Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wana jf
Hivi inakuaje mwanaume mzima na akili timamu unashindwa kumiliki hata ka paaso , IST au vitz kila siku unakimbizana na makonda kwenye dala dala? . Siku hizi yard za kuuza magari ziko kila kona hat ukitaka gari kwa mkopo unapata unashindwaje kununua hata gari ya milioni 5 tu?. Wanaume tubadilike kupanda dala dala ni aibu
Labda kama unataka kujenga "pagala" na sio nyumba.usifananishe gari na nyumba, hakuna baba mwenye gari, mjini kuna baba mwenye nyumba!!
Tayari ushakoment mkuuKwa kumheshimu mtoa mada bora nisi comment chochote
Huu msemo huwa sikubaliani nao kabisaaaAliyekupa wewe ndiye aliyeninyima mimi, sio vizuri kukufuru mkuu, hakuna anayetaka shida.
Safi sana dear ..you are such decided and determined woman , who look for the future .Hiyo milioni 5 unapata kiwanja (ardhi) kizuri tu! Priorities zimepishana mkuu!
hata nyumba ya tope?Hajawahi tokea baba mwenye gari, kuna baba mwenye nyumba tu!
fly over zinajengwa barabara ziko za kutoshaKila mwanaume anunue gari lake. Barabara zenyewe zipo wapi?
ume nunua gari jana nini.usi force watu maisha unayo taka.kila mtu na maisha yakeWana jf
Hivi inakuaje mwanaume mzima na akili timamu unashindwa kumiliki hata ka paaso , IST au vitz kila siku unakimbizana na makonda kwenye dala dala? . Siku hizi yard za kuuza magari ziko kila kona hat ukitaka gari kwa mkopo unapata unashindwaje kununua hata gari ya milioni 5 tu?. Wanaume tubadilike kupanda dala dala ni aibu
Za asubuhi nzuriii mkuu!Safi sana dear ..you are such decided and determined woman , who look for the future .
That means n that ,if you defend a certain things ,that mean there must be a good reason behind it. You are so beautiful .
Za Asubuh!!.
Ooohhhh sawa think your legs must be tired coz the whole night you were running in my mind .Za asubuhi nzuriii mkuu!
Ebu nitokee hapa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ooohhhh sawa think your legs must be tired coz the whole night you were running in my mind .
Ila nipoa km ziko nzuri .
Kweli banaa hujachoka kwan ???.iko kicheko mpaka meno yameonekana looo hh But do you bleach your teeth ??? Cause ulivyocheka your smile light up my entire room like a candle in the dark !!.Ebu nitokee hapa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]