Ni aibu na fedheha kubwa kwa Wana-CCM wa JF kutelekezwa huku Marehemu akiteuliwa!

CCM OYEEEEE 😂
 
Erythrocyte, Sugu anagawa Madera umeshachukuwa lako?
 
MAZA kaona bora marehemu kuliko hao mchwa walio hai hawanamsaada,sasahivi ni mwendo wa ccm kuongozwa toka kuzimuni,hao kina mshamba na tlatlaah waendelee na uanaharakati,ni zamu ya marehemu nao kufaidi keki ya taifa
 
Ha ha ha ha! Kwa hiyo CHADEMA inawahusu nini hii!?! Nadhani umepotoka. Mimi nina mawazo tofauti. Madaraka lazima uonyeshe unayapenda tena hadharani ili usije kuteuliwa kumbe wewe ni marehemu.
 
Umamaliza kila kitu
 
Hawa CCM waliopo humu wanaojua kuanzisha nyuzi kila dakika hawana sifa za kuteuliwa katika nafasi za uongozi na wala wazazi wao hawajulikani popote.

Wao waendelea kupoteza muda na bando zao kusifia chama chao.
 
Nani yuko ndani ya ccm kwa kuwatumikia wananchi?mbona wakati wa mwamba JPm wote mlifyata mikoa na mkaa za kumchafua kama ni kweli mko kwa ajili ya wananchi?mbona hamkumwunga mkono badala yake mlimtenga?ccm ni kichaka cha wezi kama vilivyo vichaka vingine.
 
Hiyo siyo haki hata kidogo,mtu kama mwanetu kabisa Lucas mwashambwa hadi ameota kibiongo kupinda mgongo kuipigia debe CCM humu tena na namba za simu anaweka kabisa lakini eti hawamuoni lakini macho yao yanamuona marehemu
 
Hakunaga anayetelekezwa mfano Mshana Jr na Daudi Mchambuzi walishalamba Teuzi kitambo tu
 
Sasa mbona wajikanganya , unawakandia watendaji, watendewa au watanzania kwa ujumla?
Halafu huna jibu la kutueleza kuwa nini kifanyike!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…