Ni aibu kwa vyuo vikuu hapa nchini kushindwa kugundua chanjo ya Corona na sasa vinashindana kutoa tahadhari

Ukweli unauma. Ndiyo maana unaona povu jingi linamwagika mkuu
Hivi unafahamu sua kuna chanjo ya magonjwa ya kuku imetengenezwa kwa ufadili wa wamarekani? Hiyo imewezekana kwasababu kuu mbili

1. Ufadhili ulikuwepo
2. Virusi wa kideli na mdondo hawahitaji maabara za kisasa ku deal nao.

Hakuna maabara ya kucheza na virusi hatarish kama korona , Ebola ,HIV nk Tanzania. Kama bado hujaelewa kachunguzwe ubongo
 
Sasa kwanini hiyo maabara ya aina hiyo isijengwe???, au hadi hao Waamerika/wafadhili (kama wakiwaudhi mnawaita mabeberu) watupe msaada??!!
 
Hivi unajua hii sio chanjo ya mbuzi au kondoo?, issue sio kugundua tu bali ni kufanya research na testing ya muda mrefu kuhakikisha haina madhara..., hence investment ya hali ya juu inatakiwa na ndio maana na pharmacy kubwa ndio huwa zinakuja na madawa sababu wanainvest kwa hali ya juu..., unaweza ukafanya reaserch ya dawa kumi zikachukua miaka kumi na tisa zote zikawa hazina maana moja tu ndio ikafaulu au zote kumi zikawa hazifai
 
Attachments

  • 2676334_10126120311.jpg
    2676334_10126120311.jpg
    42.5 KB · Views: 1
Una habari kwa mfano tangu hawa virus wa covid wapambe moto Kenya wanafanya research nyingi tu kuhusu hawa virus? Kwa nini kusiwe na research kwa mfano kuangalia kwa Tanzania ni watu wa aina gani wanaathirika zaidi au pengine kufa wengi? Kwa nini tusiangalie ni mikoa gani imeathirika zaidi na ni kwa nini? Je virus wana-mutate? Haya yote wala hayahitaji uchumi mkubwa ni suala la kuwa na viongozi wenye maono tu na utashi wa kutenga fedha za utafiti. Ila siyo ''kilatha'' kama bwana yule
Umetisha sana mkuu. Nimekupenda bure
 
Kwani umesikia serikali imetenga kiasi gani kwa ajili ya utafiti juu ya Covid 19?, hakuna tafiti bila resource next time piga kelele juu ya uwezeshaji kwanza kabla hujashambulia vyuo vikuu
Hao Oxford wamepewa fedha na mashirika ya kimataifa (siyo serikali) baada ya kuona uwezo na juhudi za wasomi wa chuo hicho kutaka kupata chanjo ya korona. Kwahiyo kusema serikali haijatoa fedha ni kichaka cha kuficha udhaifu
 
Kazi kubwa za vyuo vikuu ni tatu:
  • Kuelimisha/kifundisha (teaching)
  • Kuandika vitabu (publication)
  • Kufanya tafiti (Research).
Kati ya kazi hizo tatu research ndiyo huleta maana kubwa sana kwa uwepo wa chuo kikuu chochote mahala popote. Ni sawa na benki, kwa mfano, ina kazi nyingi sana lkn utoaji wa mikopo ndiyo huleta tija na faida zaidi kwa jamii na benki yenyewe..

Nimestushwa na mfululizo wa matamko ya tahadhari dhidi ya korona yanayotolewa na vyuo vikuu hapa nchini kwa jumuiya zao.

Nilitegemea vyuo vikuu hivi viwe vimeshafanya tafiti na kuja na chanjo ya korona badala ya kutupigia kelele bila suluhisho.

Najiuliza maswali mengi kuhusu hivi vuuo vikuu. Hivi kuna wasomi kweli? Ama kuna mkusanyiko wa wahuni wenye vyeti tu? Tija yao nn kwa taifa? Vyuo viku hivi vimeshindwa kushirikiana vikatuletea hata dawa za kufubaza virusi hivi?

Malaria, ukimwi, athma, mafua ni magonjwa ambayo yapo kwa miaka lukuki lkn hivi vuuo vikuu havijagundua hata kidonge!

Sasa navitaka vyuo vikuu hivi kukaa kimya, endeleeni kunywa pombe, kufanya ngono, na kurushiana video za umbea. Mqmbo ya corona waachieni Oxford, Harvard na Berlin universities waizungumzie.

Rubbish!!!
Umesahau kutueleza serikali yako imetoa kiasi gani kwa hivyo vyuo kuwezesha utafiti wa kupata chanjo ya Corona kufanyika
 
Waoneshe uwezo wao sponsors na funding agents wapo kibao watatoa fedha
 
Ni kiasi gani serikali inatenga bajeti kwa ajili ya tafiti? Ukiona tume ya uchaguzi ina bajeti kubwa kuliko research usilie kumlaumu prof. Wa chuo laumu hao std seven wanao pitisha bajeti bila kujali kesho ya taifa.

Nikupe mifano kadhaa:
Pale SUA wanatengeneza vaccine za wanyama unataarifa?

Unadhani uwepo wa maprof kama Issa Shivji na manguli wengine wa sheria ni kwa bahati mbaya? Mbona tuna mikataba ya kipumbavu sana, kwa nini hawakuwepo Kwenye negotiation panel?
Gharama ya kuhakikisha CCM kubaki madarakani ni kubwa kuliko ile budget ya wizara ya afya au elimu......mwisho wa siku tutasema ni mabeberu
 
Kazi kubwa za vyuo vikuu ni tatu:
  • Kuelimisha/kifundisha (teaching)
  • Kuandika vitabu (publication)
  • Kufanya tafiti (Research).
Kati ya kazi hizo tatu research ndiyo huleta maana kubwa sana kwa uwepo wa chuo kikuu chochote mahala popote. Ni sawa na benki, kwa mfano, ina kazi nyingi sana lkn utoaji wa mikopo ndiyo huleta tija na faida zaidi kwa jamii na benki yenyewe..

Nimestushwa na mfululizo wa matamko ya tahadhari dhidi ya korona yanayotolewa na vyuo vikuu hapa nchini kwa jumuiya zao.

Nilitegemea vyuo vikuu hivi viwe vimeshafanya tafiti na kuja na chanjo ya korona badala ya kutupigia kelele bila suluhisho.

Najiuliza maswali mengi kuhusu hivi vuuo vikuu. Hivi kuna wasomi kweli? Ama kuna mkusanyiko wa wahuni wenye vyeti tu? Tija yao nn kwa taifa? Vyuo viku hivi vimeshindwa kushirikiana vikatuletea hata dawa za kufubaza virusi hivi?

Malaria, ukimwi, athma, mafua ni magonjwa ambayo yapo kwa miaka lukuki lkn hivi vuuo vikuu havijagundua hata kidonge!

Sasa navitaka vyuo vikuu hivi kukaa kimya, endeleeni kunywa pombe, kufanya ngono, na kurushiana video za umbea. Mqmbo ya corona waachieni Oxford, Harvard na Berlin universities waizungumzie.

Rubbish!!!
Wakati JIWE anasema hakuna corona ulimwandikia hili bandiko lako au baaada ya kusikia watu wanakufa kama kuku ndo unawageukia maprofesa?
 
Kwenu wewe ni Burundi

Na wewe kwenu ni Msumbiji (Nchumbiji), Wewe ni mmakonde wa chale. Mmawia sio Mmakonde Maraba. 🤣

Nitataja hata kijiji ulichotoka huko Nchumbiji!!!, we haya weee!
 
Waonesheuwezo wao sponsors na funding agents wapo kibao watatoa fedha
Wanaoneshaje bila pesa? Unadhani uwezo tu wa technical know how unatosha kufanya utafiti? Hata huko unakosikia chanjo zinatafutwa serikali na mashirika makubwa yameweka billions of money
 
Kazi kubwa za vyuo vikuu ni tatu:
  • Kuelimisha/kifundisha (teaching)
  • Kuandika vitabu (publication)
  • Kufanya tafiti (Research).
Kati ya kazi hizo tatu research ndiyo huleta maana kubwa sana kwa uwepo wa chuo kikuu chochote mahala popote. Ni sawa na benki, kwa mfano, ina kazi nyingi sana lkn utoaji wa mikopo ndiyo huleta tija na faida zaidi kwa jamii na benki yenyewe..

Nimestushwa na mfululizo wa matamko ya tahadhari dhidi ya korona yanayotolewa na vyuo vikuu hapa nchini kwa jumuiya zao.

Nilitegemea vyuo vikuu hivi viwe vimeshafanya tafiti na kuja na chanjo ya korona badala ya kutupigia kelele bila suluhisho.

Najiuliza maswali mengi kuhusu hivi vuuo vikuu. Hivi kuna wasomi kweli? Ama kuna mkusanyiko wa wahuni wenye vyeti tu? Tija yao nn kwa taifa? Vyuo viku hivi vimeshindwa kushirikiana vikatuletea hata dawa za kufubaza virusi hivi?

Malaria, ukimwi, athma, mafua ni magonjwa ambayo yapo kwa miaka lukuki lkn hivi vuuo vikuu havijagundua hata kidonge!

Sasa navitaka vyuo vikuu hivi kukaa kimya, endeleeni kunywa pombe, kufanya ngono, na kurushiana video za umbea. Mqmbo ya corona waachieni Oxford, Harvard na Berlin universities waizungumzie.

Rubbish!!!
Umenena mkuu.Sema wengi wanafanya tafiti ili kupata posho siyo kutafuta solution zinazoikabili nchi. hata ukiwaangalia hao tunaowaita wanzuoni hawana confidence,especially ya kutoka hadharanina kukemea pale mambo yanapopotoshwa.wale wanaojitokeza wamakemewa sana .mfano ni huyu Prof.Bisanda amejaribu kuweka position yake namna bora ya kulinda wadau wake ona anavyoshambuliwa.
 
Na wewe kwenu ni Msumbiji (Nchumbiji), Wewe ni mmakonde wa chale. Mmawia sio Mmakonde Maraba. [emoji1787]

Nitataja hata kijiji ulichotoka huko Nchumbiji!!!, we haya weee!
Wewe kwenu Burundi ni mushuti
 
Back
Top Bottom