Ni aidha Wenje au Lissu waenguliwe CHADEMA kama chama kipo Makini, vinginevyo ni utapeli

Mgiriki wa nyerere alitaka kuiweka nchi nzima mfukoni make , ila Abdul kafanikiwa kuwaweka chadema
 
Kama rushwa ni hoja bas mngeanza na mwenyekiti wa muda wote mbowe uyo ndo mkula rushwa mkubwa ndan ya chadema
 
Bora watu waendelee na CCM mara elfu Moja.

..Ccm ni bora kuliko wapinzani kivipi?

..hizo fedha za Abduli unadhani ni kazipata kwa jasho lake, au wamehongwa yeye na Mama yake?

..Na kama Abduli na Mama yake wamehongwa nini dhumuni la waliowahonga?

..kati ya mtawala na mpinzani yupi anayelitia taifa hasara zaidi ikiwa atahongwa?
 
Kwema Wakuu!

Chama hakipaswi kuchekea mambo ya Rushwa au wanaotoa tuhuma kwa wenzao kwamba wanakula Rushwa. Lazima chama kichukue hatua ikiwezekana kuwavukuza uanachama

Rushwa kwa vyama Makini ni kosa kubwa Sana ambalo linatosha kumfukuzisha mtu uanachama. Rushwa ni Jinai kwa upande wa Sheria.

Lisu anatoa shutuma kuwa kuna kiongozi Mkubwa ambaye alimleta Abdul nyumbani kwake kwaajili ya kutaka kumhonga, kumpa Rushwa.
Fununu zinaeleza kiongozi huyo ni Wenje.

Ikiwa ni Kweli CHADEMA ilipaswa ishughulike na Wenje kujihusisha na Rushwa.

Na kama sio Kweli Basi chama kinapaswa kimshughulikie Lisu ili asichafue viongozi wenzake na kukichafua chama. Na kutoa funzo kwa watu wengine ambao watoa shutuma za uongo kwa wengine.

Lakini cha ajabu, Lisu anagombea uenyekiti. Wenje anagombea umakamu.

Sasa hapo wote wakishinda watashirikiana vipi? Hapo lazima Mmoja apoteze au wote wapoteze lakini Mmoja atakuwa kaonewa.

CHADEMA bado kinazidi kuonyesha makucha ambayo yalikuwa yamejificha kupitia yanayoendelea
Bob ninakuelewa lakini:
1. Lissu ametuhumu mara nyingi kuwa pesa chafu zinapanga safu ua uchaguzi wa kanda akiwa Iringa..
Alihojiwa na chama?
2. Lissu alituhimu kuwa mwanachama amekuja na Abdul kwake kumletea rushwa alihojiwa?
3. Msigwa amemtuhumi Mbowe zaisi ya mara 50 je amejibowa?

CHadema ni sahani la unwabwa lililotowa kinyedi...rushwa
 
Lissu angeshasema. Lkn hadi hotuba yake ya juzi kaendelea kulaani uhuni aliofanya jiwe & co.

Mtibeli unatuchanganya sasa, inaonekana hata wewe unapelekwa na matukio. Mara hii unaanza kutamani Lissu asiwe mwenyekiti.

Kikubwa usiweke moyo wako wote kwenye haya mavyama. Yote yale. Kuwa independent.
 
Kwema Wakuu!

Chama hakipaswi kuchekea mambo ya Rushwa au wanaotoa tuhuma kwa wenzao kwamba wanakula Rushwa. Lazima chama kichukue hatua ikiwezekana kuwavukuza uanachama

Rushwa kwa vyama Makini ni kosa kubwa Sana ambalo linatosha kumfukuzisha mtu uanachama. Rushwa ni Jinai kwa upande wa Sheria.

Lisu anatoa shutuma kuwa kuna kiongozi Mkubwa ambaye alimleta Abdul nyumbani kwake kwaajili ya kutaka kumhonga, kumpa Rushwa.
Fununu zinaeleza kiongozi huyo ni Wenje.

Ikiwa ni Kweli CHADEMA ilipaswa ishughulike na Wenje kujihusisha na Rushwa.

Na kama sio Kweli Basi chama kinapaswa kimshughulikie Lisu ili asichafue viongozi wenzake na kukichafua chama. Na kutoa funzo kwa watu wengine ambao watoa shutuma za uongo kwa wengine.

Lakini cha ajabu, Lisu anagombea uenyekiti. Wenje anagombea umakamu.

Sasa hapo wote wakishinda watashirikiana vipi? Hapo lazima Mmoja apoteze au wote wapoteze lakini Mmoja atakuwa kaonewa.

CHADEMA bado kinazidi kuonyesha makucha ambayo yalikuwa yamejificha kupitia yanayoendelea
Mkuu japo ni tuhuma, nimemsikiliza wenje kuhusu Ili sakata, maneno na macho ya wenje yanaashiria kitu, Wenje kumpeleka mtoto wa rais kwa lissu Kuna maswali mengi hayana majibu, je Abdul ni nani? Je wenje anajuaje kitendo Cha kumpeleka mtoto wa rais kwa lissu hakiwezi kuwa sehemu ya kwenda kuhongwa? Ana uhakika Gani na Abdul? Hili jambo sio rahis kiasi hicho.Kuna kitu nyuma yake
 
Hata wewe mtu akikuomba umpeleka kwa fulani ana mazungumzo naye huwezi kujua undani wa hayo mazungumzo ila kama una mahusiano mazuri na wote wawili lazima utamkubalia ombi lake.

Hii haitoshi kumhukumu Wenje.
Pia hakuna ukweli wa kauli ya Lissu inaweza kuwa Kiki tu.

Kwa thamani ya Lissu hivi sasa kama ni kuhongwa haiwezi kupungua Shilingi Bilioni 1, hela nyingi kama hiyo haiwezi kubebwa katika magunia akapelekewa.

Siku hiyo ilikuwa ni mazungumzo tu hata kama ni ya kuhusu rushwa, baada ya kukubaliana kiwango cha rushwa na angependa alipwaje yaani fedha ipelekwe benki gani au wapi na kupitia kwa nani ili kuondoa traces za ushahidi ndipo sasa hiyo rushwa ingeenda kuandaliwa na Lissu angewasilishiwa mzigo kwa namna walivyokubaliana. Lakini kwa vyovyote vile Abdu hakiwa na pesa mkononi siku hiyo.

Hivyo hakuna mantiki ya kuwakata Lissu na Wenje.
Shida ni kwamba wenje kakataa moja kwa moja lissu hakutaka kuhongwa na Abdul, Kuna maswali yataibuka, je baada ya wenje kumpeleka Abdul kwa lissu, wenje anajua yote yaliyozungumzwa kati ya lissu baada ya lissu na Abdul kuunganishwa na wenje kule kwa lissu? Je wenje harakaharaka kumuamini mtoto wa rais wamekutana kwenye function isiyo rasmi, alimuamini vipi mtoto wa rais Abdul mpaka kumshirikisha jambo la serikali ilhali Abdul sio kiongozi wa serikali? Je wenje baada ya kubadilishana contact zao na abdu amempeleka Abdul kwa makada wangapi wa chadema ukimuondoa lissu? Jambo hili lissu akirudi kulizungimzia tutajua mengi zaidi.Inshort wenje alijirahis Sana kwa Abdul, viongozi wa upinzani njaa na kiherehere kinawaponza, hawawezi kugundua jambo kirais, Abdul amewatega wametegeka
 
lolote linaweza tokea ila approach ipi wanachadema wangetumia kuimaliza hii kirusi ni ipi? nani apite kama kiongozi kuinusuru chadema? kimtazamo chadema wakiweza tegua huu mtego ndo kutatathimini uhai na kukua chama kikubwa au kifo kama chama kikubwa
Tatizo siku hizi rushwa na ufisadi ndani ya chadema Kasi ya kuukemea imeshuka Sana.Huo ndo ukweli
 
Kwema Wakuu!

Chama hakipaswi kuchekea mambo ya Rushwa au wanaotoa tuhuma kwa wenzao kwamba wanakula Rushwa. Lazima chama kichukue hatua ikiwezekana kuwavukuza uanachama

Rushwa kwa vyama Makini ni kosa kubwa Sana ambalo linatosha kumfukuzisha mtu uanachama. Rushwa ni Jinai kwa upande wa Sheria.

Lisu anatoa shutuma kuwa kuna kiongozi Mkubwa ambaye alimleta Abdul nyumbani kwake kwaajili ya kutaka kumhonga, kumpa Rushwa.
Fununu zinaeleza kiongozi huyo ni Wenje.

Ikiwa ni Kweli CHADEMA ilipaswa ishughulike na Wenje kujihusisha na Rushwa.

Na kama sio Kweli Basi chama kinapaswa kimshughulikie Lisu ili asichafue viongozi wenzake na kukichafua chama. Na kutoa funzo kwa watu wengine ambao watoa shutuma za uongo kwa wengine.

Lakini cha ajabu, Lisu anagombea uenyekiti. Wenje anagombea umakamu.

Sasa hapo wote wakishinda watashirikiana vipi? Hapo lazima Mmoja apoteze au wote wapoteze lakini Mmoja atakuwa kaonewa.

CHADEMA bado kinazidi kuonyesha makucha ambayo yalikuwa yamejificha kupitia yanayoendelea
🌤️🙋‍♂️✍️🎯💐🎁👍👌👊👏🤝🙏🗼🛡️Sabatto njema.
 
Shida ni kwamba wenje kakataa moja kwa moja lissu hakutaka kuhongwa na Abdul, Kuna maswali yataibuka, je baada ya wenje kumpeleka Abdul kwa lissu, wenje anajua yote yaliyozungumzwa kati ya lissu baada ya lissu na Abdul kuunganishwa na wenje kule kwa lissu? Je wenje harakaharaka kumuamini mtoto wa rais wamekutana kwenye function isiyo rasmi, alimuamini vipi mtoto wa rais Abdul mpaka kumshirikisha jambo la serikali ilhali Abdul sio kiongozi wa serikali? Je wenje baada ya kubadilishana contact zao na abdu amempeleka Abdul kwa makada wangapi wa chadema ukimuondoa lissu? Jambo hili lissu akirudi kulizungimzia tutajua mengi zaidi.Inshort wenje alijirahis Sana kwa Abdul, viongozi wa upinzani njaa na kiherehere kinawaponza, hawawezi kugundua jambo kirais, Abdul amewatega wametegeka
Nimemsikiliza Wenje kwa umakini nikaishia kumshangaa
 
Hawawezi maana Mbowe mwenyewe ni mnufaika wa hayo mahela ya Abdul.

Pia Mnyika na Mbowe walihusika moja kwa moja kuwapeleka covid 19 bungeni, zile kelele zao zilikuwa ni hadaa tu.

Hili la covid 19 hapana sio kweli, hakuna top yoyote wa chadema alikuwa anajua Ile ishu mpaka Ile siku wameenda bungeni saa 12 jioni ndio wakina mbowe walistuka but was too late
 
Shida ni kwamba wenje kakataa moja kwa moja lissu hakutaka kuhongwa na Abdul, Kuna maswali yataibuka, je baada ya wenje kumpeleka Abdul kwa lissu, wenje anajua yote yaliyozungumzwa kati ya lissu baada ya lissu na Abdul kuunganishwa na wenje kule kwa lissu? Je wenje harakaharaka kumuamini mtoto wa rais wamekutana kwenye function isiyo rasmi, alimuamini vipi mtoto wa rais Abdul mpaka kumshirikisha jambo la serikali ilhali Abdul sio kiongozi wa serikali? Je wenje baada ya kubadilishana contact zao na abdu amempeleka Abdul kwa makada wangapi wa chadema ukimuondoa lissu? Jambo hili lissu akirudi kulizungimzia tutajua mengi zaidi.Inshort wenje alijirahis Sana kwa Abdul, viongozi wa upinzani njaa na kiherehere kinawaponza, hawawezi kugundua jambo kirais, Abdul amewatega wametegeka
Kwanza usimuamini Lissu kama dini kwani yeye hawezi kudanganya ili kufikia malengo yake kisiasa? Fikiri kidogo.

Kuhusu Abdul kutofanya kazi serikalini hiyo sio hoja kabisa labda kama wewe nu mgeni na namna mambo yanavyokwenda. Lobbying ni kitu cha kawaida mtu anaweza asiee na nafasi yeyote serikalini lakini akakuunganisha na mtu mwenye nafasi serikalini na jambo lako likafanywa hiyo imefanyika sana. Nakupa mfano, wakati Magufuli ni waziri aliwahi kukwazwa na Rais Kikwete basi akamfuata kaka wa Kikwete Bagamoyo na kumueleza, palepale yule kaka akampigia simu mdogo wake ambaye ni Rais Kikwete na Rais akamjibu kuwa anakubali kana Nagufuli alivyolalamika kwa kumheshimu kaka yake; maneno haya aliyasema Kikwete mwenyewe wakati wa kumuaga Magufukli kanisani alipokufa.. Hata mi mi binafsi nimewahi kupelekwa kwa kiongozi kupitia kwa mtu asiye na madaraka.

Sikiliza mahojiano ya Wenje na waandishi wa habari amefafanua vizuri hiyo hoja ingia youtube kuna hayo mahojiano halafu rudi hapa.

Ulikuwa unajua kuwa Lissu anadaiwa na Wenje hela alizomkopesha za matibabu kwa ahado kuwa akilipwa naye atamlipa Wenje?

Tumia akili katika kudadavua mambo siyo imani.
 
Back
Top Bottom