Ni aibu sana kwa mwanaume kushindwa kumiliki gari

mkisha pata vi hela mnaanza dharau, kwamba gari imekuwa matako sasa kila mwanaume awe nayo.

mil5 unaitaja kama umekatika kichwa hata pato la mtz hujui kwa wastani n sh. ngap. watu tunapigana ila mambo si mambo bado sio kwamba ni wajinga
Nina miaka 28. Kwa mara ya kwanza juzi mwezi wa kumi ndio nimeweza kukamata Milion 5 za jasho langu mwenyewe.

For the very first time, akaunti yangu ilisoma 5m na miaka yote hii niliyonayo.

Hili life hili.....
 
Yani wewe utakua umezaliwa kwenye familia ya kimasikini sana ndomana kila kitu unaona kama muujiza, nina uhakika wewe hata hiyo gari yenyewe huna usikute umekuja mjini unaishi kwa shemeji yako unalala sbrn wamwisho kulala wakwanza kuamka!
 
Nimenunua tractor langu napiga kazi nina punda wangu wachuma foleni zenu huko Dar hazinihusu.
 
Wanaume wa dar utawajua tu. True car kwa ajili ya mwanaume ni kuanzia mil 20. Hizo vitz,passo unavamia gari za kina dada. So usijione saaana uko class ya juu kwa kumiliki passo.
Maneno ya mkosaji hayo, gari gari tuu,
 
Kabisa mkuu, na likitambi la haja afu unamuona anazungusha funguo kidoleni.

Ukimfatilia uone "ndinga" unamuona anajipachika kwenye "ka-babywalker" kake huyooo
Wee kimbaumbau mbona hata baiskeli huna!
 
Milion 5 unaiona ndogo sana??...na bado unapata muda wa kuandika ujinga apa jf??....
 
Wanaume Wa Dar ,, wamepanga alafu anamiliki gar .
Anaishi kwao alafu anamiliki gar.


Maisha nimipango mkuu mwingine kapnga awe mijengo mitatu ,, awe na vyanzo vya pesa vyakutosha alafu ndo anafikiria ndinga.
Nyie ndio mna akili za mwaka 47

1. Kwamba mtu hawezi kuwa na gari akiwa kwenye nyumba ya kupanga.

2.Kwamba ni lazima mtu ajenge kwanza ndio anunue gari.

Kila mtu ana PRIORITY zake kwenye maisha, and dont forget..... MAISHA HAYANA FORMULA
 
Huyu mtoa post ni jinga sana. Gari Ndio kitu gani. Bahati mbaya hata tukikwambia uoneshe documents za gari lako utatudanganya tu.
 
Uyu demu tangu aanze kugawa kwa madreva taks basi anaona kila mwanaume ni gari
 
Sipati picha na hako ka Nadia ulichonunua mwezi uliopita
Yaani umekuwa limbukeni mpaka unanikera sasa
Nakumbuka zamani ulivyokuwa unavizia lifti kwenye Gari yangu
Ushamba bado ni mzigo kwa wengi hata kama wanaishi mjini.
 
Nina miaka 28. Kwa mara ya kwanza juzi mwezi wa kumi ndio nimeweza kukamata Milion 5 za jasho langu mwenyewe.

For the very first time, akaunti yangu ilisoma 5m na miaka yote hii niliyonayo.

Hili life hili.....
shukuru kwa ilo mkuu watu wana 30's ila m. moko wanaisikia tu leo jamaa analeta majivuno ya kitoto
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…