Chinese blade
JF-Expert Member
- May 15, 2023
- 337
- 366
Mambo ni mengi ya kufanya, nadhani unafahamu ila acha nikukumbushe tu, kuna watu wanavibeba vyama vya upinzani na hawajulikani na viongozi wa vyama husika ila wanapambana kuhakikisha upinzani inataka nyoyo na akili za watanzania, ko hali iko hivyo pia kwa wanaccm wapo baadhi yao ni kupiga kampeni bila kutarajia teuzi au ulaji, ingelikuwa ni mpira au michezo basi watu wa namna hiyo tungewaita (die hard fans).