Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Yaani pamoja na wengine kuipambania CCM humu kwa kiwango hata cha kujidhalilisha, huku mkijitutumua kwa kuweka hata namba zenu za simu ili mkumbukwe, lakini mwisho wa siku mnaishiwa kupewa vocha tu!
Kitendo cha Mamlaka kuteua waliokufa na kuwapuuza nyie mlio hai, Si tu kwamba kimewadhalilisha, bali pia ni uthibitisho kwamba hakuna yeyote katika hao mnawatukuza anayewajua, yaani nyinyi mnajipendekeza tu na mtaendelea kutumikishwa kwa ujira wa fulana na kofia.
Lakini tulishawaonya humu kitambo sana kwamba CCM ina wenyewe, nyie mtatumikishwa lakini vyeo wanapewa jamaa zao, nadhani sasa mmeanza kuelewa, kuna taarifa zimetufikia kwamba mnalia kudharauliwa, sasa mnamlilia nani nyie?
Wala hata siwahurumii Wajinga wakubwa nyie na mabwege kabisa, tumewafundisha sana lakini yanaingilia huku yanatokea kule.