Ni aina gani ya gari zuri kwa kuvimba nalo hapa mjini?

Ni aina gani ya gari zuri kwa kuvimba nalo hapa mjini?

The baddest AMG[emoji91][emoji91][emoji91]
Ronald%20BTC%2020210806_105756.jpg
 
Mimi nikishauza pamba yangu kwenye msimu nikivimba kwenye baiskeli yangu ya phoenex siyo mbaya......nakuwa naendesha nimeweka redio yangu sikioni, nikifika center napaki pembeni naagiza mhindi wa kuchoma au muwa...

Nimekubali mkuu
 
Gari lolote unaweza ukavimba nalo...kwa sababu chako ni chako siyo cha kupewa..

Wewe ndiyo unayejua ulijinyima nini mpaka ukanunu gari....hata kama ni Duet ya piston 3..
 
Back
Top Bottom