Hivi unafahamu sua kuna chanjo ya magonjwa ya kuku imetengenezwa kwa ufadili wa wamarekani? Hiyo imewezekana kwasababu kuu mbiliUkweli unauma. Ndiyo maana unaona povu jingi linamwagika mkuu
Hakuna maabara ya kucheza na virusi hatarish kama korona , Ebola ,HIV nk Tanzania. Kama bado hujaelewa kachunguzwe ubongo
Corona gani tena jamani
Tumekubaliana ni homa kali ya mapafu
Umetisha sana mkuu. Nimekupenda bureUna habari kwa mfano tangu hawa virus wa covid wapambe moto Kenya wanafanya research nyingi tu kuhusu hawa virus? Kwa nini kusiwe na research kwa mfano kuangalia kwa Tanzania ni watu wa aina gani wanaathirika zaidi au pengine kufa wengi? Kwa nini tusiangalie ni mikoa gani imeathirika zaidi na ni kwa nini? Je virus wana-mutate? Haya yote wala hayahitaji uchumi mkubwa ni suala la kuwa na viongozi wenye maono tu na utashi wa kutenga fedha za utafiti. Ila siyo ''kilatha'' kama bwana yule
Hao Oxford wamepewa fedha na mashirika ya kimataifa (siyo serikali) baada ya kuona uwezo na juhudi za wasomi wa chuo hicho kutaka kupata chanjo ya korona. Kwahiyo kusema serikali haijatoa fedha ni kichaka cha kuficha udhaifuKwani umesikia serikali imetenga kiasi gani kwa ajili ya utafiti juu ya Covid 19?, hakuna tafiti bila resource next time piga kelele juu ya uwezeshaji kwanza kabla hujashambulia vyuo vikuu
Umesahau kutueleza serikali yako imetoa kiasi gani kwa hivyo vyuo kuwezesha utafiti wa kupata chanjo ya Corona kufanyikaKazi kubwa za vyuo vikuu ni tatu:
Kati ya kazi hizo tatu research ndiyo huleta maana kubwa sana kwa uwepo wa chuo kikuu chochote mahala popote. Ni sawa na benki, kwa mfano, ina kazi nyingi sana lkn utoaji wa mikopo ndiyo huleta tija na faida zaidi kwa jamii na benki yenyewe..
- Kuelimisha/kifundisha (teaching)
- Kuandika vitabu (publication)
- Kufanya tafiti (Research).
Nimestushwa na mfululizo wa matamko ya tahadhari dhidi ya korona yanayotolewa na vyuo vikuu hapa nchini kwa jumuiya zao.
Nilitegemea vyuo vikuu hivi viwe vimeshafanya tafiti na kuja na chanjo ya korona badala ya kutupigia kelele bila suluhisho.
Najiuliza maswali mengi kuhusu hivi vuuo vikuu. Hivi kuna wasomi kweli? Ama kuna mkusanyiko wa wahuni wenye vyeti tu? Tija yao nn kwa taifa? Vyuo viku hivi vimeshindwa kushirikiana vikatuletea hata dawa za kufubaza virusi hivi?
Malaria, ukimwi, athma, mafua ni magonjwa ambayo yapo kwa miaka lukuki lkn hivi vuuo vikuu havijagundua hata kidonge!
Sasa navitaka vyuo vikuu hivi kukaa kimya, endeleeni kunywa pombe, kufanya ngono, na kurushiana video za umbea. Mqmbo ya corona waachieni Oxford, Harvard na Berlin universities waizungumzie.
Rubbish!!!
Waoneshe uwezo wao sponsors na funding agents wapo kibao watatoa fedhaUmesahau kutueleza serikali yako imetoa kiasi gani kwa hivyo vyuo kuwezesha utafiti wa kupata chanjo ya Corona kufanyika
Waonesheuwezo wao sponsors na funding agents wapo kibao watatoa fedha
Labda dawa ya kwenuKwani Nyungu sio dawa??!!
Gharama ya kuhakikisha CCM kubaki madarakani ni kubwa kuliko ile budget ya wizara ya afya au elimu......mwisho wa siku tutasema ni mabeberuNi kiasi gani serikali inatenga bajeti kwa ajili ya tafiti? Ukiona tume ya uchaguzi ina bajeti kubwa kuliko research usilie kumlaumu prof. Wa chuo laumu hao std seven wanao pitisha bajeti bila kujali kesho ya taifa.
Nikupe mifano kadhaa:
Pale SUA wanatengeneza vaccine za wanyama unataarifa?
Unadhani uwepo wa maprof kama Issa Shivji na manguli wengine wa sheria ni kwa bahati mbaya? Mbona tuna mikataba ya kipumbavu sana, kwa nini hawakuwepo Kwenye negotiation panel?
Wakati JIWE anasema hakuna corona ulimwandikia hili bandiko lako au baaada ya kusikia watu wanakufa kama kuku ndo unawageukia maprofesa?Kazi kubwa za vyuo vikuu ni tatu:
Kati ya kazi hizo tatu research ndiyo huleta maana kubwa sana kwa uwepo wa chuo kikuu chochote mahala popote. Ni sawa na benki, kwa mfano, ina kazi nyingi sana lkn utoaji wa mikopo ndiyo huleta tija na faida zaidi kwa jamii na benki yenyewe..
- Kuelimisha/kifundisha (teaching)
- Kuandika vitabu (publication)
- Kufanya tafiti (Research).
Nimestushwa na mfululizo wa matamko ya tahadhari dhidi ya korona yanayotolewa na vyuo vikuu hapa nchini kwa jumuiya zao.
Nilitegemea vyuo vikuu hivi viwe vimeshafanya tafiti na kuja na chanjo ya korona badala ya kutupigia kelele bila suluhisho.
Najiuliza maswali mengi kuhusu hivi vuuo vikuu. Hivi kuna wasomi kweli? Ama kuna mkusanyiko wa wahuni wenye vyeti tu? Tija yao nn kwa taifa? Vyuo viku hivi vimeshindwa kushirikiana vikatuletea hata dawa za kufubaza virusi hivi?
Malaria, ukimwi, athma, mafua ni magonjwa ambayo yapo kwa miaka lukuki lkn hivi vuuo vikuu havijagundua hata kidonge!
Sasa navitaka vyuo vikuu hivi kukaa kimya, endeleeni kunywa pombe, kufanya ngono, na kurushiana video za umbea. Mqmbo ya corona waachieni Oxford, Harvard na Berlin universities waizungumzie.
Rubbish!!!
Kwenu wewe ni BurundiYa kwetu lakini ni DAWA !!![emoji1787]
Dawa yenu ni kukata misaada hasa ya ARVWaonesheuwezo wao sponsors na funding agents wapo kibao watatoa fedha
Kwenu wewe ni Burundi
Wanaoneshaje bila pesa? Unadhani uwezo tu wa technical know how unatosha kufanya utafiti? Hata huko unakosikia chanjo zinatafutwa serikali na mashirika makubwa yameweka billions of moneyWaonesheuwezo wao sponsors na funding agents wapo kibao watatoa fedha
Umenena mkuu.Sema wengi wanafanya tafiti ili kupata posho siyo kutafuta solution zinazoikabili nchi. hata ukiwaangalia hao tunaowaita wanzuoni hawana confidence,especially ya kutoka hadharanina kukemea pale mambo yanapopotoshwa.wale wanaojitokeza wamakemewa sana .mfano ni huyu Prof.Bisanda amejaribu kuweka position yake namna bora ya kulinda wadau wake ona anavyoshambuliwa.Kazi kubwa za vyuo vikuu ni tatu:
Kati ya kazi hizo tatu research ndiyo huleta maana kubwa sana kwa uwepo wa chuo kikuu chochote mahala popote. Ni sawa na benki, kwa mfano, ina kazi nyingi sana lkn utoaji wa mikopo ndiyo huleta tija na faida zaidi kwa jamii na benki yenyewe..
- Kuelimisha/kifundisha (teaching)
- Kuandika vitabu (publication)
- Kufanya tafiti (Research).
Nimestushwa na mfululizo wa matamko ya tahadhari dhidi ya korona yanayotolewa na vyuo vikuu hapa nchini kwa jumuiya zao.
Nilitegemea vyuo vikuu hivi viwe vimeshafanya tafiti na kuja na chanjo ya korona badala ya kutupigia kelele bila suluhisho.
Najiuliza maswali mengi kuhusu hivi vuuo vikuu. Hivi kuna wasomi kweli? Ama kuna mkusanyiko wa wahuni wenye vyeti tu? Tija yao nn kwa taifa? Vyuo viku hivi vimeshindwa kushirikiana vikatuletea hata dawa za kufubaza virusi hivi?
Malaria, ukimwi, athma, mafua ni magonjwa ambayo yapo kwa miaka lukuki lkn hivi vuuo vikuu havijagundua hata kidonge!
Sasa navitaka vyuo vikuu hivi kukaa kimya, endeleeni kunywa pombe, kufanya ngono, na kurushiana video za umbea. Mqmbo ya corona waachieni Oxford, Harvard na Berlin universities waizungumzie.
Rubbish!!!
Wewe kwenu Burundi ni mushutiNa wewe kwenu ni Msumbiji (Nchumbiji), Wewe ni mmakonde wa chale. Mmawia sio Mmakonde Maraba. [emoji1787]
Nitataja hata kijiji ulichotoka huko Nchumbiji!!!, we haya weee!