Ni aibu na fedheha kubwa kwa Wana-CCM wa JF kutelekezwa huku Marehemu akiteuliwa!

Sasa mbona wajikanganya , unawakandia watendaji, watendewa au watanzania kwa ujumla?
Halafu huna jibu la kutueleza kuwa nini kifanyike!
Hoja hii maana yake SHETANI HANA RAFIKI, katika vitabu vyote vya dini Mungu ametuelekeza cha kufanya
 
Lucas Mwashambwa inakuwaje marehemu anafufuliwa akachukue uteuzi wakati wewe ambaye hulali ukisifia serikali upo? Nyota ya marehemu ni kali kuliko yako?

Tafsiri yake ni kwamba wewe hautateuliwa kamwe mpk wanaccm wote wafe na maiti zao ziteuliwe.
 
U
Hatupo CCM kwa ajili ya kupigania vyeo na madaraka.tupo na nipo CCM kwa sababu nina imani kubwa na CCM,kwa kuwa ni CCM pekee yenye uwezo wa kuliongoza Taifa letu na kulipatia maendeleo. Ninyi CHADEMA kwa akili zenu fupi za kuwaza vyeo ndio maana uchaguzi tu ndani ya chama Chenu unawapasua na kuwasambaratisha,kutokana na uroho na uchu wenu wa madaraka.ndio maana mnapigana hadi ngumu na kurushiana matusi kwa sababu tu ya kung'ang'ania vyeo na madaraka.

Ndani ya CCM hatugawani vyeo bali tunagawana majukumu.ndani ya CCM cheo ni utumishi kwa watu na siyo sehemu ya kujineemesha na kuvimbisha tumbo kwa pesa chafu za ufisadi na rushwa.ndio maana unaona mimi kwa uzalendo wangu na upendo wangu kwa CCM , serikali na Taifa langu naendelea kuchapa kazi na kuisemea serikali yangu,chama changu na kulitetea Taifa langu bila kulipwa wala kununuliwa vocha na mtu yeyote yule.

Sijiulizi CCM itanifayia nini ,bali najiuliza nitaifanyia nini CCM,.sijiulizi Rais wangu Mama Samia Jemedari hodari atanifanyia nini ,bali najiuliza kwa kushirikiana naye na serikali yake tutafanya nini kama Taifa kuhakikisha Taifa letu linasonga mbele kimaendeleo na kugusa maisha ya kila mtanzania. Naangalia kesho iliyo bora kwa watanzania wote na siyo leo yangu bora .Naangalia ustawi wa Taifa letu na watanzania wote na siyo ustawi wangu Mwenyewe. Usipende kuwa na moyo wa ubinafsi kwa kutaka upate wewe tu kila kitu.

Hicho ndicho kinachowaangamiza CHADEMA na kuwasambaratisha kabisa kwa kuwa waroho wa vyeo na madaraka na kuona ni ninyi tu ndio wateule na wenye kustahili kila fursa nzuri muipate ninyi tu.
Utakuwa mgonjwa wa magonjwa ya akili wewe.
Yaani kiongozi wa chama kamteua na kumtangaza marehemu kwa kumpa majukumu ilihali kuna watu wako hai halafu eti unasema una imani na huo uongozi?

Labda kama unasema hapa tu ili kulinda km nafasi itapatikana upewe ilihali moyoni ukivuja damu.
Ila kama ukisemacho ni kweli hata mamlaka ya uteuzi imejiridhisha kuwa huwafai hata kukupa majukumu kwa ishara.
 
Hoja hii maana yake SHETANI HANA RAFIKI, katika vitabu vyote vya dini Mungu ametuelekeza cha kufanya
Wewe siyo kasisi bwana , kosa limefanyika, aliyefanya kosa hilo mmulike achukuliwe hatua.
Kuanza mahubiri kwa issue iliyowazi haileti mantiki.
 
Lucas Mwashambwa inakuwaje marehemu anafufuliwa akachukue uteuzi wakati wewe ambaye hulali ukisifia serikali upo? Nyota ya marehemu ni kali kuliko yako?

Tafsiri yake ni kwamba wewe hautateuliwa kamwe mpk wanaccm wote wafe na maiti zao ziteuliwe.
Lucas ana nyota ya mbwakoko
 
nasemaga hapa ccm wanajitahidi sana kutuonyesha hawastahili kuongoza nchi wala kuwa na madaraka yoyote ila sisi wananchi bado tutadanganywa watarudi na watatuburuza tena...
 
Yaani pamoja na wengine kuipambania CCM humu kwa kiwango hata cha kujidhalilisha, huku mkijitutumua kwa kuweka hata namba zenu za simu ili mkumbukwe, lakini mwisho wa siku mnaishiwa kupewa vocha tu!

Kitendo cha Mamlaka kuteua waliokufa na kuwapuuza nyie mlio hai, Si tu kwamba kimewadhalilisha, bali pia ni uthibitisho kwamba hakuna yeyote katika hao mnawatukuza anayewajua, yaani nyinyi mnajipendekeza tu na mtaendelea kutumikishwa kwa ujira wa fulana na kofia.

Lakini tulishawaonya humu kitambo sana kwamba CCM ina wenyewe, nyie mtatumikishwa lakini vyeo wanapewa jamaa zao, nadhani sasa mmeanza kuelewa, kuna taarifa zimetufikia kwamba mnalia kudharauliwa, sasa mnamlilia nani nyie?

Wala hata siwahurumii Wajinga wakubwa nyie na mabwege kabisa, tumewafundisha sana lakini yanaingilia huku yanatokea kule.

View attachment 3010859
Kweli !
 
Sasa hivi akina Lucas Mwashambwa wanaanza kugutuka, wameacha kuweka namba zao kwenye nyuzi 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣
 
Aisee hapo ndio ujiulize kuna marehemu wangapi ngazi za chini wanapokea mishahara up to now
 
Hatupo CCM kwa ajili ya kupigania vyeo na madaraka.tupo na nipo CCM kwa sababu nina imani kubwa na CCM,kwa kuwa ni CCM pekee yenye uwezo wa kuliongoza Taifa letu na kulipatia maendeleo. Ninyi CHADEMA kwa akili zenu fupi za kuwaza vyeo ndio maana uchaguzi tu ndani ya chama Chenu unawapasua na kuwasambaratisha,kutokana na uroho na uchu wenu wa madaraka.ndio maana mnapigana hadi ngumu na kurushiana matusi kwa sababu tu ya kung'ang'ania vyeo na madaraka.

Ndani ya CCM hatugawani vyeo bali tunagawana majukumu.ndani ya CCM cheo ni utumishi kwa watu na siyo sehemu ya kujineemesha na kuvimbisha tumbo kwa pesa chafu za ufisadi na rushwa.ndio maana unaona mimi kwa uzalendo wangu na upendo wangu kwa CCM , serikali na Taifa langu naendelea kuchapa kazi na kuisemea serikali yangu,chama changu na kulitetea Taifa langu bila kulipwa wala kununuliwa vocha na mtu yeyote yule.

Sijiulizi CCM itanifayia nini ,bali najiuliza nitaifanyia nini CCM,.sijiulizi Rais wangu Mama Samia Jemedari hodari atanifanyia nini ,bali najiuliza kwa kushirikiana naye na serikali yake tutafanya nini kama Taifa kuhakikisha Taifa letu linasonga mbele kimaendeleo na kugusa maisha ya kila mtanzania. Naangalia kesho iliyo bora kwa watanzania wote na siyo leo yangu bora .Naangalia ustawi wa Taifa letu na watanzania wote na siyo ustawi wangu Mwenyewe. Usipende kuwa na moyo wa ubinafsi kwa kutaka upate wewe tu kila kitu.

Hicho ndicho kinachowaangamiza CHADEMA na kuwasambaratisha kabisa kwa kuwa waroho wa vyeo na madaraka na kuona ni ninyi tu ndio wateule na wenye kustahili kila fursa nzuri muipate ninyi tu.
Uchawa na ujinga unakusumbua
 
Back
Top Bottom