Ni aina gani ya gari zuri kwa kuvimba nalo hapa mjini?

Ni aina gani ya gari zuri kwa kuvimba nalo hapa mjini?

Itategemea mzee baba. Kwa mfano ukaongelea brand au size ya gari.

1. Kwa Brands Germany zote zinatisha mfano BMW, Benz, Audi, au England Land Rover zote, au Italia performance cars.

2. Kwa size nadhani SUV kama RR, X5, Harrier etc. ukiwa na hivi vidude vidogo unadharaulika.

3. Ila mademu wanapagawa sana na RR, BMW, Benz, etc izo ni sukari.

Hivi vidude kama IST, Passo, etc mzee baba we tulia tu.
 
Itategemea mzee baba. Kwa mfano ukaongelea brand au size ya gari.

1. Kwa Brands Germany zote zinatisha mfano BMW, Benz, Audi, au England Land Rover zote, au Italia performance cars...
Hivi gari za muitaliano ni kama zipi?..

Ukweli mchungu na japo humu ukiandika wenye utofauti wataanza kukuandama,

Ila ukweli IST, Passo, Spacio, noah, vitz hizi gari nunua kwa kuzingatia hali yako ya kiuchumi, Fuel efficiency ila kiukweli hizi gari huwezi endesha kwa kujiachia kabisa....
 
6641bfd3516504dc440d619f92ea6f4e.jpg

6079bc7ef23812a617f2259429ec53e4.jpg
 
Back
Top Bottom