Robert Heriel Mtibeli
JF-Expert Member
- Mar 24, 2018
- 28,297
- 68,017
Kwema Wakuu!
Chama hakipaswi kuchekea mambo ya Rushwa au wanaotoa tuhuma kwa wenzao kwamba wanakula Rushwa. Lazima chama kichukue hatua ikiwezekana kuwavukuza uanachama
Rushwa kwa vyama Makini ni kosa kubwa Sana ambalo linatosha kumfukuzisha mtu uanachama. Rushwa ni Jinai kwa upande wa Sheria.
Lisu anatoa shutuma kuwa kuna kiongozi Mkubwa ambaye alimleta Abdul nyumbani kwake kwaajili ya kutaka kumhonga, kumpa Rushwa.
Fununu zinaeleza kiongozi huyo ni Wenje.
Ikiwa ni Kweli CHADEMA ilipaswa ishughulike na Wenje kujihusisha na Rushwa.
Na kama sio Kweli Basi chama kinapaswa kimshughulikie Lisu ili asichafue viongozi wenzake na kukichafua chama. Na kutoa funzo kwa watu wengine ambao watoa shutuma za uongo kwa wengine.
Lakini cha ajabu, Lisu anagombea uenyekiti. Wenje anagombea umakamu.
Sasa hapo wote wakishinda watashirikiana vipi? Hapo lazima Mmoja apoteze au wote wapoteze lakini Mmoja atakuwa kaonewa.
CHADEMA bado kinazidi kuonyesha makucha ambayo yalikuwa yamejificha kupitia yanayoendelea