Ni aina gani ya gari zuri kwa kuvimba nalo hapa mjini?

Ni aina gani ya gari zuri kwa kuvimba nalo hapa mjini?

Yani mzigo almost 80m kabla ya kodi! Ukigongwa kodi ya 60m juu akili lazma ikukae sawa 😅!

Unanunua corrolla ya mwaka 2021 kwa 150m, wakati hio hela ukinunua mtumba wa 2009 unaweza fungua yard kabisa 😅😅😅
Hawako serious na maisha ya uchumi wa kati aiseee, hizo mpya wawauzie hao hao matajiri....
 
Used zipo mbona tayari ila kwa kuwa TRA wapo kuwafanya muishi kama mashetani 😅😅😅 utashangaa zinapigwa kodi ya scania
Kama muuzaji kala mil. 5, TRA wanakula mil.7 ya tozo ya uzalendo.....
 
Uzi wa Matajiri huu. Watu kwenye huu uzi hawamiliki aina yeyote ile ya Toyota wao ni Gari za ulimwengu wa Kwanza tu. Hongereni sana wakuu kwa Maendeleo yenu..
 
Uzi wa Matajiri huu. Watu kwenye huu uzi hawamiliki aina yeyote ile ya Toyota wao ni Gari za ulimwengu wa Kwanza tu. Hongereni sana wakuu kwa Maendeleo yenu..
Hizi akili za Chapati ya maji
 
Kuna siku kama miaka kumi iliyopita nilienda kuulizia bei ya toyota corolla mpya pale kwenye ofisi yao, walivyonitajia bei sikuwahi tena kuulizia bei ya gari mpya, sina uhakika ni lini nitauvunja huu mwiko wa hata kutoulizia bei ya gari mpya, Mungu mwenyewe anajua.....
Naomba unisaidie kuulizia pia LC300 na LC 200 VXR V8 mpya
 
Hivi gari za muitaliano ni kama zipi?..

Ukweli mchungu na japo humu ukiandika wenye utofauti wataanza kukuandama,

Ila ukweli IST, Passo, Spacio, noah, vitz hizi gari nunua kwa kuzingatia hali yako ya kiuchumi, Fuel efficiency ila kiukweli hizi gari huwezi endesha kwa kujiachia kabisa....
Kuna kigari Cha Muitaliano kinaitwa FIAT UNO kina 1200cc na 1500cc. Kinanusa mafuta kama Ist na wakina Passo na kina nguvu Sana.
 
Yani mzigo almost 80m kabla ya kodi! Ukigongwa kodi ya 60m juu akili lazma ikukae sawa [emoji28]!

Unanunua corrolla ya mwaka 2021 kwa 150m, wakati hio hela ukinunua mtumba wa 2009 unaweza fungua yard kabisa [emoji28][emoji28][emoji28]
I guess kuna watu kibao watakuwa wanapitisha magaru bila kulipa ushuru wengi tu
 
toyota-land-cruiser-namib-package_2.jpg

Niite mkulima, mshamba whatever, mimi ndoto yangu ni kumiliki huu mnyama.
 
Used zipo mbona tayari ila kwa kuwa TRA wapo kuwafanya muishi kama mashetani 😅😅😅 utashangaa zinapigwa kodi ya scania
Kama mnataka kuagiza gari za umeme basi hamna budi kuchangia ujenzi wa bwawa la Mwalimu Nyerere ili tupate megawati za kutosha🤣
 
Chukua mazda cx 9 , hautajutia hat kdogo
FB_IMG_1628356822756.jpg
FB_IMG_1628356817887.jpg

sent from HUAWEI
 
Ha
Kama mnataka kuagiza gari za umeme basi hamna budi kuchangia ujenzi wa bwawa la Mwalimu Nyerere ili tupate megawati za kutosha🤣
hahahah utashangaa tu Nyerere Hydropower ElectricIty Levy (NHE Levy) 50%
 
Back
Top Bottom