Ni aibu kwa vyuo vikuu hapa nchini kushindwa kugundua chanjo ya Corona na sasa vinashindana kutoa tahadhari

Watagunduaje chanjo ya ugonjwa ambao officially haupo Tz?
 
Hivi sexless una matatizo gani na utawala huu au nchi hii.
Maana kuna vyuo vikubwa zaidi ya vyetu lakini nao hawajatoa hiyo dawa
 
Hivi sexless una matatizo gani na utawala huu au nchi hii.
Maana kuna vyuo vikubwa zaidi ya vyetu lakini nao hawajatoa hiyo dawa
 
Wakati JIWE anasema hakuna corona ulimwandikia hili bandiko lako au baaada ya kusikia watu wanakufa kama kuku ndo unawageukia maprofesa?
Maprof walikaa kimya wakati kilaza jiwe anasema hakuna korona. Kosa la kwanza kwa maprof hili. Kwann hawakutumia taalima zao kupinga kauli ya kilaza jiwe?
 
Yaani akili za waimba mapambio ya kusifu na kuabudu awamu ya tano Ni za ajabu sana Zina operate anticlockwise , akili za Lumumba kijani kibichi yaani hata akili za mbuzi kuvukia barabara hawana , hata akili za kujua ng'ombe anatikisa mkia na sio mkia unatikisa ng'ombe hawana , Paul Freire aliona mbali sana empty head a .k .a tabulalasa .
 
Hata huko unakosikia chanjo zinatafutwa serikali na mashirika makubwa yameweka billions of money
Unafikiri kwann mashirika makubwa hayaweki billions of money kwenye vyuo vikuu vya bongo? Ujuzi kiduchu na janjajqnja kibao. Mtu anajulikana kwa makaratasi tu kuwa ni profesa. Nje ya hapo hana tofauti na Joseph Msukuma Kusheku.
 
Niliweka post mpya nikiuliza
Wale magenius wa TZ wanaopata 1st Upper class wapo wapi?: Serikali iweke mfumo wa kuwatambua na kuwatumia ili waweze kugundua hayo madawa, chanjo nk
Uongozi wa JF ukafuta post yangu???
 
Hivi sexless una matatizo gani na utawala huu au nchi hii.
Maana kuna vyuo vikubwa zaidi ya vyetu lakini nao hawajatoa hiyo dawa
Ghana wamegundua gari lao. South Afrika wana Mambo kibao tu ikiwemo program ya kompyuta iitwayo Ubuntu. Hapa bongo maprof wamekaa kifutuhi futuhi tu. Wengi ni wanaccm wakizengea uteuzi
 
Mageius wa bongo hawana kitu mkuu. Hawa ni wazuri wa kumeza na kuhifadhi yaliyogunduliwa na kuhifadhiwa lkn hawana uwezo wa kugundua.
 
Niliweka post mpya nikiuliza
Wale magenius wa TZ wanaopata 1st Upper class wapo wapi?: Serikali iweke mfumo wa kuwatambua na kuwatumia ili waweze kugundua hayo madawa, chanjo nk
Uongozi wa JF ukafuta post yangu???

Irudishe tena hiyo post.
 
Hivi sexless una matatizo gani na utawala huu au nchi hii.
Maana kuna vyuo vikubwa zaidi ya vyetu lakini nao hawajatoa hiyo dawa
Ghana wamegundua gari lao. South Afrika wana Mambo kibao tu ikiwemo program ya kompyuta iitwayo Ubuntu. Hapa bongo maprof wamekaa kifutuhi futuhi tu. Wengi ni wanaccm wakizengea uteuzi
kama gari ni kigezo au vitu kama hivyo sisi tuna nyumbu kama unaijua bongo vizuri kweli, na NIMRI haikuanzishwa kimakosa, na tuna other institutions kama ifakara medical research , kuna research ya mambo ya matende, alipokuwa Dr Mwele kabla ya kuwa Mkurugenzi NIMRI etc .
Hilo gari la Ghana linaitwaje.
Basi Ghana watakuwa ahead of Nigeria na Angola etc zenye utajiri wa mafuta.
Ukisema kuhusu hiyo programme ya computer , mbona sisi tunayo G E PAyment system au hilo hajui
 
Mkuu ingia Google. Jina nimelisahau kidogo
Kantanka Automobile

Kantanka Automobile, a Ghana based automotive assembler and manufacturer, was established in 1994 by Kwadwo Safo Kantanka and incorporated as a limited liability company in 2004 to research into the manufacturing of automotive components and their combination with other parts outsourced from component suppliers to form .

tuico.or.tz › pages › tatc-nyumbu

Web results​

TATC-NYUMBU | Ministry of Defence and National Service
TATC was established with a purpose to have a Centre of Excellence to advance Automotive Technology innovations in Tanzania
 
Asante sana mkuu
 
Huna shughuli ya kufanya?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…