Ni aibu sana kwa mwanaume kushindwa kumiliki gari

Mtoa mada kapime CT scan ya ubongo huenda una uvimbe kwenye ubongo.
 
Sipati picha na hako ka Nadia ulichonunua mwezi uliopita
Yaani umekuwa limbukeni mpaka unanikera sasa
Nakumbuka zamani ulivyokuwa unavizia lifti kwenye Gari yangu
 
Aisee ni kweli lakini. Kuna kadhia nyingi sana hapa mjini dar ukiwa hauna usafiri wako binafsi. Si sahihi kusema kila mtu awe na gari yake la hasha, ila itapendeza kusema katika hali ya sasa kijamii uchumi, gari imekuwa sehemu ya mahitaji yetu ya kila siku ili kujibu mahitaji ya privacy, heshima na utu kwa maana ya status, lakini pia ni njia nzuri ya kumanage muda kwa wale wenzangu na mimi tunaoishi nje ya mji na tuwatu wa purukushani na dili za kushtukiza, na hii pia hukupa mvuto kwa jinsia ya kike maana wale viumbe especially sampuli zinazotuvutia huwa zinapenda kupata mtu mwenye gari ili wawe comfortable na wajihisi kulindwa na usalama nyakati za mvua na jua.

So nakuelewa katika hili ukisema ni aibu kwa mwanaume wa Dar kutokuwa na Gari.
 

Jamani TZ mtaendelea lini? Yaani kuwa na gari uanaume. Wewe lzima umeingiza mgari yako yankudodea pale yard. Uanaume ni kumtoa girl/mke/watoto out na kufanya starehe zote na familia kuangalia mahitaji muhimu. Nchi za wenzenu mtu anapata license akiwa na miaka 18. Na hata hajui atanunua lini gari, na wengine wanazeekaga na license zako kwenye wallet
 
usifananishe gari na nyumba, hakuna baba mwenye gari, mjini kuna baba mwenye nyumba!!
Labda kama unataka kujenga "pagala" na sio nyumba.

Tegemea kuitwa baba pagala.
 
Hivi kila mwanaume akimiliki gari Dar kwa barabara zetu hizi sijui utaliendea wapi acha mawazo ya kipuuzi
 
Hiyo milioni 5 unapata kiwanja (ardhi) kizuri tu! Priorities zimepishana mkuu!
Safi sana dear ..you are such decided and determined woman , who look for the future .
That means n that ,if you defend a certain things ,that mean there must be a good reason behind it. You are so beautiful .

Za Asubuh!!.
 
ume nunua gari jana nini.usi force watu maisha unayo taka.kila mtu na maisha yake
 
aliyenunua kiwanja na mwingine gari baada ya miaka mitano wakaamua kuuza nani atakuwa na faida?
pia angalia gharama za matengenezo kati ya vitu hivyo viwili
 
Ebu nitokee hapa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kweli banaa hujachoka kwan ???.iko kicheko mpaka meno yameonekana looo hh But do you bleach your teeth ??? Cause ulivyocheka your smile light up my entire room like a candle in the dark !!.
This time next year let's be laughing together !!.

Usicheke sanaa.[emoji15]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…