Nina miaka 28. Kwa mara ya kwanza juzi mwezi wa kumi ndio nimeweza kukamata Milion 5 za jasho langu mwenyewe.mkisha pata vi hela mnaanza dharau, kwamba gari imekuwa matako sasa kila mwanaume awe nayo.
mil5 unaitaja kama umekatika kichwa hata pato la mtz hujui kwa wastani n sh. ngap. watu tunapigana ila mambo si mambo bado sio kwamba ni wajinga
For the very first time, akaunti yangu ilisoma 5m na miaka yote hii niliyonayo.
Hili life hili.....