Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
nimalize shule mara ngapi?Maliza chuo kwanza halafu ndio uje uongee na wanamume.
Au kama unaishi nyumbani, nakushauri usihame ukuekue kwanza kiakili.
Sikutishi.
mkuu nchi zipi hizo..
Vizuri.nimalize shule mara ngapi?
Mtasikia kwa Millard ayoVizuri.
Basi tuambie, BE yeye ana NALA wewe ushaanzisha nini ?
Grandiose DelusionsMtasikia kwa Millard ayo
Wewe umewekeza kwenye idea gani?tuanzie hapoWasomi Vijana, mliosoma elimu kubwa za madigrii na Masta tumekosa ubunifu hakika.
Yashangaza sana, Kijana umesoma IT, Umesoma Engeneering, Uhasibu eti unakuja Mtaani unawaza Kufunga Banda la Chips, sijui Kulima matikiti mara duka la vipodozi ni aibu kubwa.
Haiwezekani, Msomi elie elimika unashindwa kuja na mawazo mbadala ya kusaidia Jamii, kuja na mawazo mapya, kuja na Idea za kisomi, mwishoe umepata ajira unachukua mkopo alafu unawaza kufungua duka la Nguo???
Kibaya sio kufanya biashara hizo hapo nilizosema, kinachosikitisha ni kwamba unazifanya biashara hizo kama mtu ambae hajasoma, hakuna kipya wala ubunifu yani ni vuluvulu tu.
Mimi nashangaa sana, Msomi mzima unawekeza milioni 20 kwenye duka la nguo kama la Mangi ambae kaishia la saba na unaifanya biashara hiyo kama yeye?
Nimeikubali Idea ya Benjamin Fernandez, yule jamaa aliyemaliza Stanford university, kaja na Idea ambayo zilikuwepo lakini kaboresha kidogo na sasa ni mwendo wa kupiga pesa tu.
Embu tuacheni Idea za Ajabu, sijui kulima tikiti, sijui juisi ya Muwa, tuje na Idea solid ambayo asilimia kubwa inakuwa ni service business na sio manufacturing ambazo asilimia kubwa ni hasara tu.
Nakaribisha majadiliano,
Mimi nimekuelewa vizuri sana mkuu.Wasomi Vijana, mliosoma elimu kubwa za madigrii na Masta tumekosa ubunifu hakika.
Yashangaza sana, Kijana umesoma IT, Umesoma Engeneering, Uhasibu eti unakuja Mtaani unawaza Kufunga Banda la Chips, sijui Kulima matikiti mara duka la vipodozi ni aibu kubwa.
Haiwezekani, Msomi elie elimika unashindwa kuja na mawazo mbadala ya kusaidia Jamii, kuja na mawazo mapya, kuja na Idea za kisomi, mwishoe umepata ajira unachukua mkopo alafu unawaza kufungua duka la Nguo???
Kibaya sio kufanya biashara hizo hapo nilizosema, kinachosikitisha ni kwamba unazifanya biashara hizo kama mtu ambae hajasoma, hakuna kipya wala ubunifu yani ni vuluvulu tu.
Mimi nashangaa sana, Msomi mzima unawekeza milioni 20 kwenye duka la nguo kama la Mangi ambae kaishia la saba na unaifanya biashara hiyo kama yeye?
Nimeikubali Idea ya Benjamin Fernandez, yule jamaa aliyemaliza Stanford university, kaja na Idea ambayo zilikuwepo lakini kaboresha kidogo na sasa ni mwendo wa kupiga pesa tu.
Embu tuacheni Idea za Ajabu, sijui kulima tikiti, sijui juisi ya Muwa, tuje na Idea solid ambayo asilimia kubwa inakuwa ni service business na sio manufacturing ambazo asilimia kubwa ni hasara tu.
Nakaribisha majadiliano,
Hakuna asiyependa kununua kitu kipya kutoka dukani tatizo pesa.Mkuu,
Suluhisho nimeweka, Tuwaze kufanya vitu kwa utofauti, yani kama ni biashara ya chips basi fanya kama KFC ambayo unafanya tena kwa utofauti, sio unafungua banda la chips kama la mluguru wa pale buguruni
Fact, Logic, Point.Mimi sioni tatizo akiamua kufanya hata hizo, ila baada ya miaka 5 asiwe kama muuza chips au mlima tikiti wa kawaida.
Sio kila msomi atakua na resource za kumuwezesha kuanzia juu...
msomi na asiyesoma wakiwa wanafanya kitu kimoja nategemea vision na realization zao zitakua tofauti
Bill Gates, Richard yule mmiliki wa Virgin companies hawakufika hata hiyo degree ya kwanza. Usiwaweke kwenye hilo fungo lako tafadhari. Deal na hao unaotaka kuwafunda.Aisee,
Watu wana ela ila hawajui pakuziweka,
kwa mtu ambae ni mjasiriamali na anapenda kufanya hivyo,
akiwa na idea iliyosimama ela zipo mkuu,
watu wanaandika pepa, wanashindanisha idea, wanazipeleka kwa masponser na ena zinamwagaa.
hao akina Zurckeberg na bill Gates hawakuwa na ela, bali walifanya watu wakaona na wakaeka ela