Ni aidha Wenje au Lissu waenguliwe CHADEMA kama chama kipo Makini, vinginevyo ni utapeli

Niambie Lisu ameshinda,
Wenje kashinda.
Wanafanyaje Kazi ili CHADEMA iendelee na isipasuke?
lolote linaweza tokea ila approach ipi wanachadema wangetumia kuimaliza hii kirusi ni ipi? nani apite kama kiongozi kuinusuru chadema? kimtazamo chadema wakiweza tegua huu mtego ndo kutatathimini uhai na kukua chama kikubwa au kifo kama chama kikubwa
 
Hata wewe mtu akikuomba umpeleka kwa fulani ana mazungumzo naye huwezi kujua undani wa hayo mazungumzo ila kama una mahusiano mazuri na wote wawili lazima utamkubalia ombi lake.

Hii haitoshi kumhukumu Wenje.
Pia hakuna ukweli wa kauli ya Lissu inaweza kuwa Kiki tu.

Kwa thamani ya Lissu hivi sasa kama ni kuhongwa haiwezi kupungua Shilingi Bilioni 1, hela nyingi kama hiyo haiwezi kubebwa katika magunia akapelekewa.

Siku hiyo ilikuwa ni mazungumzo tu hata kama ni ya kuhusu rushwa, baada ya kukubaliana kiwango cha rushwa na angependa alipwaje yaani fedha ipelekwe benki gani au wapi na kupitia kwa nani ili kuondoa traces za ushahidi ndipo sasa hiyo rushwa ingeenda kuandaliwa na Lissu angewasilishiwa mzigo kwa namna walivyokubaliana. Lakini kwa vyovyote vile Abduhakiwuwa na pesa mkononi siku hiyo.

Hivyo hakuna mantiki ya kuwakata Lissu na Wenje.

Mkuu sijasema Abdul alikuwa na mabulungutu ya pesa wala Lisu hajasema hivyo. Ulichoeleza ndicho Lisu alichoeleza. Kuwa alifuatwa kwaajili ya kushawishiwa.

Maelezo ya Lisu yanasema aliambiwa kuwa viongozi wengine wa CHADEMA wamepewa pia. Ingawaje kauli hii yaweza kutumika kama Njia ya kumshawishi mtu hata kama hakuna wengine waliopewa.
 
lolote linaweza tokea ila approach ipi wanachadema wangetumia kuimaliza hii kirusi ni ipi? nani apite kama kiongozi kuinusuru chadema? kimtazamo chadema wakiweza tegua huu mtego ndo kutatathimini uhai na kukua chama kikubwa au kifo kama chama kikubwa

Lisu hawezi kushirikiana na Wala rushwa Akiwa Mwenyekiti hilo lipo wazi. Na kama ni hivyo inatarajiwa migogoro Mikubwa Mikubwa kuzuka ndani ya CHADEMA na wengi kukimbia ikiwa Lisu atakuwa Mwenyekiti.

Ni kama vile JPM tuu ingawaje kwa Lisu utofauti wake yeye anapenda ukweli na kufuata Sheria
 
Kwema Wakuu!

Chama hakipaswi kuchekea mambo ya Rushwa au wanaotoa tuhuma kwa wenzao kwamba wanakula Rushwa. Lazima chama kichukue hatua ikiwezekana kuwavukuza uanachama

Rushwa kwa vyama Makini ni kosa kubwa Sana ambalo linatosha kumfukuzisha mtu uanachama. Rushwa ni Jinai kwa upande wa Sheria.

Lisu anatoa shutuma kuwa kuna kiongozi Mkubwa ambaye alimleta Abdul nyumbani kwake kwaajili ya kutaka kumhonga, kumpa Rushwa.
Fununu zinaeleza kiongozi huyo ni Wenje.

Ikiwa ni Kweli CHADEMA ilipaswa ishughulike na Wenje kujihusisha na Rushwa.

Na kama sio Kweli Basi chama kinapaswa kimshughulikie Lisu ili asichafue viongozi wenzake na kukichafua chama. Na kutoa funzo kwa watu wengine ambao watoa shutuma za uongo kwa wengine.

Lakini cha ajabu, Lisu anagombea uenyekiti. Wenje anagombea umakamu.

Sasa hapo wote wakishinda watashirikiana vipi? Hapo lazima Mmoja apoteze au wote wapoteze lakini Mmoja atakuwa kaonewa.

CHADEMA bado kinazidi kuonyesha makucha ambayo yalikuwa yamejificha kupitia yanayoendelea
Uko sahihi
Kuna mmoja lazima a drop
 
kumbe ni fununu ngoja tupate uhakika, hivi mtu akimsindikiza mtu kupokea au kutoa rushwa ni jinai? wenje hakuwa muhongwaji wala mhongaji na labda hakujua dhumuni la huyo mgeni,
 
Kwema Wakuu!

Chama hakipaswi kuchekea mambo ya Rushwa au wanaotoa tuhuma kwa wenzao kwamba wanakula Rushwa. Lazima chama kichukue hatua ikiwezekana kuwavukuza uanachama

Rushwa kwa vyama Makini ni kosa kubwa Sana ambalo linatosha kumfukuzisha mtu uanachama. Rushwa ni Jinai kwa upande wa Sheria.

Lisu anatoa shutuma kuwa kuna kiongozi Mkubwa ambaye alimleta Abdul nyumbani kwake kwaajili ya kutaka kumhonga, kumpa Rushwa.
Fununu zinaeleza kiongozi huyo ni Wenje.

Ikiwa ni Kweli CHADEMA ilipaswa ishughulike na Wenje kujihusisha na Rushwa.

Na kama sio Kweli Basi chama kinapaswa kimshughulikie Lisu ili asichafue viongozi wenzake na kukichafua chama. Na kutoa funzo kwa watu wengine ambao watoa shutuma za uongo kwa wengine.

Lakini cha ajabu, Lisu anagombea uenyekiti. Wenje anagombea umakamu.

Sasa hapo wote wakishinda watashirikiana vipi? Hapo lazima Mmoja apoteze au wote wapoteze lakini Mmoja atakuwa kaonewa.

CHADEMA bado kinazidi kuonyesha makucha ambayo yalikuwa yamejificha kupitia yanayoendelea
hizi naona ni kama amsha amsha tu za diamond kutoa single
 
yaani fununu za chuki na uzushi wa mzushi wa kimataifa ziwakoseshe chadema kiongozi bora na makini kama wenje, kweli?

yaani kweli tumuamini mtu mzushi na mwenye tamaa kama huyo, ambae ni hodari wa kuomba kuchangiwa mara kwa mara, eti amekataa billions of money? thubutu wewe, na shida zote zilizomzonga aache pesa huyo?

uzushi hauwezi kumkosesha muungwana wenje fursa ya kutimiza ndoto zake hata siku moja.

Huyu Lisu ni kiongozi wa ajabu sana,
aliwahi kuulizwa juu ya masuala haya ya rushwa kwenye mahojiano na kituo kimoja cha television,

cha kushangaza,
eti akawa anamtishia tu yule mwanahabari kuwataja wala rushwa waliompelekea rushwa.

sasa,
huyo ni kiongozi wa aina gani anaionea aibu rushwa kama sio unafiki tu?

Wenje atakua makamu mwenyekiti wa Chadema Taifa bila mbambamba yoyote gentleman 🐒
 
Hata wewe mtu akikuomba umpeleka kwa fulani ana mazungumzo naye huwezi kujua undani wa hayo mazungumzo ila kama una mahusiano mazuri na wote wawili lazima utamkubalia ombi lake.

Hii haitoshi kumhukumu Wenje.
Pia hakuna ukweli wa kauli ya Lissu inaweza kuwa Kiki tu.

Kwa thamani ya Lissu hivi sasa kama ni kuhongwa haiwezi kupungua Shilingi Bilioni 1, hela nyingi kama hiyo haiwezi kubebwa katika magunia akapelekewa.

Siku hiyo ilikuwa ni mazungumzo tu hata kama ni ya kuhusu rushwa, baada ya kukubaliana kiwango cha rushwa na angependa alipwaje yaani fedha ipelekwe benki gani au wapi na kupitia kwa nani ili kuondoa traces za ushahidi ndipo sasa hiyo rushwa ingeenda kuandaliwa na Lissu angewasilishiwa mzigo kwa namna walivyokubaliana. Lakini kwa vyovyote vile Abdu hakiwa na pesa mkononi siku hiyo.

Hivyo hakuna mantiki ya kuwakata Lissu na Wenje.
Kwani unajua Billion 1 ya Kibongo ni sawa na Vibunda vingapi vya Dollar 100 zikiwa 100?kwa mana zikiwa kama kawaida bunda la dollar 10,000?Mbona zina bebeka tu.
 
Labda bahati mbaya katiba Yao hujaijua
Ishi ni kwamba tundu LISU alitoa tuhuma kitambo na kuziwakilisha kamati kuu

Kamati kuu ,baada ya kujadili hayo haijawahi mpelekea makamu mwenyekiti akiwa mwenyekiti wa kamati ya maadili ili tuhuma hizo zijadiliwe (mkuu wa kamati kuu ni mwenyekiti wa chama mbowe)

Za ndani zinasema mbowe ndo aliweka shinikizo au kutuma wenje agombee nafasi hiyo ...ndo kisa Cha LISu ku-skip mtego akaona Sasa ego kwa ego wagombee nafasi Moja

Swali kubwa lakujiuliza wenje alimpeleka kweli Abdul kwa LISu,ilikuwaje inakuwaje kwenye pambano la vita nahodha anakutana na upande wa pili uwanja wa vita
Ndio kazi imeanzia hapo sasa mkuu
 
Aaaa!
Kwani Bwashee
Alishakubali kumwachia Lau Masha ubunge wa Nyamagana ingawa alishinda, wananchi wakakataa kwa kutishia kutowesha amani pale Mwanza,Siro wakati huo akiwa RPC alihakikisha mshindi halali anatangazwa kwa gharama za kumtosa bosi wake Masha aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Ndani.Mwisho wa Siku Wilson Kabwe akamtangaza Wenje kwa shingo upande
 
Back
Top Bottom