo zinapaa.
Bado wale ambao wakijua egg york unatupa utumii kwenye research na njaa zao, waanze kulia lia mnachezea chakula.
Tujikite kukuza uchumi kwanza sio kuwaza mambo ambayo mazingira yetu hayapo tayari ku-support ata kama hao scientists tunao.
Uko sahihi kabisaaaa!!!!!!Kazi kubwa za vyuo vikuu ni tatu:
- Kuelimisha/kifundisha (teaching)
- Kuandika vitabu (publication)
- Kufanya tafiti (Research).
Kati ya kazi hizo tatu research ndiyo huleta maana kubwa sana kwa uwepo wa chuo kikuu chochote mahala popote. Ni sawa na benki, kwa mfano, ina kazi nyingi sana lkn utoaji wa mikopo ndiyo huleta tija na faida zaidi kwa jamii na benki yenyewe..
Nimestushwa na mfululizo wa matamko ya tahadhari dhidi ya korona yanayotolewa na vyuo vikuu hapa nchini kwa jumuiya zao.
Nilitegemea vyuo vikuu hivi viwe vimeshafanya tafiti na kuja na chanjo ya korona badala ya kutupigia kelele bila suluhisho.
Najiuliza maswali mengi kuhusu hivi vuuo vikuu. Hivi kuna wasomi kweli? Ama kuna mkusanyiko wa wahuni wenye vyeti tu? Tija yao nn kwa taifa? Vyuo viku hivi vimeshindwa kushirikiana vikatuletea hata dawa za kufubaza virusi hivi?
Malaria, ukimwi, athma, mafua ni magonjwa ambayo yapo kwa miaka lukuki lkn hivi vuuo vikuu havijagundua hata kidonge!
Sasa navitaka vyuo vikuu hivi kukaa kimya, endeleeni kunywa pombe, kufanya ngono, na kurushiana video za umbea. Mqmbo ya corona waachieni Oxford, Harvard na Berlin universities waizungumzie.
Rubbish!!!
Lipo tatizo mahali zaidi ya kwa hao madoc na profsUko sahihi kabisaaaa!!!!!!
Vyuo vikuu vyetu vinatia sana aibu. Ma-Professor na Ma-Doctors wameacha kufanya tafiti mbalimbali na zenye tija kwa manufaa ya taifa wanakimbilia kwenye siasa wanakoishia kufanya kazi za ukarani tu.
Hawa ma-professor wetu wameendekeza njaa tu kwaajili ya matumbo yao na familia zao. Matokeo yao wameshindwa kufanya tafiti za kisayansi ili kupata chanjo na tiba ya; ukimwi, cancer, maralia, BP, Sukari, figo n.k.
Nakumbuka miaka ya nyuma Baba wa Taifa Mwl. Julius Nyerere alianzisha taasisi iliyoitwa the village of science and technology lakini ma-professor akina Professor Shayo aliyekuwa wa chama cha Demokrasia Makini wakaki-dump wakaingia kwenye siasa.
Ninaomba wasomi wetu wabadilike. Angalia nchi za wenzetu huko Amerika na Europe ni vigumu kuwaona ma-professor na ma-doctors (PhD) wanaingia kwenye siasa wenzetu wanabaki kwenye vyuo na taasisi za utafiti ili wafanye kazi zinazoendana na taaluma zao.
Hakuna wafanya research Tanzania. Kwa elimu gani? Acha kujificha kwenye kichaka cha gharama.
Hao Oxford na wengine wamepewa fedha na WHO kufanya research za corona. Unafikiri kwann hakikupewa chuo kimojawapo Cha Tanzania?
Hapa hakuna wasomi, Kuna kikundi cha malaya, walevi na mqkahaba wenye makaratasi yanayo watambulisha kama wasomi
Ni kweli vyuo vikuu vyetu vina mapungufu, lakini kuvilaumu kwamba vimeshindwa kufanya tafiti ambazo zingewezesha upatikanaji wa chanjo ya korona, ni kutojua usemalo.Mnaenda mbali kote huko, chanjo ya covid 19? Hiyo dawa ya mabusha na matende tu zimewashinda sembuse huko?!!watu bwana, bongo kuna wasomi bwana?!!kama usomi wenywewe ndio huo eti alipata alama" A"Zote UDSM!!kwa mawazo hayo kwa taifa zima bora nibaki na ELIMU YANGU YA WATU WAZIMA LANGU
Umeandikaujinga mtupu hauko tofauti na ndugaiKazi kubwa za vyuo vikuu ni tatu:
- Kuelimisha/kifundisha (teaching)
- Kuandika vitabu (publication)
- Kufanya tafiti (Research).
Kati ya kazi hizo tatu research ndiyo huleta maana kubwa sana kwa uwepo wa chuo kikuu chochote mahala popote. Ni sawa na benki, kwa mfano, ina kazi nyingi sana lkn utoaji wa mikopo ndiyo huleta tija na faida zaidi kwa jamii na benki yenyewe..
Nimestushwa na mfululizo wa matamko ya tahadhari dhidi ya korona yanayotolewa na vyuo vikuu hapa nchini kwa jumuiya zao.
Nilitegemea vyuo vikuu hivi viwe vimeshafanya tafiti na kuja na chanjo ya korona badala ya kutupigia kelele bila suluhisho.
Najiuliza maswali mengi kuhusu hivi vuuo vikuu. Hivi kuna wasomi kweli? Ama kuna mkusanyiko wa wahuni wenye vyeti tu? Tija yao nn kwa taifa? Vyuo viku hivi vimeshindwa kushirikiana vikatuletea hata dawa za kufubaza virusi hivi?
Malaria, ukimwi, athma, mafua ni magonjwa ambayo yapo kwa miaka lukuki lkn hivi vuuo vikuu havijagundua hata kidonge!
Sasa navitaka vyuo vikuu hivi kukaa kimya, endeleeni kunywa pombe, kufanya ngono, na kurushiana video za umbea. Mqmbo ya corona waachieni Oxford, Harvard na Berlin universities waizungumzie.
Rubbish!!!
Mkuu hivi umesoma wewe au umesingiziwa kusoma?Kazi kubwa za vyuo vikuu ni tatu: