Chinese blade
JF-Expert Member
- May 15, 2023
- 337
- 366
Maza amekosa watu wa kuteua mpk anateua marehemu, jitu jinga kama Lucas Mwashambwa unaliteua likafanye kazi gani?Yaani pamoja na wengine kuipambania CCM humu kwa kiwango hata cha kujidhalilisha, huku mkijitutumua kwa kuweka hata namba zenu za simu ili mkumbukwe, lakini mwisho wa siku mnaishiwa kupewa vocha tu!
Kitendo cha Mamlaka kuteua waliokufa na kuwapuuza nyie mlio hai, Si tu kwamba kimewadhalilisha, bali pia ni uthibitisho kwamba hakuna yeyote katika hao mnawatukuza anayewajua, yaani nyinyi mnajipendekeza tu na mtaendelea kutumikishwa kwa ujira wa fulana na kofia.
Lakini tulishawaonya humu kitambo sana kwamba CCM ina wenyewe, nyie mtatumikishwa lakini vyeo wanapewa jamaa zao, nadhani sasa mmeanza kuelewa, kuna taarifa zimetufikia kwamba mnalia kudharauliwa, sasa mnamlilia nani nyie?
Wala hata siwahurumii Wajinga wakubwa nyie na mabwege kabisa, tumewafundisha sana lakini yanaingilia huku yanatokea kule.
View attachment 3010859
Acha kujifariji ndugu..Hatupo CCM kwa ajili ya kupigania vyeo na madaraka.tupo na nipo CCM kwa sababu nina imani kubwa na CCM,kwa kuwa ni CCM pekee yenye uwezo wa kuliongoza Taifa letu na kulipatia maendeleo. Ninyi CHADEMA kwa akili zenu fupi za kuwaza vyeo ndio maana uchaguzi tu ndani ya chama Chenu unawapasua na kuwasambaratisha,kutokana na uroho na uchu wenu wa madaraka.ndio maana mnapigana hadi ngumu na kurushiana matusi kwa sababu tu ya kung'ang'ania vyeo na madaraka.
Ndana ya CCM hatugawani vyeo bali tunagawana majukumu.bdai ya CCM cheo ni utumishi kwa watu na siyo sehemu ya kujineemesha na kuvimbisha tumbo kwa pesa chafu za ufisadi na rushwa.ndio maana unaona mimi kwa uzalt wangu na upendo wangu kwa CCM , serikali na Taifa langu naendelea kuchapa kazi na kuisemea serikali yangu,chama changu na kulitetea Taifa langu bila kulipwa wala kununuliwa vocha na mtu yeyote yule.
PS sahivi anachaga mihutasari ya Katibu wa UWT
Maza hana watu afanyaje sasa ambebakiwa na majitu majinga tupu kwenye chama?Najua wengi mnacheka, lakini hili jambo si la kufurahisha hata kidogo
Wakiongozwa na Luka mshamba na mwingine anaitwa sijui Tantalila. Wanazidiwa na wafu, wafu wana thamani mbele ya chama cha mambuzi kuliko machawa.Yaani pamoja na wengine kuipambania CCM humu kwa kiwango hata cha kujidhalilisha, huku mkijitutumua kwa kuweka hata namba zenu za simu ili mkumbukwe, lakini mwisho wa siku mnaishiwa kupewa vocha tu!
Kitendo cha Mamlaka kuteua waliokufa na kuwapuuza nyie mlio hai, Si tu kwamba kimewadhalilisha, bali pia ni uthibitisho kwamba hakuna yeyote katika hao mnawatukuza anayewajua, yaani nyinyi mnajipendekeza tu na mtaendelea kutumikishwa kwa ujira wa fulana na kofia.
Lakini tulishawaonya humu kitambo sana kwamba CCM ina wenyewe, nyie mtatumikishwa lakini vyeo wanapewa jamaa zao, nadhani sasa mmeanza kuelewa, kuna taarifa zimetufikia kwamba mnalia kudharauliwa, sasa mnamlilia nani nyie?
Wala hata siwahurumii Wajinga wakubwa nyie na mabwege kabisa, tumewafundisha sana lakini yanaingilia huku yanatokea kule.
View attachment 3010859
HahahahahaaaaaYaani pamoja na wengine kuipambania CCM humu kwa kiwango hata cha kujidhalilisha, huku mkijitutumua kwa kuweka hata namba zenu za simu ili mkumbukwe, lakini mwisho wa siku mnaishiwa kupewa vocha tu!
Kitendo cha Mamlaka kuteua waliokufa na kuwapuuza nyie mlio hai, Si tu kwamba kimewadhalilisha, bali pia ni uthibitisho kwamba hakuna yeyote katika hao mnawatukuza anayewajua, yaani nyinyi mnajipendekeza tu na mtaendelea kutumikishwa kwa ujira wa fulana na kofia.
Lakini tulishawaonya humu kitambo sana kwamba CCM ina wenyewe, nyie mtatumikishwa lakini vyeo wanapewa jamaa zao, nadhani sasa mmeanza kuelewa, kuna taarifa zimetufikia kwamba mnalia kudharauliwa, sasa mnamlilia nani nyie?
Wala hata siwahurumii Wajinga wakubwa nyie na mabwege kabisa, tumewafundisha sana lakini yanaingilia huku yanatokea kule.
View attachment 3010859
Lucas huwa anaweka no za cm za nini hapa kama siyo kusaka fursa? CCM kitu cha kwanza kwao ni maslahi, kuwa upinzani nchi hii ni uhaini aseeMambo ni mengi ya kufanya, nadhani unafahamu ila acha nikukumbushe tu, kuna watu wanavibeba vyama vya upinzani na hawajulikani na viongozi wa vyama husika ila wanapambana kuhakikisha upinzani inataka nyoyo na akili za watanzania, ko hali iko hivyo pia kwa wanaccm wapo baadhi yao ni kupiga kampeni bila kutarajia teuzi au ulaji, ingelikuwa ni mpira au michezo basi watu wa namna hiyo tungewaita (die hard fans).
Haya majinga utayateua yakafanye kazi gani?Wakiongozwa na Luka mshamba na mwingine anaitwa sijui Tantalila. Wanazidiwa na wafu, wafu wana thamani mbele ya chama cha mambuzi kuliko machawa.
Huyo mmoja anachoweza ni kububujikwa na machoziHaya majinga utayateua yakafanye kazi gani?
Die hard fans ambao ni invincible huwezi kuwakuta CCM.Mambo ni mengi ya kufanya, nadhani unafahamu ila acha nikukumbushe tu, kuna watu wanavibeba vyama vya upinzani na hawajulikani na viongozi wa vyama husika ila wanapambana kuhakikisha upinzani inataka nyoyo na akili za watanzania, ko hali iko hivyo pia kwa wanaccm wapo baadhi yao ni kupiga kampeni bila kutarajia teuzi au ulaji, ingelikuwa ni mpira au michezo basi watu wa namna hiyo tungewaita (die hard fans).
Mbaya zaidi mmoja ni PS na mwingine ni RMAHuyo mmoja anachoweza ni kububujikwa na machozi
Long time no see...😳Imfikie Luca mshamba...
Hilo ni tatizo kuiongelea nafsi ya mtu kana kwamba mpo pamoja kwenye makusudio!!!Die hard fans ambao ni invincible huwezi kuwakuta CCM bro. Hawa wako huku upinzani hususani CHADEMA chama adui wa CCM na watawala kinachoongoza harakati za ukombozi wa pili wa nchi yetu ya Tanganyika toka kwa mkoloni mweusi CCM.
Huko CCM uchawa ambao uko characterized na unafiki, kujipendedeza, uongo, uzushi na kupaka mafuta ya sifa viongozi wenu kwa mgongo wa chupa ndio mpango mzima na ni lazima uufanye waziwazi kama sharti la kulamba uteuzi. Huwezi kufanya uchawa ukiwa umejificha, acha kutudanganya hapa.!!
Unataka kuhakiki hili? Watazame na waulize hawa, wewe Chinese blade, chiembe, Lucas Mwashambwa,namna wanavyofanya uchawa wao ktk namna ya kujidhalilisha kwenye social media na mwisho kuacha namba zao za Simu wakitaraji kuambulia chochote kwa ujinga wao kuwa considered na mabwana zenu.!
Cha kusikitisha na kushangaza kumbe hawa jamaa tunawajua humu tu. Huko kwenye chama chao wanajulikana kama "machawa wajinga" wasiostahili kuaminiwa.!
Ooh🤔🤔, pole zao
Kama hili limetokea, jiulize yaliyo gizani ni mangapi. Hii nchi kama vile iko kwenye autopilot mode.Najua wengi mnacheka, lakini hili jambo si la kufurahisha hata kidogo
Tuko pamoja, umekuja mwenyewe humu, ukaanika kilicho moyoni mwako wazi na umejibiwa. Kwa hiyo usijifarague hapa, mko pamoja na waliokujibu!Hilo ni tatizo kuiongelea nafsi ya mtu kana kwamba mpo pamoja kwenye makusudio!!!