Ni aina gani ya gari zuri kwa kuvimba nalo hapa mjini?

Ni aina gani ya gari zuri kwa kuvimba nalo hapa mjini?

Ford Mustang
images (24).jpeg
 
Itategemea mzee baba. Kwa mfano ukaongelea brand au size ya gari.

1. Kwa Brands Germany zote zinatisha mfano BMW, Benz, Audi, au England Land Rover zote, au Italia performance cars.

2. Kwa size nadhani SUV kama RR, X5, Harrier etc. ukiwa na hivi vidude vidogo unadharaulika.

3. Ila mademu wanapagawa sana na RR, BMW, Benz, etc izo ni sukari.

Hivi vidude kama IST, Passo, etc mzee baba we tulia tu.
...Dah, Mkuu! Hata kuitaja tu Prado?? [emoji16]
 
Hivi gari za muitaliano ni kama zipi?..

Ukweli mchungu na japo humu ukiandika wenye utofauti wataanza kukuandama,

Ila ukweli IST, Passo, Spacio, noah, vitz hizi gari nunua kwa kuzingatia hali yako ya kiuchumi, Fuel efficiency ila kiukweli hizi gari huwezi endesha kwa kujiachia kabisa....
Kuendesha kwa kujiachia ndo kukoje?
 
Na kwa nini uvimbe/utuvimbie? Hakuna anayejali hata hivyo we vimba tu jombaa.
 
Kuna siku kama miaka kumi iliyopita nilienda kuulizia bei ya toyota corolla mpya pale kwenye ofisi yao, walivyonitajia bei sikuwahi tena kuulizia bei ya gari mpya, sina uhakika ni lini nitauvunja huu mwiko wa hata kutoulizia bei ya gari mpya, Mungu mwenyewe anajua.....
 
Heheheheh naamini utakuwa balozi mzuri kwa wengine wanaopondea mitumba ya kijapani kwa kuita gari za watu baby walkers!

Maana huyo mtu anayeongea hilo ukimwambia japo anunue Passo tu ya 2018 jasho litamtoka kila kona ya mwili!
 
Hatari sana, kitu dola elf 35 na ushee.....wakati dola buku tatu unapata kitu used kutoka jepu.......ngoja nisubiri toleo la gari za umeme nikaulizie tena bei.
 
Hatari sana, kitu dola elf 35 na ushee.....wakati dola buku tatu unapata kitu used kutoka jepu.......ngoja nisubiri toleo la gari za umeme nikaulizie tena bei.
Yani mzigo almost 80m kabla ya kodi! Ukigongwa kodi ya 60m juu akili lazma ikukae sawa 😅!

Unanunua corrolla ya mwaka 2021 kwa 150m, wakati hio hela ukinunua mtumba wa 2009 unaweza fungua yard kabisa 😅😅😅
 
Back
Top Bottom