Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 61,459
- 100,799
- Thread starter
-
- #41
Nafikiri hill nalo ni jemaMentality ya wengi wakiwepo wataalam na viongozi ni kuunda taasisi za udhibiti.
Hili ndilo tatizo kuu.
Udhibiti unatakiwa uimarishwe baada ya kuwa na makampuni ya wazawa yanayotumia tecknolojia na ubunifu wa aina mbalimbali.
Wasomi wengi wajengewe uwezo wa kujiajiri kwa miradi yao binafsi ili ubunifu wao uwe na tija kwa maendeleo ya nchi.
Ikawaje?Ilikuwepo MECCO wakati wa Julius
Pole sana ndugu yanguSisi tuna Safari ndefu kwa kweli,tutafika Hadi tutakapopata watu sahihi na wanaojielewa,wakati mwingine unashindwa hata uchangie kitu gani...
Asante sana kwa ku-cement hoja yangu! Kwahio tuna tatizo as nchi na sio ujuzi wala technologyKwani jengo la soko la Kariakoo, jengo la NIC, jengo la ATCL (kama bado lipo kwani sijafika pale Ohio muda mrefu) yalijengwa na kampuni ya kutoka wapi? Ninajua yalijengwa na MECCO ambayo ilikuwa ya kitanzania kabisa, nadhani hata hata hayati Injinia Mufuruki alianzaia kazi huko MECCO kabla ya kuhamia kwenye biashara binafsi.
Kwa hiyo tatizo lipo Ila hatutaki kulitatua!Mkuu nakubaliana na wewe kuwa inapaswa TANZANIA iwe na kampuni yake ya Ujenzi Ili cash flow ya miradi ya Ujenzi ibaki Tanzania ila nikuonye tu, china wameweza na wanaonekana na mafanikio ya hizo kampuni kwasababu ya adhabu ya kunyonga kwa watumishi wanaokosa uaminifu.
Kwa TANZANIA hii Miradi yote ikibaki kwa kampuni ya Ujenzi ya taifa, jiandae kupata Barabara mbovu , Majengo mabovu na madaraja mabovu!
Uzoefu unaoesha mashirika ya umma hayana ufanisi. ATCL, TANESCO, NSSSF, TRC, N
K
Ili wazo lako liwe na mashiko lazima tuanzishe sheria ya kunyonga pale inapotokea Mtu amehujumu miradi ya taifa. Tusitake kuwaiga wachina kwa kuwa na mashirika tu wakati hatutaki kuiga na adhabu zao kwa uharibifu utakaokuwa unafanywa na Wahandisi mafisadi.
All in all siungi mkono wazo lako Lina hasara kubwa kwa taifa kuliko faida!
Acha mwenye uwezo afanye kazi
Utatuzi wake uendane na kuvumilia consequences zake!Kwa hiyo tatizo lipo Ila hatutaki kulitatua!
Ikauwawa,Ni hivyo tu Basi.Ikawaje?
Nimecheka kwa majonzi!Ikauwawa,Ni hivyo tu Basi.
Je wanao tuongoza wanajua kuwa Kuna tatizo? Kwanza Ni lazima ujue na ulitambue tatizo ndio uweze kulitatua magu alipoingia watu walianza kujipanga wenyewe maofisini utendaji ulipanda Huduma za umma zikaanza kuonekana. Umeshaenda hivi karibuni kwenye ofisi za umma? Tumeshaanza kurudi tulikotoka,maana yangu sio kusifu mtu Ila Kama taifa tunapaswa kujenga mifumo ya usimamizi na sio watu binafsi.Utatuzi wake uendane na kuvumilia consequences zake!
Je mko tayari watu wafisadi wa miradi mikubwa wanyongwe Kama China ? Au mtaanza kulia Lia kuwa Samia kawa Dikteta ?
Hao wachina hawana mchezo! ... Ukimpa Barabara akujengee akifanya ufisadi Kwao China anapigwa miaka au risasi. Ndio maana unaona miradi wanayofanya wachina wako serious. Je Hawa watanzania wetu tunaowajua wataweza ? Labda Kama huwajui watanzania ndio utawapa hizo kazi.
Ndio maana nasema wafanye kazi na wapewe kazi kwa weredi wao na sio kubebwa bebwa kwa kujifananisha na China ambao hawana huruma unapopewa miradi ufanye.
Ndio maana nimekwambia kuwa bila watu kukubali consequences zake ni sawa na bure ... Hata hiyo mifumo itapata changamoto.Je wanao tuongoza wanajua kuwa Kuna tatizo? Kwanza Ni lazima ujue na ulitambue tatizo ndio uweze kulitatua magu alipoingia watu walianza kujipanga wenyewe maofisini utendaji ulipanda Huduma za umma zikaanza kuonekana. Umeshaenda hivi karibuni kwenye ofisi za umma? Tumeshaanza kurudi tulikotoka,maana yangu sio kusifu mtu Ila Kama taifa tunapaswa kujenga mifumo ya usimamizi na sio watu binafsi.
UbinafsiTanzania tuko na Engineers wa kila aina, aina zote za Engineers wanapatikana Tanzania. Ni kawaida sana sana kuwasifia Engineers as individuals wanaoibuka na Tuzo mbali mbali au wanakua recognized duniani.
Mfano, kuna Electrical Engineer mkubwa sana mtanzania mweusi kabisa ana miliki Kampuni kubwa sana ya Umeme hapo Dubai, tuna Software Enginer mwingine anatajwa kwenye media kubwa tu yuko Finland, tuna yule Mnyakyusa was kwenye Boeing huko USA, tuna Engineers wengi wengi hadi kwenye ujenzi kila mahali. Hawa ni mfano tu wa aina za Engineers tulionao. Bila kumsahau Mzee wetu wa kisasa ambaye ni Professor wa Telecommunications, Professor Mark
Kichekesho, Tanzania haina kampuni yake ya ujenzi, nazungumzia ujenzi kwa Leo maana kwenye ujenzi was nyumba na miundo mbinu Tanzania inajenga sana. .
Tunapoteza pesa nyingi sana kwenda nchi ambazo zinaenda kwenye nchi za wajenzi hao. Tanzania tuna kampuni kadhaa kubwa za ujenzi was miundo mbinu na kadhalika ambazo zinamilikiwa na serikali za nchi nyingine kwahio Leo ukisikia Tanzania imepigwa penalty ya mabilioni na mkandarasi ujue hio pesa inaenda kwenye serikali za wenzetu.
Madarasa yetu, vyuo vikuu vilivyojengwa Leo hii vingekuwa vimejengwa kwa kutumia Makampuni yetu tungekua tumeokoa fedha nyingi.
Sioni sababu ya kuwa na Wahandisi Washauri ambao ni Local na kuwa na Wahandisi ambao ni Wageni, kwangu Mimi Consultant Engineers ndio wangekua Wageni yaani watushauri when necessary! Sasa hivi wanajenga wao kisha sisi tuna washauri.
Pili, kuna baadhi ya makampuni hayo ya Wageni wanategemea perse Local Engineers meaning kwamba wala hawaji na hao "Competent, Experienced, recognized Engineers" then tunalipa hizo kampuni mabilioni.
Kwa wale Foreign Engineers wengi wao, SIO WOTE ila wengi wao huwa na ujuzi was kawaida sana.
Tunashindwaje kuanzusha Makampuni yetu? Usiniambie kuhusu mitambo maana kila mradi unakua na mitambo mipya .
Usiniambie kuhusu Capital, maana baadhi ya miradi tunakopa pesa, wananunua mitambo ndio wanaleta, sisi tunakwama wapi? Hatujui viwanda vinavyotengeneza hio mitambo tukaenda kuchukua na sisi?/
Waendesha mitambo wote ni Watanzania tena wazuri sana sana! Tunashindwa wapi?
Maabara zote ziko Tanzania, testing zote zinafanyiwa Tanzania, sasa tunakwama wapi??
Kwanini tunalipa billions kwa nchi nyingine kwa mambo ambayo tungeweza kufanya wenyewe?
SIKUBALIANI 100% na Kauli ya RAIS kuwa foreign Investors waje na Wataalam wao 100% huku ni kuua vyuo vyetu na kuwafanya wataakam wetu wawe vibarua kwenye nchi yao.
Hivi CRB wao ni kusajili na kukusanya ada kila mwaka tu? Ifutwe au iboreshwe, ni Aibu kubwa kwa miaka 60 hatuna cha kujivunia kwa upande ambao ungetokana na Uwekezaji wetu kwenye elimu.
Tujadiliane na tupingane kwa hoja sio matusi na kebehi! Tanzania tunashindwa nini???
Duh! At least Leo umeongea point!Ubinafsi
ZipoMaxence Melo naomba Title isomeke NI AIBU TANZANIA KUTOKUA NA KAMPUNI ZAKE ZA UJENZI
Sawa!Zipo
Unless hauishi Tanzania
Sera ya privatisation ya kugawana be we, mguu n.kIkawaje?
Unafikiria kama kuna opportunity ya kutengeneza $$ nzuri wawekezaji hawatakuwepo? Na ndio maana hata mwandishi amesema Capital Sio Issue. Watu dunia nzima wanatafuta opportunity za ku-invest. Na kama ni rahisi kihivyo kutengeneza $$ kwa kuunda kampuni kama hio ingefanyika. Unaona mahotel makubwa yanayojengwa kila siku Tanzania? Kuna profits hapo na wawekezaji wanafanya hivyo. Kampuni ya ujenzi kubwa kwa Tz ina changamoto sana. Fikiria tu hata kampuni ndogo za ujenzi zenyewe kuna wizi sana unafanyika. Wizi ni kitu cha kawaida sana. Mwenye kampuni anaibiwa. Wateja wanaibiwa. Nk.. Sasa kampuni kubwa ndio itakuwa mara kumi. Jibu fupi.. ni kwamba inawezekana, lakini changamoto ya shida ya kupata wafanyakazi ambao wana uaminifu mkubwa, utaalam mkubwa, na ni wachapa kazi sana ndio inafanya investors wasitake kuwekeza kuunda kampuni kama hio.Inamaana hatuna wataaalam wa kuunda kampuni moja tu? MECCO iliwezaje?