Ni aibu na fedheha kubwa kwa Yanga kuanzia Preliminary round, makelele meeengi kumbe bado wachanga

Ni aibu na fedheha kubwa kwa Yanga kuanzia Preliminary round, makelele meeengi kumbe bado wachanga

Champion ligi Yanga kafika robo uliyokuwa unajifichia.
Sasa na wewe ufike final huko uliko mtani.
We si mkubwa.

Pambana Sasa uwanjani na sio social media
Sio tyuu kufika, na ubingwa tunachukuaa, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kwa mujibu wa kichaa wenu mnaemfuga hapo utopoloni manara...aliwadhalilisha sana...inamaana hata zile medali mlizopata ni za ki luza 😀😀😀😀
Ila wewe unasemaje kuhusu hilo kombe?🤣🤣 Pia nasikia likitakwa kufutwa
 
Simba kwa michuano yoyote ya vilabu ingeanzia raundi ya pili. Nafasi ya tano Afrika sio ya kitoto
Kuanza siyo hoja ila atamalizaje? Atavuka hatua atakayoanzia? Atacheka na kufurahi zaidi yule atakaemaliza hatua ya juu kabisa!!
 
Aaaah, tafadhali b… weka mambo sawasawa kwamba ni michuano ya Shirikisho Afrika (CAFCC), michuano ya CAF iko mingi.

Hakuna kujificha kwenye kichaka cha CAF. Lols
Michuano ya CAF ni ya CAF tu b... hizo zingine ni mbwembwe tu.

Ova
 
Michuano ya CAF ni ya CAF tu b... hizo zingine ni mbwembwe tu.

Ova
Nimecheka sana, unadhani nimesahau dhihaka zako juu yetu kwenye michuano mliyopo ya Shirikisho?
Ngoja siku nipate muda niitafute ile post, usiende kuifuta sasa. Naikumbuka neno kwa neno!
 
Nimecheka sana, unadhani nimesahau dhihaka zako juu yetu kwenye michuano mliyopo ya Shirikisho?
Ngoja siku nipate muda niitafute ile post, usiende kuifuta sasa. Naikumbuka neno kwa neno!
Lol! Labda niliandika nikiwa nimelewa b... ila katika fahamu zangu siwezi kuyasema vibaya mashindano yoyote ya CAF. Kwa kuwa yote ni makubwa.

Ova
 
Yanga kesho watapangiwa timu ya kuanza nayo preliminary round, wakati wanaume zao Simba watasubiri second round.

Kudadadeki
Ulitaka Yanga wajiwekee utarayibu wao na watakavyo wao? Au mimi ndiye sijakuelewa?
Kama Simba haipendi aibu si ingejioeleka kushiriki Club Bingwa? Si ingeweza hata kujipeleleka nusu fainali? Au utaratibu upoje?
 
Hata club bingwa kwa point zetu huwa hatuanzi preliminary stage
Hivi mlipocheza na Nyasa big bullet msimu wa 2022/2023 ile sio preliminary stage? Au mnajisaulisha
 
Hakuna timu kubwa inacheza shirikisho
Sanamu la Rage hawataki kulijenga ila ni muhimu sana ili kuweka mambo sawa. Mashabiki wa Simba asilimia kubwa ni zero brain, timu ni mbovu ila hawaoni, usajili mbovu ila hawaoni, timu iko ndondo cup ila hawaoni!

Hawa mbumbumbu kolowizard waliponda sana Yanga kucheza kombe la shirikisho CAF, leo hii tayari makolo wamesahau!!

Nina hakika makolo hawatoboi makundi shirikisho losers ndondo cup! Niko paleee!!
 
Back
Top Bottom