Ni aibu msomi kufanya biashara ambayo hata asiyesoma anaweza kufanya

Msomi hata msoma magazeti ni masomi

Nadhan ungeweka "mtu alie elimika instead of msomi"
 
Wewe umewekeza kwenye idea gani?tuanzie hapo
 
Mimi nimekuelewa vizuri sana mkuu.

Ukosefu wa UMOJA, UBUNIFU na UGUNDUZI ni tatizo kubwa sana kwa waafrika weusi, hasa wa kusini mwa jangwa la sahara.

Mark Zuckenberg, mwanzilishi wa Oracle, na kampuni zingine zimegunduliwa na wanafunzi wa kawaida kabisa ambao wameamua kuwa TOFAUTI na wengine.

Sisi kosa letu tuna tabia ya kuiga na kufanya biashara kwa mazoea.

Tukisikia biashara flan mpya inalipa tunakimbilia huko na hatufanyi kwa ufanisi pia.



KWA MFANO:-

Ilianza :

- Ufugaji wa kware

- Ufugaji wa kuku aiba ya Israel, sasso, malawi n.k

-Ufugaji wa Sungura

- Ufugaji wa nguruwe

- kilimo cha vitunguu na matikiti

Zote ni biashara nzuri ila watu wengi saana wakakimbilia huko ila wachache sana wamefanya kwa ufanisi.

Wengi hatuna UBUNIFU, na wasomi walipaswa wawe tofauti kiufanisi sana na wasiosoma.
 
Me naona sio mbaya msomi kufanya biashara moja na asiyesoma ila ubunifu wako ndio utakuweka tofauti na Hugo ambae hajasoma .Pia baada ya miaka kadhaa utakua wap na umebadilika kiac gani na kuboresha biashara yako na kuwa na tofauti hta mteja wako akija anajua kabsa hpa na pata huduma tofauti na bora kabsa
 
Mleta mada inaoneokana hujui maana ya kukimbiza fursa!

Gradueti hawezi kuacha kuwekeza kwenye kitu chenye transaction na kuwekeza ktk mambo ambayo hayawezi hata kumpa kula kisa tu amesoma.
 
Jambo la kwanza Mkuu.

Jaribu kupitia na kufanya Upembuzi yakinifu kuhusu Mfumo wetu wa Elimu,Majawabu ya Maswali yako kwa kiasi utayapata. (Ubunifu,Uthubutu nk).
 
Mkuu,

Suluhisho nimeweka, Tuwaze kufanya vitu kwa utofauti, yani kama ni biashara ya chips basi fanya kama KFC ambayo unafanya tena kwa utofauti, sio unafungua banda la chips kama la mluguru wa pale buguruni
Hakuna asiyependa kununua kitu kipya kutoka dukani tatizo pesa.

Hivyohivyo hakuna asiyependa kuwa na kitu kama KFC, McDonald's nk tatizo mtaji boss.
 
Fact, Logic, Point.

Nikweli kabisa mtoa mada angalia Focus sio unachokiona kwasasa uyo KFC nani wote hawakuanza huko.
 
Bill Gates, Richard yule mmiliki wa Virgin companies hawakufika hata hiyo degree ya kwanza. Usiwaweke kwenye hilo fungo lako tafadhari. Deal na hao unaotaka kuwafunda.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…