Ni aibu na fedheha kubwa kwa Wana-CCM wa JF kutelekezwa huku Marehemu akiteuliwa!

Sasa mbona wajikanganya , unawakandia watendaji, watendewa au watanzania kwa ujumla?
Halafu huna jibu la kutueleza kuwa nini kifanyike!
Hoja hii maana yake SHETANI HANA RAFIKI, katika vitabu vyote vya dini Mungu ametuelekeza cha kufanya
 
Lucas Mwashambwa inakuwaje marehemu anafufuliwa akachukue uteuzi wakati wewe ambaye hulali ukisifia serikali upo? Nyota ya marehemu ni kali kuliko yako?

Tafsiri yake ni kwamba wewe hautateuliwa kamwe mpk wanaccm wote wafe na maiti zao ziteuliwe.
 
U
Utakuwa mgonjwa wa magonjwa ya akili wewe.
Yaani kiongozi wa chama kamteua na kumtangaza marehemu kwa kumpa majukumu ilihali kuna watu wako hai halafu eti unasema una imani na huo uongozi?

Labda kama unasema hapa tu ili kulinda km nafasi itapatikana upewe ilihali moyoni ukivuja damu.
Ila kama ukisemacho ni kweli hata mamlaka ya uteuzi imejiridhisha kuwa huwafai hata kukupa majukumu kwa ishara.
 
Hoja hii maana yake SHETANI HANA RAFIKI, katika vitabu vyote vya dini Mungu ametuelekeza cha kufanya
Wewe siyo kasisi bwana , kosa limefanyika, aliyefanya kosa hilo mmulike achukuliwe hatua.
Kuanza mahubiri kwa issue iliyowazi haileti mantiki.
 
Lucas Mwashambwa inakuwaje marehemu anafufuliwa akachukue uteuzi wakati wewe ambaye hulali ukisifia serikali upo? Nyota ya marehemu ni kali kuliko yako?

Tafsiri yake ni kwamba wewe hautateuliwa kamwe mpk wanaccm wote wafe na maiti zao ziteuliwe.
Lucas ana nyota ya mbwakoko
 
nasemaga hapa ccm wanajitahidi sana kutuonyesha hawastahili kuongoza nchi wala kuwa na madaraka yoyote ila sisi wananchi bado tutadanganywa watarudi na watatuburuza tena...
 
Kweli !
 
Sasa hivi akina Lucas Mwashambwa wanaanza kugutuka, wameacha kuweka namba zao kwenye nyuzi 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣
 
Aisee hapo ndio ujiulize kuna marehemu wangapi ngazi za chini wanapokea mishahara up to now
 
Uchawa na ujinga unakusumbua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…