Ni aibu mapokezi ya ndege Tanzania

Mkuu Ss tulisha acha muda mrefu sana kuangalia TBC channel iliyojaa ugolo mtupu
 
Asilimia 90 ya watu waliokuwa pale hawana uwezo wa kuipanda na hawataipanda
 
[emoji2956][emoji2956]

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
[emoji2956][emoji2956]

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
hakuna aliyekuwa anafurahia maisha ya dhiki na umasikini, labda nyinyi muliokuwa vijijini.
Wala hakukuwa na umasikini kama wa hivi sasa
Kipindi kile watu walikuwa hawapishani sana kimaisha !
Lakini sasa masikini ni masikini kweli kweli ! Mlo ni mmoja tu tena wa kubangaiza !
Tofauti kati ya wenye nacho na wasionacho ni kubwa kupita maelezo kwa sasa !!
 
Tahila ww,kufa
 
Tusiende mbali huko Kakonko Wala Masasi. Hapa Dar baadhi ya shule za msingi watoto wanakaa chini kwenye mavumbi. Halafu watu wananunua ndege ya mabilioni na kwenda kuipaki.
Niwaulize CCM na kina FaizaFoxy, ATCL Ina serve mikoa mingapi Tanzania.
Wewe mnunulie mwanao desk, usingoje kila kitu kufanyiwa.
 
walipishana kwa sana tu ijapokuwa JKN alitaka kuwafanya sawa kama Mao Ze Dong - yaani kwenda na sera za kikomunist.

Labda huko kwenu vijijini ndiyo maisha mulikuwa sawa lakini siyo mjini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…